ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Taaluma na njaa!!!ngumu kuelewa,ni mwanasheria gani atahudhuria mahakamani bila kushiba,ni mwalimu gani atafundisha huku anapiga miayo?ni muuguzi gani atafanya kazi na njaa?ataomba rushwa tu au atabana nguvu zake ili aweze kutembea wakati wa kurudi nyumbani.Kenya inaongoza kwa ufisadi...ila maendeleo yako juu yetu... Tatizo la serikali yetu ni wanasiasa kuingilia mambo ya kitaalamu... Na juzi nilimsikia kenyatta akijipongeza kwa hili...
Kama haliwezekani tusubiri Yesu arudi,tusiote maendeleo basi,siyo tunapigiana makelele tu.Yaani mimi nimlinde faru Fausta anayetumia mamilioni halafu nilipwe laki mbili !!wakati hata chakula chake tu nakitamani!Hilo haliwezekani, hata wakiacha kujilipa hata shilingi na kufanya kazi ya kujitolea hizo fedha bado hazitatosha kulipa kila Mtanzania vizuri, maadamu hkn uzalishaji hakuwezi kuwa na fedha ya maisha mazuri!
Kama haliwezekani tusubiri Yesu arudi,tusiote maendeleo basi,siyo tunapigiana makelele tu.Yaani mimi nimlinde faru Fausta anayetumia mamilioni halafu nilipwe laki mbili !!wakati hata chakula chake tu nakitamani!
Post sent using JamiiForums mobile app
Na baada ya kujitolea kwenu mbona hatuendelei?Wewe unaweza kuacha huwo ni uamuzi wako lkn tupo Watz wengi tulio tayari kujitolea kwa ajili ya nchi yetu!
Na baada ya kujitolea kwenu mbona hatuendelei?
Mie nimetoa ushauri tu kwa serikali kama wewe ndo serikali sawa,subiri tutaendelea kesho.
Post sent using JamiiForums mobile app
Wewe unaweza kuacha huwo ni uamuzi wako lkn tupo Watz wengi tulio tayari kujitolea kwa ajili ya nchi yetu!
maendeleo yatakuja Tz pale tu nduli CCM itakapo kufaTuache hizi longolongo za uzalendo sasa,zimepitwa na wakati.Mara wapiga dili sijui mafisadi na wala rushwa mambo ya kizamani hayo. Mhenga mkuu aliyezifanya mbingu na nchi alishasema ni halali kwa mlawi kula vya madhabahuni.
Unategemea nini kuniweka juu ya hazina yako wakati nina kiu na njaa balaa!naanzaje mimi kutunza hiyo hazina bila kuitiatia mkono?
Njaa siyo mchezo,Mfalme Daudi alikula mikate ya wonyesho akijua si halali kwake, Hivi vijichenji mnavyo walipa watumishi wenu havikidhi njaa zao mjue.Lipeni mishahara ya maana muone watu wanavyopiga kazi.Kazi na njaa ni kama mbingu na ardhi bana.
Hebu jaribuni hilo mjionee maajabu.
Post sent using JamiiForums mobile app
Lakini mkuu,wanapohakiki si ndo kazi yenyewe?na si wameshiba?tuhakikiane tukiwa tumeshiba wote basi.Fikiria ile energy mwalimu anayotumia kukuimbisha a,b,c,d,halafu hata maji hana si uzwazwa huo! watoto watafaulu kweli?Wabadilike tu hata kama wanapunguza ajira ni sawa lakini hao wanaobakia washibe.ili watumike kweli.Naona umeshawasoma wakina Philip Mpango na Magufuli, maana wao huchukua mawazo ya wana JF na kuyafanyia kazi, hivyo unadhani hili wazo watalifanyia kazi, thubutu!! Magu hasomeki hata mshahara mwaka huu nyongeza endeleeni kuota, kwanza ni uhakiki wa DRS la saba, then unakuja uhakiki wa vyeti vya taaluma, tunaanza na Certificate ikiisha, inakuja vyeti vya Diploma, then Bachelor na Masters then ndo nyongeza sasa hiyo ni 2019, tujiandae kwa uchaguzi wa kumrudisha Magu tena, hahaha
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Kivipi mkuu.Hii nchi itaendelea baada ya watu kuifanya siasa ndio uti wa mgongo wa nchi hii.
Lakini si wamesikia.CCM hawatakuelewa.
Hii nchi sasa hivi kila mtu mwanasiasa hatuna muda maalum wa kudeal na siasa na muda wa kufanya maendeleo hatujifunzi kutoka nchi zilizoendelea wakimaliza uchaguzi....Kivipi mkuu.
Post sent using JamiiForums mobile app
Ni kweliLakini si wamesikia.
Post sent using JamiiForums mobile app
Watu walioenda shule kuiacha siasa kwa wasioenda shule ndio imekuwa tatizo,wenye elimu watakwambia mimi na siasa tofauti ndio maana mabashite wanatuongoza kwasababu wao wameingia kwenye siasa na kuwa viongozi.na mtu yoyote hawezi kujitenga na siasa kwasababu siasa ndio inatupangia maisha iwe unataka au hutaki siasa itaathiri maisha yako kwa namna moja au nyingine.Hii nchi sasa hivi kila mtu mwanasiasa hatuna muda maalum wa kudeal na siasa na muda wa kufanya maendeleo hatujifunzi kutoka nchi zilizoendelea wakimaliza uchaguzi....