mchovu wa fikra
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 335
- 396
Nitamwambia asilegeze msimamo, mpaka atakapomaliza muhula wakeMH RAIS AKIKUPA NAFASI YA KUONGEA NAE LEO JAPO KWA DAKIKA MOJA TU,
JE UTAMWAMBIA NINI? PAMOJA NA...PONGEZI,USHAURI HATA MAOMBI n.k
Angalizo..maneno ya staha ni muhimu.
Ndugu yangu Stress za PAYE kubwa,huduma mbovu kitaa na kama vile haitoshi nimesikia WANAITAKA NA NSSF yangu!Mkuu unaishi kurudi nyuma au? 2015 ipi tena?
Pasco, amekusikia na NENO LIMEISHATOKA! Kuna uzi hapa kuhusu hilo neno kutoka kwa mtukufu.Mimi nitamuomba aseme neno moja tuu
"Nimeguswa na tetemeko la ardhi Bukoba, Poleni! "
Na roho yangu itapona! .
Pasco