Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
TENA MUULIZE IDADI YA KESI ZA KI FISADI ZILIZOPO KWENYE VYOMBO VYA SHERIA TULINGANISHE NA KESI ZA FYOKOFYOKO ZILIZOFUNGULIWA NA SERIKALI MAHAKAMANI NA KWENYE MUHIMILI WA BUNGE HAPO ZA FYOKOFYOKO HESABIA NA MAGAZETI RADIO NA TV ZILIZOPO MAHABUSU FYOKOFYOKO TUNAONEWA SANA HATUA WANAZOTUCHUKULIA ZIMEKUWA KALI KULI ZA KINA MAPUNDA WALIOUZA SHAMBA LA UVFISIEM IGUMBILO NA HATA WALIOGAWANA APARTMENT PALE UVFISIEM HQ
UmaskiniSwali langu ni hili
Ivi kati ya Umaskini na Chadema, Kipi unakiogopa zaidi au kipi kinakupa shida zaidi hata hupati usingizi?
Hilo swali mkaulizane ufipa. HAPA KAZI TU.Swali langu ni hili
Ivi kati ya Umaskini na Chadema, Kipi unakiogopa zaidi au kipi kinakupa shida zaidi hata hupati usingizi?
kweli ccm mmechoka, maskini ambao ndio mtaji wenu Leo hii mnawasaliti, laiti nguvu inayotumika kidhibiti chadema ingetumika kupambana na umaskini hakiyanani umaskini ungepotea kabisa.Hilo swali mkaulizane ufipa. HAPA KAZI TU.
Mwenyekiti CCM JF
Wewe ndio unaogopa, Rais hana sababu na wala hawezi kuogopa chochote jiangalie sana kijana.MH Rais. Nimeamka na neno moja tu lakukuambia nalo ni Usiogope.
Usiogope kusimamia yale una amini kwa ustawi wa taifa hili.
Usiogope vitisho vya watu wachache wenye nia mbaya na taifa hili.
Usiogope wanao tishia kujiuzulu kama wapo maana taifa hililitasimama hata kama wao hawatokuwepo. Umoja wetu nguvu zetu watanzania bara na visiwani tuna imani juu ya utendaji wa serikali yako.
Usiogope matajiri wachache ndani ya taifa hili ambao utajiri wao unaukakasi mzito wa dhuluma kwa watanzania.
Usiogope pesakukauka mtaani maana mtu asie fanya kazi na asile. Simamia nyia sahihi pesa irudi mtaani.
Usiogope wakurugenzi wachache wamabank wenye kutumika na mafisadi siku zao zinaesabika wala usihangaike nao.... Utawatambua kwa matendo yao
Usimuogope kiongozi fulani anaye endesha uwasi mzito bara na visiwani kwa kutamani angekuwa yeye Rais. Huyu ni chakula cha alie mleta duniani usipoteze nguvu kushindana nae maana ataadhibiwa ukimuona nawewe utakiri Mungu yupo.
Usiogope juu ya ulinzi wako maana unalindwa angani na ardhini na hakuna atakaye izima nyota yako ila Yeye alie kutuma.
Usiogope nasema usiogope maana hawa unawaona sasa hutowaona tena ktk miaka tisa na miezi ilio baki. Taifa hili limekusubira sana nasasa limepata baba mpaka misitu itabarikiwa. Usiogope!!!!!
Another super threadMH Rais. Nimeamka na neno moja tu lakukuambia nalo ni Usiogope.