Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Hakika nimeshangazwa sana Na viongozi walioteua Kibamba kuwa Makao makuu ya wilaya ya Ubungo.Binafsi siamini kama kuna hoja muhimu iliyopelekea kuamua hivyo zaidi ya kuwakomoa wananchi kufuata Huduma mbali Na kupata 10% Kwa mwenye Nyumba.Nakuomba Rais uyarudishe makao makuu Ubungo Maji Na ukizingatia kuna majengo mengi Na ni katikati kuliko Kibamba.Wananchi wanalazimika kupanda mabasi 3.Tusaidie Rais wetu watendaji wako wanatutesa wananchi wako.
 
Bado miaka 09 na miezi 02 mh.Rais kutoka madarakani serekali hawezi kumridhisha kila mtu tulieni muache kulalamika bila sababu za msingi
 
WHO KNOWS TOMORROW??
In 1985, Dasuki arrested Buhari.
In 2016, Buhari arrested Dasuki.
In 1995, Al Mustapha arrested Obasanjo on the order of General Abacha.
In 1999, Obasanjo arrested Al Mustapha and he was jailed for 8 years.

In 2005, Diego Simeone was under Fernando Torres. Torres was the Club Captain despite being far younger than Simeone; but He did what Torres ordered.

In 2016, Diego Simeone is now Fernando Torres coach. Torres now takes orders from Simeone.

In the 90's under Rawlings regime Dr. Spio Gabriel was the minister of communications and Mahama was his deputy.

Today John Mahama is the President and has employed his former boss as minister.

Life is like a COIN thrown up in the air. You can't really predict which side will turn up.

NO ONE STAYS ON TOP FOREVER. IT'S JUST A MATTER OF TIME AND SEASON.

That Person you Despised/Ridiculed/Treated like shits and act like GOD over today, may have control over your Life/Career or Save your head tomorrow. NO ONE KNOWS TOMORROW!.

Treat everyone with respect and show some kindness because there will always be a tomorrow. Be good to all!

A Boss today might become a Subordinate tomorrow bacause there's no parmanent state in life.

ALWAYS USE YOUR POWERS AND POSITIONS CAUTIOUSLY AND FOR THE BENEFIT OF ALL.

Always stand for what is right, fair and just.
Like Mugabe said: "...treat the towel with care because the same place you used in cleaning your bottom today might be the same place you will use in cleaning your face tomorrow."

REMEMBER THIS, NO ACT OF KINDNESS IS A WASTE! OUR PRIME PURPOSE IN LIFE IS TO HELP OTHERS AND IF YOU CAN NOT HELP THEM, AT LEAST DO NOT HURT THEM! -
My signature prevails
 
Toka kuingia madarakani Rais J.P. Magufuli amefanya mabadiliko makubwa na sisi kama watanzania tuwe na subira. Kauli mbiu ya vyama vya upinzani ilikuwa mabadiliko na kama alivyotabiri hayati Mwalimu Nyerere kuwa mabadiliko yatatoka ndani ya CCM. Kwa muda wa mwaka mmoja Rais Magufuli amerudisha nidhamu na ufanisi katika nyanja zote za serikali, ni jambo la kusikitisha sana kuona vyama vya upinzani vikimlaumu Mhe. Rais Magufuli bila sababu yeyote.
Mie ushauri wangu kwa watanzania tumuunge huyu kiongozi wetu kwa hali na Mali ili tujenge Tanzania imara
 
Pole na mashughuli mkuu.Lengo la barua yangu kwako no kukuuliza yafuatayo:

1)ajira mpya 2016

2)uhamisho wa watumishi 2016

3)madaraja au vyeo vya watumishi

Ni hayo mheshimiwa kipindi cha kampeni ulisema unawaonea huruma watumishi basi tuonee huruma katika hayo

kwa kuwa ni msomaji wa jamii forum nina imani hata wasaidizi wako watakupa Ujumbe.

Asanteni sana jioni njema
 
Magufuli aliwaambia NHC wawatolee nje vitu wao Wapangaji wanaodaiwa Ndani ya Siku saba, Tena akakebehi, Kama "Yule Mjamaa" Nafikiri alisahau Kumalizia sentensi sijui ni kwa kuwa na Kazi nyingi, siju. Ila angekuwa Mkweli alingesema, "Kama Yule Jamaa tuliowatuma Mtupe vitu vyake nje"

Hilo sio langu leo Langu Ni Unnunuzi wa Ndege Mbili za ATC na Kufanya Mmiliki wake Kuwa serikali Ili Kukwepa Wadai wa ATC wasizichukue. Na Kadhalika Wazabuni wa Ndani, wanaolisha Shule za Sekondari, Wajenzi, Wasambaza madawa etc Wanaidai Serikali Madeni ya Karibu Trillion 4. Rais Mkapa alikuwa Mwaminifu Kulipa Madeni. Sasa Ukiwa Unamdai Mtu anakuambia Hela sina Nivumilie halafu Ukimfuatilia Unaona Akinunulia Watu Bia Clubuni na anafuungua Biashara kwa Majina Mwngine Huyu Utamwitaje, MTAPELI SIO?

Mh Magufuli, Ulitoa Siku 7 Kwa wadaiwa wa NHC Kuipa au watolewe nje, ingawa najua ilikuwa kujikosha kwa Uhuni wa siasa Uliomfanyia Mbowe, Na wewe Basi? Nakusihi, Ndani ya Siku saba, Lipa Wazabuni wa Ndani Pesa zao, by the way wakizipata na Kuzitumia Zitazunguka.

By the way Siku saba Ziliisha zamani, Mbona sijasikia Mali za Wengine zimetrupwa Nje na NHC au Wote Wameshalipa? Unafiki Unanuka Kama Mzoga!
 
Hivi mnajua kuwa ATCL ni kampuni?? Ni legal entity??
Kwa nini mnakurupuka namna hii??
 
Nauliza tu siku walizopewa Nhc kutoa vitu nje Kama za Mbowe siku nafikiri zimeisha,vipi Mchechu umefanya hivyo ? Au hasira zilikuwa kwa Mbowe wadaiwa walikuwa wengi!!
 
Hivi mnajua kuwa ATCL ni kampuni?? Ni legal entity??
Kwa nini mnakurupuka namna hii??
Pesa zilizonunua Ndege Ni za Nani? Na Ni nani alikuwa akijisifu na Kusema ametoa pesa Cash Kununua Ndege hizo? Please, Nenda Kamwambie Ole Sendeka Mokili simwezi!
 
chadema tunataka mwenyekiti mpya, mbowe miaka 12 ya uenyekiti inamtosha!
 
Nauliza tu siku walizopewa Nhc kutoa vitu nje Kama za Mbowe siku nafikiri zimeisha,vipi Mchechu umefanya hivyo ? Au hasira zilikuwa kwa Mbowe wadaiwa walikuwa wengi!!
Usisahau Ushahidi Huu hapa Ni Yupi wa CCM Katolewa Nje, Mnafiki Huyu alikuwa akijikosha Kufanya Uhuni wa Kisiasa Siku saba Zimeisha Nani Katupiwa Vitu Nje? Magu acha Unafiki na Usanii its so sick!
 
Magufuli anadaiwa na vyuo vikuu c chini ya mwaka sasa na c chini ya Billioni 50+ . Hajalipa!!

Ama kweli nimeamini msemo wa "Nyani haoni Kundule"
 
Dawa ya deni ni kulipa mwache aendelee kuyaongeza atatoa kwenye mshahara wake.


Au wachangishe ikulu kama kawaida yao.
 
Inchi inahitaji Quantum change, mama na wengine wengi are dead weights.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom