Hao current nao wamefundishwa na hao wenye taaluma za zaman
Kama ivo kwan nao ni copy n paste tuinabidi na malecturer kuwe na system ya continuously checking if they are up to date
Kwani professor unasomewa wapi mpaka uonekane ni wazamani Maana sijakuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkulu alishatamka kuwa yeye hasikilizi ushauri wa mtu yoyote kwa kuwa yeye ni Rais anayejiamini na alikwenda Dodoma mwenyewe kuchukua fomu ya Urais bila kushauriwa,na mtu yeyote!Hello JF,
Sijui wenzangu mnaonaje,ila naona kama Rais anapotea njia,
Kuwateua maproffesor ,
Taaluma zao ni za zamani,lol
Nadhani hata projects walizozifanya ni za zamani,
Mkuu angeteua fresh graduates,
waliosoma current time,current climate
tena kama salad,ateue kote,
waliosoma ndani na nje,
ningependa pia kuona kuna CONTINOUS PROFESSIONAL DEVELOPMENT kwa hao utakaowateua,namaanisha kuwe na appraisal na training inapobidi,......
mazingira ndio hubadilika kwa asilimia kubwa ila kanuni hubaki vile vile.hujaelewa nini mamii,ukitaka kua professor unatakiwa uchague topic ya kufanyia kazi/research uchapishe,sasa mara nyingi zinahusu muda huo huo ambao walikuwepo wakisoma,ndio maana nimeconclude ni za zamani.
hao mafresh graduate wamefundishwa na nani?Hello JF,
Sijui wenzangu mnaonaje,ila naona kama Rais anapotea njia,
Kuwateua maproffesor ,
Taaluma zao ni za zamani,lol
Nadhani hata projects walizozifanya ni za zamani,
Mkuu angeteua fresh graduates,
waliosoma current time,current climate
tena kama salad,ateue kote,
waliosoma ndani na nje,
ningependa pia kuona kuna CONTINOUS PROFESSIONAL DEVELOPMENT kwa hao utakaowateua,namaanisha kuwe na appraisal na training inapobidi,......
hao mafresh graduate wamefundishwa na nani?