ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Taaluma na njaa!!!ngumu kuelewa,ni mwanasheria gani atahudhuria mahakamani bila kushiba,ni mwalimu gani atafundisha huku anapiga miayo?ni muuguzi gani atafanya kazi na njaa?ataomba rushwa tu au atabana nguvu zake ili aweze kutembea wakati wa kurudi nyumbani.Kenya inaongoza kwa ufisadi...ila maendeleo yako juu yetu... Tatizo la serikali yetu ni wanasiasa kuingilia mambo ya kitaalamu... Na juzi nilimsikia kenyatta akijipongeza kwa hili...
Mishahara ya wakenya ndiyo hii ya kibongo?
Post sent using JamiiForums mobile app