.................wasalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam......................
Mh. Waziri Elimu Yetu inashuka kwa kuwa Hatuipi kipaumbele kama tunavozipa siasa, sio siri Kuna kila sababu ya kufumua mitaala yetu na mfumo mzima wa Elimu na kuucheki upya, ili kulenga soko la ndani na nje ya nchi yetu zaidi. Nashauri yafuatayo yaaangaliwe.
1: kupunguza idadi ya miaka primary school walau, iishie darasa la tano ama la sita, kwa kuwa sioni umuhimu wa darasa hili la saba.
2:Kuchagua Moja Kama tumeamua Kishwahili kuwa Lugha ya kufundishia primary na kiingereza sekondari na hata vyuoni, basi tujenge msingi mzuri wa Lugha hii. Maana naona Tunawachanganya sana wadogo zetu hawa wanapokwenda sekondary.
3:kubadili Mtaala wa elimu, mwanafunzi afundishwe na kupewa uelekeo mapema, ikiwezekana masomo yote ya hisoria na hata uraia yafunzwe toka primary ili kupunguza mzigo secondary, somo kama civics, historia yarudishwe primary yawe lazima kwa wote, mwanafunzi anapofika o level awe na uwezo wa kusoma masomo machache yatakayompa uelekeo wake juu ya maisha yake baadaye. kama anataka kuwa mwanasayansi, docta ama engineer atleast asome masomo usika tuu, miaka yote minne.
4: college iwe hatua inayofuata baadaya ya o level ili kumfanya alteast kila raia awe na professional fulani, na hata kujiajili mwenyew kulisaidia taifa lake.
5: Elimu ya form six iondolewe iliplaciwe na college ,
6: tudumishe elimu ya ufundi na shule pamoja na vyuo vyake kama veta, ili kupata wataalam wa aina zote.
7: mwisho elimu yetu iwe ya vitendo zaidi kuliko nadharia, sio jitu linajiita msomi hata kujenga hoja aliwezi.
,....................ni hayo tuu..........alamsiki..............................................