Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Sijui kama ataweza soma huo waraka yuko bize

ungemtumia msigwa
 
Hakuna kitu hapo maandiko marefu dhamira inakushtaki. Unachosema ukipitia ndani ya mistari yako ni kuwa serikali za CCM hususan hii inapewa ajenda za utekelezaji na akina bashite. Hata huyo uliyemwandikia unamsisitizia aushikilie na azingatie ubashite.

Hongera bashite
 
Ahsante kwa shudu ulizotema hapa...vyeti ndo mpango then mengine yatafuata, acha kujifanya mzalendo sana kenge maji wewe.
 
Nasikia WAUZA UNGA wameapa mpaka Wamuondoe Makonda.
Na taarifa za mitaani ni kwamba WAKISIKIA tu Makonda ametolewa watafanya sherehe.
Wauza UNGA ni lazima wajue kuwa hawawezi kuendelea kuharibu maisha ya vijana.

Siku zao zimetimia. Mmoja mmoja watakamatwa. Na chuki dhidi ya Makonda haitawasaidia.
Tunajua wana MTANDAO mkubwa, KIFEDHA, KI MEDIA na MITANDAO ya KIJAMII kuhakikisha WANAWEKA PRESHA ili atolewe. Hawatafanikiwa.
 


Mzalendo wote huu lakini ndani hamna kitu
 
Vijana walioharibika kwa madawa ya kulevya hawako TZ tu, wapo wengine mashuhuri ulimwengu mzima, kwa hiyo alichofanya Makonda siyo sayansi ya roketi ni wajibu wa serikali yoyote yenye weledi kupambana na hili janga. Suala la vyeti vya Makonda halitaisha kwa kumtetea, bali yeye kutoa vyeti vyake halali. Obama lizushiwa kuwa hakuzaliwa marekani na ili kukat mzizi wa fitna aliweka hadharani cheti chake cha kuzaliwa, watu wakaufyata akiwemo rais wa sasa wa marekani bw.Trump.
 
Mh Rais kweli mm raia wako sikuelewi. Siku zinavyo kwenda nazidi kuwa na maswali meng kama tamthilia ya kusadikika.
Hivi kwanini Makonda issue yake umekuwa kimya sana?
Je nikweli taarifa zina sema huyu mkuu ana vyeti fake?
Kama kweli kwanini haguswi?
Mkuu watu wameumia sana na kama hili lamakonda ni kweli haliwezi kuacha furaha ndani ya mioyo ya watu.
Kiukweli kabisa watanzania wote kwa ujumla tunataka kujuwa ukweli na huo ndio utawala bora.
Nitashukuru kama utanijibu mh Rais.
 
Hii ni moja wapo ya serikali ya ajabu kabisa hapa duniani...

Double standard gani ya wazi wazi??

Who is Makonda in this Country??

Wapo wapi watetezi wa haki za binadamu wapaze sauti kwenye hili. Kwasababu kuna maelfu ya watu wamepoteza ajira zao sababu ya vyeti feki sasa kwanini huyu anaachwa.

Dhambi unayoifanya ya kuendelea kumbembeleza huyu Daudi Albert Bashite haitopita hivi hivi.

Muda utaongea hivi karibuni tu.
 
Kwani uliwahi kumuelewa kwenye lipi urujuze na sisi
 
Kama Daudi Albert Bashite angekuwa ametokea kaskazini zamani mkemia wa mabua ya korosho ungekuta keshamaliza kazi
 
Kuna mambo ambayo ningependa kumuuliza sizonje Kama nikikutana naye Na kupata nafasi ya kumuuliza maswali..

1. Hivi sizonje unaisi ww ni kiongozi wa aina gan?

2. Hivi sizonje unahisi wanyonge wanaumizwa au wanafarijika Na kauli zako?

3.Hivi sizonje unajua kuwa kwa madalaka uliyonayo kauli yoyote unayo itoa Ni amri kwa wahusika?

4.Hivi sizonje Kuna wakati huwa unatoa hotuba za utani Na huwa humaanishi?

5.Hivi sizonje mchakato wa uhakiki wa watumishi hewa umefikia wapi maana Kuna vijana wanaungua Na jua mtaani kuzisubiria ajira?

6.Hivi sizonje bashite Ni msamiati mpya katika lugha ya kiswahili?

7.Hivi sizonje wewe Ni member wa SHILAWADU?

8. Hivi sizonje unajua kuwa wanaokusifia hadharani huofia kutumbuliwa na kufungwa na si vinginevyo?

9.Hivi sizonje Una taarifa kuwa kauli zako zinaweza kusababisha makundi katika himaya yako

10.Hivi sizonje huwa unawasikiliza washauri wako?
 
Mkuu acha dharau....***** utamuitaje mtu Jina baya kama hilo....unajua Vijana mnapotumia I'd fake na maisha yenu yote yanakua fake...utamuitaje sizonje Rais wako...? Nyie ndo mnapaswa mtiwe adabu kabsa

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu acha dharau....***** utamuitaje mtu Jina baya kama hilo....unajua Vijana mnapotumia I'd fake na maisha yenu yote yanakua fake...utamuitaje sizonje Rais wako...? Nyie ndo mnapaswa mtiwe adabu kabsa

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Usimpake rangi donkey ageuke kuwa zebra

Boya wewe
 
Wana bodi nawasalimu.....

Naanzisha uzi huu ili tuweze mshauri mh. Raisi (kwa nia njema kabisa) katika utendaji wa kazi zake wa kila siku.... hapa unaweza weka kero yako na ushauri wowote unavo ona mambo yanapaswa kwenda.... Kama ni ofisini kwako, mtaani nk.... nia ni kumpa yeye urahisi wa kujua watz wanafikilia nini na wanataka nini.....

Ushauri wangu:

Wakati CAG anasema pesa za maendeleo kapelekewa sh 0 mpaka sasa hivi.... taasisi nyingi na wizara zinakumbana na adha hii.....

Ugawaji wa pesa kwa utaratibu wa sasa unafanya baadhi ya taasisi zisizo kuwa usoni au karibu nae kuto pewa kipaumbele kabisa.... mfano kuna kazi za ujenzi wa nyumba wa baadhi ya taasisi na wizara ulianza tangu mwaka wa fedha 2012/13, umesismama kabisa na wakandarasi wako site kwa muda wote huo maana pesa haiendi kabisa... yawezekana sio kipaumbele chake kwa sasa.... kwa nn asingemaliza hizi kazi za zamani maana ziko kimkataba na kuanza upya kwa utaratibu wake wa kuwatumia TBA... watu wanakufa kwa pressure, mabank yanadai na kuuza mali zao .... wakandarasi wanafilisika na kupoteza mitaji waliyo ijenga kwa miaka mingi .... watoto hawaendi shule.... na ni watz wanao teseka zaidi maana watz wana hulka ya kuto pambana na serikali kufuata mikataba....

Ningeshauri bajeti kama ilivo pangwa na bunge itumike hivo kuondoa
matatizo ya pesa za maendeleo kuto enda baadhi ya taasisi au wizara....

Nakaribisha Maoni na ushauri wowote wa kujenga taifa letu kwa Mkuu wetu....
 
Mshauri we mwenyewe peke yako. Kwani umeambiwa hana mshauri? Jipendekeze utajua mwenyewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…