Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Hello JF,

Sijui wenzangu mnaonaje,ila naona kama Rais anapotea njia,

Kuwateua maproffesor ,

Taaluma zao ni za zamani,lol

Nadhani hata projects walizozifanya ni za zamani,

Mkuu angeteua fresh graduates,

waliosoma current time,current climate

tena kama salad,ateue kote,

waliosoma ndani na nje,

ningependa pia kuona kuna CONTINOUS PROFESSIONAL DEVELOPMENT kwa hao utakaowateua,namaanisha kuwe na appraisal na training inapobidi,......
Mkulu alishatamka kuwa yeye hasikilizi ushauri wa mtu yoyote kwa kuwa yeye ni Rais anayejiamini na alikwenda Dodoma mwenyewe kuchukua fomu ya Urais bila kushauriwa,na mtu yeyote!

Kwa hiyo naona kama huo ushauri wako ni sawa sawa na kumpigia mbuzi gitaaa......
 
wazo zuri.....

kwa kuongezea tu, wazee wenye miaka zaidi ya 65 wakistaafu wasijihusishe na siasa... wapumzike wale pensheni yao...
 
hujaelewa nini mamii,ukitaka kua professor unatakiwa uchague topic ya kufanyia kazi/research uchapishe,sasa mara nyingi zinahusu muda huo huo ambao walikuwepo wakisoma,ndio maana nimeconclude ni za zamani.
mazingira ndio hubadilika kwa asilimia kubwa ila kanuni hubaki vile vile.
 
Hello JF,

Sijui wenzangu mnaonaje,ila naona kama Rais anapotea njia,

Kuwateua maproffesor ,

Taaluma zao ni za zamani,lol

Nadhani hata projects walizozifanya ni za zamani,

Mkuu angeteua fresh graduates,

waliosoma current time,current climate

tena kama salad,ateue kote,

waliosoma ndani na nje,

ningependa pia kuona kuna CONTINOUS PROFESSIONAL DEVELOPMENT kwa hao utakaowateua,namaanisha kuwe na appraisal na training inapobidi,......
hao mafresh graduate wamefundishwa na nani?
 
ninaona katika teuzi aanzie kizazi kilichozaliwa baada ya mwaka 77 ndio wenye mwonekana wa kuwa wazalendo wengine bado wana hasira za Mwlm kutowa ruhusu sasa ndio wanajiaandaa kuchukua chako mapema
 
Pamoja na vigezo vya kiutendaji kama vile Nidhamu, Juhudi na Maarifa, kuna kigezo kimoja muhimu kilichojificha " hidden" kiitwacho I.Q

Ukiwa na I.Q kubwa utakuwa na I.Q kubwa haijalishi umegraduate lini!

Mtu akiweza kuwa profesa ni ushahidi kuwa mtu huyo ana I.Q fulani kubwa kulinganisha na percentage kubwa ya watu katika jamii yake!.

Utafiti umeshaonyesha kuwa Success (Mipango bora, Utekelezaji wake, na Mavuno bora) yana correlation kubwa na I.Q ya watu husika.

Hata katika mkusanyiko wa kitimu kwa mfano Majeshi mawili yaliyoko vitani, Kama idadi ya wanajeshi wa pande mbili ni sawa, na nguvu za kivifaa ni sawa, basi Jeshi ambalo wanajeshi wake wana average I.Q kubwa litalipiga hilo ambalo average I.Q ya wanajeshi wake iko chini!

Hata hivyo nataka nieleweke, I.Q haina uhusiano wowote na elimu ya darasani, Hata hivyo kupitia Elimu ya darasani unaweza Kuspot on watu wenye I.Q kubwa pia.

Mpaka mtu anakuwa Profesa, huyo mtu si wa mchezo mchezo, Iwapo mazingira ya utendaji kazi yakiwa mazuri na Ukawaacha maprofesa wakafanya kazi yao, I believe wana capacities za kuturn things around na kuwa better!.

Kichwa chenye I.Q kubwa ni kama processor yenye capacity kubwa zaidi, Ili hiyo processor uweze kuifaidi matunda yake basi zile hardware zinazoizunguuka nazo ziwe na capacity bora!
 
Hata kama uko challenged nimependa hoja yako...binafsi hawa wanaoitwa maprofessor Mmmh
Zaidi huwa naona bora hata kupata mawazo mbadala kwa MTU baki
Huo uprofessor labda maprofessor wenzao ndo wanajua umuhimu wao...
Now days kuna watu kama kina Zuckerberg ndio walitakiwa kuwa maprofessor

carnte himself
 
Mitandaoni mmekuwa bize sana kumshambulia Tundu Lissu kuhusu tadhari anazotoa juu ya Taifa kushtakiwa na wawekezaji

Wawekezaji mbali mbali wakiwemo wale wa makampuni ya madini

Hapa Lissu anakosagani kwanini uvccm wasishambulie Kwa sauti kubwa

Kumtaka mh Rais wetu afanye ya fuatayo

1:Mikataba yote ya madini,gesi na mafuta iwekwe wazi na ijadiliwe live bungeni

2:Walio andaa na kusaini mikataba hii ya hovyo wakamate na kufirisiwa haraka

2:Walio tajwa na ripoti ya makiniki kupitia tume zilizo undwa na mh rais washughulikiwe haraka sana mahakamani

3:Sharia za rasilimali zirudishwe bungeni zikajadiliwe Kwa uwazi na Kwa muda wakutosha na waananchi tupewe muda tujadili sheria na mikataba yote ya mikataba

4:wajumbe wanao jadiliana na wale wazungu wa makinikia kutoka Tz tuwajue na taarifa ya mijadala hiyo iwekwe wazi

5:Lissu na wazalendo wengine waingizwe katika team ya wanasheria kupitia mikataba yote ya Mali asili zetu

Uvccm panueni akili msipanue midomo kumshambulie mzalendo Lissu

By magembe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom