Kiingereza mkuu ambacho amekitumia hadi kufikia ngazi ya udaktari kwa kusoma na kufanya utafiti sio wa kupewa. Nyingine ni kisukuma. Anakifahamu vizuri lakini sio lugha rasmi kitaifa na kimataifaKwani kuna lugha nyingine mbadala ambayo angeweza kuitumia zaidi ya kiswahili?
Kila chama kilikuwa na ilani yake, sasa kusema ampe ubunge then cheo anachostahili Serikalini una maana gani? Je akiwa serikalini atakuwa anatekeleza ilani ipi kati ya ile ya ACT ya kwake na hii yenu ya CCM?
Wakitutembelea hapa atumie kiswahili. Akitembea kwa wenzetu waarabu, wachina, warusi Nk atumie kiswahili
Akitembea ktk nchi za kiingereza kama uingereza, baadhi ya nchi za ulaya na marekani hana budi kutumia kiingereza
inasemekana jamaa ni mtupu kwenye hiyo lugha ya kufundishia. Huoni wazo hili ni kujihami na kuficha huo udhaifu? Hiyo siku atakayoongea kizungu nadhani hapa jukwaani ndio itakuwa sehemu ya kumdhihakia. Japo ni wazo zuri kutumia kiswahili hasa kama jamaa ni mzito kwenye hiyo lugha.
Wanaccm jiandaeni kukoseshwa raha hiyo siku kizungu kitatumika na kama andaeni matusi kabisa maana itakuwa shida
Hata huko Uingereza, Ulaya na Marekani anatumia tu kiswahili akina Obama na Cameroun watatafsiriwa. Mbona viongozi wa china wanakwenda huko na wanatumia kichina na kuelewana bila shida.Wakitutembelea hapa atumie kiswahili. Akitembea kwa wenzetu waarabu, wachina, warusi Nk atumie kiswahili
Akitembea ktk nchi za kiingereza kama uingereza, baadhi ya nchi za ulaya na marekani hana budi kutumia kiingereza.
Akihutubia mikutano ya kimataifa kama ya afrika mashariki, sadc, AU na UN atumie kiswahili
she's so stuck in the 9th century atamshauri nini Pombe?
Mkuu anaweza pewa ubunge then akawa Mwenyekiti wa kamati za bunge moja muhim...just wazo
We kamwambie tu uache porojo, hapa jf RAIS ana watu wake wanaokusanya maoni na mitazamo ya watu. ndio maana ukiwachokonoa wakubwa hapa jf watakujia juu.Nashauri Akisharudisha hizo pesa achunguzwe ili serikali ikjiridhisha 2020 ndo apewe huo uwaziri
Serikali si hao tu, kuna watu kule Hazina, TRA, nishati na madini n.k. ambao ndio shida. Unataka afanyeje nako?
Naunga mkono hoja,pia kufichama.
Mkuu fikiri kabla ya ku type bwana unafanisha china na Tanzania kwa kigezo cha lugha are u serious??? Unamatatizo na bila shaka utakuwa ccmKwani kiingereza ni nini mbona wachina hawakijui na ni tishio duniani? Tunadumaza akili zetu kwa kuziongezea mizigo bure. Sawa tusome tukifahamu lakini siyo lazima kukitumia kila mara unapotaka kuwakilisha mawazo yako ya kina. Vikwazo vya lugha visimaanishe eti hatuna watu vichwa kuliko wazungu.
Naam, kama ile alipewa mwenye chama chake.