Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
.................wasalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam......................
Mh. Waziri Elimu Yetu inashuka kwa kuwa Hatuipi kipaumbele kama tunavozipa siasa, sio siri Kuna kila sababu ya kufumua mitaala yetu na mfumo mzima wa Elimu na kuucheki upya, ili kulenga soko la ndani na nje ya nchi yetu zaidi. Nashauri yafuatayo yaaangaliwe.

1: kupunguza idadi ya miaka primary school walau, iishie darasa la tano ama la sita, kwa kuwa sioni umuhimu wa darasa hili la saba.
2:Kuchagua Moja Kama tumeamua Kishwahili kuwa Lugha ya kufundishia primary na kiingereza sekondari na hata vyuoni, basi tujenge msingi mzuri wa Lugha hii. Maana naona Tunawachanganya sana wadogo zetu hawa wanapokwenda sekondary.
3:kubadili Mtaala wa elimu, mwanafunzi afundishwe na kupewa uelekeo mapema, ikiwezekana masomo yote ya hisoria na hata uraia yafunzwe toka primary ili kupunguza mzigo secondary, somo kama civics, historia yarudishwe primary yawe lazima kwa wote, mwanafunzi anapofika o level awe na uwezo wa kusoma masomo machache yatakayompa uelekeo wake juu ya maisha yake baadaye. kama anataka kuwa mwanasayansi, docta ama engineer atleast asome masomo usika tuu, miaka yote minne.
4: college iwe hatua inayofuata baadaya ya o level ili kumfanya alteast kila raia awe na professional fulani, na hata kujiajili mwenyew kulisaidia taifa lake.
5: Elimu ya form six iondolewe iliplaciwe na college ,
6: tudumishe elimu ya ufundi na shule pamoja na vyuo vyake kama veta, ili kupata wataalam wa aina zote.
7: mwisho elimu yetu iwe ya vitendo zaidi kuliko nadharia, sio jitu linajiita msomi hata kujenga hoja aliwezi.
,....................ni hayo tuu..........alamsiki..............................................
Mawazo yamefanyiwa kazi. Ila hilo wazo namba 4 & 5 jaribu kulipima mara mbili mbili.
 
Pia Geography Form Three ifanyiwe marekebisho, Physical Geography Igawanywe kidato cha Pili, cha tatu na cha NNE pia mada zake ziwekwe. Kurundika physical yote kidato cha tatu siyo
According to what i know/remember Physical iko tangu form one, labda ile ya form three ipunguzwe na kupelekwa form four. Form two ni kama pamejaa topics nyingi
 
Wakati wewe unawaza hayo wenzio wamefuta mtihani wa kidato cha pili kwa maana ufanye usifanye wewe mwendo mdundo mpaka form four sasa elimu tena au ni kuhesabu idadi ya vyumba vya madarasa ulizowahi kuingia
 
UVCCM INAHARIBU SIFA ZA CHAMA CHENU TUNASHANGAA SANA CHAMA TAWALA KUONA VIJANA WANAJIHUSISHA NA KUFOJI NYARAKA ZA SERIKALI NA KUFANYA UTAPELI TATIZO NI UKOSEFU WA AJIRA AU NINI? NI AIBU KUBWA SANA KWA TAIFA KUONA VIJANA WA CHAMA TAWALA AMBAO NI TAIFA LA KESHO KUWA MATAPELI JAMII INAJIFUNZA NINI ? CHAMA CHAKO KINASOMEKAJE KWA WANANCHI USHAURI MWENYEKITI WA CCM TAIFA SAFISHA CHAMA CHAKO BADO KUNA MAKAPI MENGI SANA

NAKALA
LIZABONI
1473941470878.jpg
 
kama kichwa cha habari kilivyojieleza.huu in Uzi was kumkumbusha muheshiwa rais wetu ahadi alizotoa wakati wa kampeni.uenda akawa amesahau maana alipita maeneo mengi na kutoa ahadi kwa wananchi kwamba pindi tutakapo mchagua atafanya ili na lile.kama kuna ahadi yoyote ulimsikia muheshimiwa raid akiitoa iweke hapa ili umkumbushe.Mimi ahadi ninayo mkumbusha ni ile ya kutoa mil 50 kwa kila kijiji.
 
Dada FaizaFoxy haya mawazo yetu umeshayapeleka kwa mtukufu ili ayafanyie kazi, maana humu umetoweka sijui na wewe unaishi kama shetani
 
kama aitoshi
Wizara ya kazi ilipiga marfuku watanzania kwenda kutumikishwa kama hgal..majuzi Niko airport madada wanne wamepita NA tkt zao

Mdada mmoja Yuki immigration pembeni anafanyakazi wizara ya kazi akawaita ..akawabana sana anataks laki mbilimbili kila MTU ndio awaachie

Ukwelii waliwapigia nduguzao wakawarushia kwabahati mbaya walikuwa NA lakimoja moja kila MTU akapewa..

Wale madada wakaachiwaa..ndugu MH Rais..MH waziri wakazi...Tunaombaa mpige marufuku kabisaa Hawa watoto kwenda kuwa mahgal NA wengi wanarudi wakilia walikuwa wanafanywa kinyume na maumbile

Nashauri serikali tuwe serious NA hili KUNA vijikampuni viko temeke NA kinondoni ndio wauzaji wakubwa wa Hawa mabinti mbaya wanaanzwa kwanza kutendwa ili wapate nafasi yakuondokw wakifika nje wanatendwa kinyume kabisa NA maumbile

Hawa n watanzania wenzetu tuwasaidie hatakama watuwanawafanya miradi..MH waziri husika ingilia kati

Hawaa mabinti no vitega uchumi vya WATU pale airport nannilivyokuwa nikiongea nao wanasema immigration wametoa lakilaki kila MTU NA yule mdada wa wizara yakazi nae karushiwa lakilaki kila MTU....

Tufike sasa tuwakomboe sisi wenyewe

Tunaomba serkli yako MH Waziri wa Kazi safishabwale mabinti wa airport NA muweke kitengo cha takukuru pale ili Hawa mabinti wasiwe watumwa huko nje
 
MH RAIS AKIKUPA NAFASI YA KUONGEA NAE LEO JAPO KWA DAKIKA MOJA TU,

JE UTAMWAMBIA NINI? PAMOJA NA...PONGEZI,USHAURI HATA MAOMBI n.k

Angalizo..maneno ya staha ni muhimu.
 
Itakuwa vizuri kama utakacho mwambia akifanyie kazi ,

kinyume na hapo ni kazi bure ni bora kupiga kimya.
 
Nitamwambia ammpe tuzo jaji Lubuva kama yeye alivyomshauri Shein ampe tuzo Jecha

Pia akumbuke wananchi wanachagua viongozi kwa kura ila tume inachagua kwa masilahi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom