Mathayo Christopher
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 413
- 289
Kurudisha heshima kwenye jamii au kuongeza umaskini kwenye jamii???Ntamshukuru kwa kurudisha heshima kwa jamii.
Wewe ndiye uliyedidimia kidemocrasia.Marais waliomtangulia walijuvunia kukua kwa democrasia je yeye anajisikiaje akiambiwa democrasia imedidimia? Je anajua kuwa hakuna maendeleo kama hakuna democrasia?
Unarudi reverse?Nitamwambia SINA CHA KUKUAMBIA nasubiri 2015 ifike.Asante.
Ningemshauri swala la Tanzania ya viwanda ahusishe sana wadau na wataalam wa mipango kabla ya kuingia mikataba ili kupunguza uwezekano wa kuwa na viwanda white elephants.MH RAIS AKIKUPA NAFASI YA KUONGEA NAE LEO JAPO KWA DAKIKA MOJA TU,
JE UTAMWAMBIA NINI? PAMOJA NA...PONGEZI,USHAURI HATA MAOMBI n.k
Angalizo..maneno ya staha ni muhimu.
Kuongea na RAIS sio kutenda kosa usiogope...Ningejibu kwa dhati lakini sina mil. 7
Inategemea na nitakachokisema kwa dhati na jinsi gani atakichukulia. Ukweli wa mtazamo wangu unaweza kuwa uchochezi kwa maono yake na hapo mil 7 itanihusu.Kuongea na RAIS sio kutenda kosa usiogope...