Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Ninge wazika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu walizoea kuwa na vibur sasa ngoja wanyoke mana unakuta hata shule hamna lakin mtu kajaa kibur teleMimi napenda akanyagie hapo hapo na ikibidi aongeze makali ili watu waisome namba vizuri na wajute kuzaliwa na kukutana na awamu hii. Ikishakuwa hivyo akili itaingia vichwani na akili hiyo itakuwa msaada sana katika uchaguzi mkuu ujao.
Nn mkuuWe jamaa wewe.......hahahaaaha
Tumemchagua magufuli, sasa wewe labda uko kisiwa fulani hivi cha wavaa vilemba.i guess uko kilwa.Kama ungekuwa RAIS wa kuchaguliwa
Nobody, but What do you mean sir ?!*WHO KNOWS TOMORROW??*
Hii imekaa kinadharia kweli. Unamsimika Nyerere ushindi wa mabadiliko yaliyoshindwa. Nyerere failed on the outset. Hakuna cha wasaidizi wala blah blah. The policy was poor and impracticable. We lost so many years under his watch.hii fursa adimu mno, yangu ni matano
1. Nyerere alidhamiria kuijenga bongo kuwa heaven kupitia ujamaa ila wasaidizi wake baadhi aidha hawakuwa competent enough, au hawakumwelewa na dira yake nzima au labda walimwangusha i do not know so it is a big lesson to him too! namuasa asimuamini kabisa msaidizi wake yoyote (ila hii iwe moyoni tu asiiseme) na awe anawapima wasaidizi wake performance regularly (kila 3 months wampe ripoti ya kazi zao na waprove kuwa watu sahihi kwa kazi walizopewa ) na anaezembea asimuoneee aibu amuondoe haraka bila kuchelewa
2. Elimu na technology ni engine ya maendeleo ya nchi yoyote, namuomba mkuu awalipe walimu vizuri zaidi ya sasa na aboreshe miundombinu mashuleni na vitabu viwe vya kutosha mashuleni na viboko vifutwe! mi naamini binadamu si ng'ombe wa kupigwa pigwa ovyo. watoto wanachukia shule , wanachukia elimu na walimu wao , wanachukia english na hisabati masomo muhimu sababu ya viboko! namuomba afumue haraka mitaala ya elimu ya sasa yote , awashukie watu wa taasisi ya ukuzaji mitaala watafakari mitaala yao inaleta watu wa namna gani maofisini na mitaani! kila mtoto sasa anataka kuwa msanii wa bongofleva tu! kila muajiriwa mpya anataka miezi sita tu ya ajira awe na nyumba na baloon! mi naona hii mitaala ya sasa inajenga jamii ya mafisadi na wapiga dili wa baadae tu!
3. Abane pesa zaidi ya sasa na matumizi yasiyo ya lazima serikalini yaondolewe yote , abane mianya yote ya rushwa na ufisadi , akomeshe ujambazi na ujangili vibaki historia na asijali kabisa mayowe ya watu kuwa hali ngumu kwa maana baada ya muda mrefu kidogo (maybe 2 to 3 years ) ubanaji huu wa mission town ndo utaleta matunda na faida kubwa kwa nchi na utaibua utamaduni mpya na bora kwa wabongo , utamaduni wa kufanya kazi kwa bidii bila kuchagua kazi na bila kuona aibu ya kazi yoyote ilimradi watoto na mke wapate MENU! kwasaasa kizazi hiki tumejaa uvivu, tunashinda vijiweni na kucheza pool table na bao, tunataka pesa za haraka haraka kwa njia za ujanja ujanja, tunapenda udalali , showing off, kupiga mizinga wapiga dili , wizi na ufisadi! na tukifika mahali hakuna baba au kijana anaona aibu kubeba zege au kuuza karanga mitaani , hapo sasa ndio penyewe mkuu akusanye kodi za kutosha kwa kila mtu hata anaeingiza 500 kwa siku japo hata 20! viwanda vikijengwa na tayari tukiwa na utamaduni mpya wa kupiga kazi bila aibu wala kuchagua kazi ndo tutaendelea, ila kwasasa tumejaa uvivu hata mtu umuwekee kiwanda mlangoni pake , ataenda kwanza kijiweni kubarizi halafu baadae ndo atakuja kiwandani kuzuga kuwa anapiga kazi!
4. aondoe ushirikiano wa kiuchumi na wazungu achukue wachina! unyonyaji wa wazungu kupitia riba za mikopo yao ni sumu ya maendeleo!
5. wageni wanaoishi bongo bila vibali vya kuishi na kufanya kazi waondolewe kila ofisi warudi makwao, vitambulisho vya taifa viharakishwe! wageni ni hatari kwa usalama na uchumi wa nchi, wanachuma bongo , wanawekeza makwao!
Najua sababu mjomba kabana nam nasema ashikilie hapohapo wanyookeKwahiyo nia yako ni kutaka tujue kuwa unampango wa kununua kiwanja ila hela ilikuwa haijatoshea na sasa unabembelezwa? Je kama anauza kwa kuwa na shida binafsi au ana matatizo? Au kwako we unadhani magufuli ameathiri kila mtu?
Mangi yule alinionesha zarau sana siku nina shida na kiwanja chake...sasa mkulu ashikilie hvohvo mpaka desemba .unafurahi mwenzio mangi kutingwa???
mtu akipatwa an shida si busara kushangilia..........
Ndagha ndagha mkamu ghwang akole bhubhubho umalafyale ujhu wagholoke.Kyenekyaka,,,,,twaghane pampingo kk
Wenye jeuri ya kununua viwanja mbweni kwa asaiv tupo wachache ndo mana kaning'ang'ania mimi mkuuKaa usubirie hiyo December kama na chenyewe kitakusubiri uone kama hujaenda nunua kishumundu ama kilindi