Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mtwara kampuni zinazohusika na uchimbaji gesi zinaondoka kwa kasi ya ajabu sana,mtwara sasaa ni kilio, watu wanatazama tu usoni na kuwaangalia wazungu wakifungasha mabegi na mitambo kwenda nchi nyingine

Unpredictable government policy
 
Mtwara kampuni zinazohusika na uchimbaji gesi zinaondoka kwa kasi ya ajabu sana,mtwara sasaa ni kilio, watu wanatazama tu usoni na kuwaangalia wazungu wakifungasha mabegi na mitambo kwenda nchi nyingine

Unpredictable government policy
Yeye jnaota kitambi tu anajua hilo
 
Mtwara kampuni zinazohusika na uchimbaji gesi zinaondoka kwa kasi ya ajabu sana,mtwara sasaa ni kilio, watu wanatazama tu usoni na kuwaangalia wazungu wakifungasha mabegi na mitambo kwenda nchi nyingine

Unpredictable government policy
Yeye jnaota kitambi tu anajua hilo
 
Hakuna asiyejuwa,wote tunajua.

JPM ndani ya muda mfupi amekirudishia heshima Chama, hata kama inapatikana kwa Mkono wa Chuma ila imetusaidia!

Watu tulikuwa tukipita Kariakoo tunazomewa, ila sasa ni full saluti.

Ila kwa ujinga huu wa DC, RC na watendaji wa Rais, nina hofu tutaanza kukimbizwa kwa mawe!

JPM usipoteze heshima ya Chama uliyorudisha ndani ya miaka miwili baada ya JK kuipoteza ndani ya miaka kumi.

Ebu deal na watendaji wako Chamani na Serikalini hatutaki kuitwa vilaza tena kama 2015 kurudi nyuma!
 
Huyo unayetaka awashughulikie hao MaDc na Ma Rc ndo huyo huyo anayewauliza "Watu wako wako wapi?" baada ya watu wake kulala mbele akala tusi la kitaifa(Ninyi ni wapumbavu) kifupi, mtoto wa nyoka ni nyoka.
 
Hakuna asiyejuwa,wote tunajua.

JPM ndani ya muda mfupi amekirudishia heshima Chama, hata kama inapatikana kwa Mkono wa Chuma ila imetusaidia!

Watu tulikuwa tukipita Kariakoo tunazomewa, ila sasa ni full saluti.

Ila kwa ujinga huu wa DC, RC na watendaji wa Rais, nina hofu tutaanza kukimbizwa kwa mawe!

JPM usipoteze heshima ya Chama uliyorudisha ndani ya miaka miwili baada ya JK kuipoteza ndani ya miaka kumi.

Ebu deal na watendaji wako Chamani na Serikalini hatutaki kuitwa vilaza tena kama 2015 kurudi nyuma!
Mkono wa chuma duu nashukuru unalijua hili
 
Bora kuzomewa kuliko kinachokuja na knachotengenezwa na kiongozi wako unayemsifu. CHUKI. Kuzomea ule ni utani wa jadi na ushabiki tu na haukuwa na madhara yoyote. Jana tu hapa huko kwenye kundi letu fulani la whatsapp, admin kamu-add DC fulani watu 50+ waka-leave kundi right away!
 
ili tanzania isimam vizuri katika mapinduzi haya mambo yatiliwe sana maanani
1. kwa sasa inatakiwa enzi ya urais irudi kwa hiyo ambaye hata ataonekana kuitizama picha ya Mh Rais kwa jicho baya anyongwe kabisa. huyu kama ameweza itizama picha ya rais kwa jicho baya je akiwepo Mh Mtukufu Rais Live si anaweza hata Kumrukia shingoni na kumkaba?

2. ikitokea mtu akatamka jina la Mh Mtukufu Rais Dr John Pombe Magufuli pasipo kuanza kama nilivyoanza huyu anyongwe pia. anaonesha uchochezi wa kiwango kikubwa. maana yake anachochea watu wasimtambue mhe mtukufu rais dr jpm. watu waache madharau

3. ili kurudisha heshima note zeote za 5000 na 10000 zichapishwe picha ya mh rais na aisyemtaka rais maana yake asitumie. huyu ni mmoja ya marais bomba kabisa barani afrika halafu wewe unaachaje kumkubali? mataifa mengi yamempa mwaliko wa yeye kwenda kutawala huko kwao lakini kwa uzalendo yeye amekataa. hata wazungu wanaweza mpa offer kuwa akimaliza miaka yake ya kutawala hapa aende na kwao. hii ni tunu yetu inabidi kuitunza mpaka kenya waanze kudai yupo kwao ndo tutashtuka

4. rais huyu ni mpenzi wa mungu.. wewe binadamu unawezaje kumkosoa? rais wetu hajawah kukosea... wewe nani unayemkosoa? anayemkosoa mh mtukufu rais dr jpm huyo polisi wanajua kazi yao.maana ni msaliti.. rais anaongoza kuelekea huko.. wewe unageuka nyuma unaangalia ulikotoka badala tu ya kumfuata mh rais anapoelekea?wewe vitani inafahamika kabisa utapatwa na jambo gani. na litakupata tu

5. mweshimiwa mtukufu rais dr jpm asipangiwe chakufanya, cha kuzungumza,pa kwenda n.k yeye anaweza fanya lolote atakalo mola hapa duniani. aachiwe hayo ni maamuzi yake binafsi asishinikizwe kwa jambo lolote. aachwe maana yeye ndo tumemchagua awe kiongozi wetu kiongozi ni kiongozi hata aweje ni kiongozi. so aachwe tena aachwe kabisa.aamue tunafanyaje.hayo madini hata akiamua yachimbwe kila mtu apewe au atengenezewe pete moja mbona ni sawa tu? acheni kumpiga miluzi mingi.

6. rais angepewa muda zaidi. kwanza hii miaka 10 ainyoooshe nchi.ainyooooshe hasa.kusiwe na kukunjika kunjika. then akimaliza apewe miaka 10 mingine hiyo sasa aangalie atengeneze vipaumbele gani.akimaliza apewe 10 ili aanze kupanga mikakati ya kutimiza hivyo vipaumbele.akimaliza tena sasa ndo apewe 10 ya kutimiza vipaumbele.
kwa sasa ni kunyooosha tu nchi. mpaka wananchi maji waite "mma"
 
Hahahahaha nimecheka kwa sauti,umesemakweli hapo kwenye picha ndo nimecheka sana,nikikumbuka mdada mmoja aliukumiwa kisa kasema kua,akiona Picha ya magufuli siku aiendi vizuri kwake.
 
Hahahahaha nimecheka kwa sauti,umesemakweli hapo kwenye picha ndo nimecheka sana,nikikumbuka mdada mmoja aliukumiwa kisa kasema kua,akiona Picha ya magufuli siku aiendi vizuri kwake.
Kwako wewe unaona ni sawa tu! Zama za kudharau mamlaka zimepitwa na wakati!
 
hii thread ni ya zamani mno ifungwe na kuaznishwa nyingine ya mwaka huu! hii imetosha.
 
Wakuu hali zenu,
Last time nilishauri waandaaji wa hotuba za rais waongee vitu gani muhimu ili kujijengea hazina na imani ya wananchi. Naona bado kwenye kikao cha ALAT karudia makosa yaleyale...hii hainitii shaka kwani coment za wengi zimeashiria kuelewa nini nakupinga --kujirudiarudia kwa mambo yaleyale kila hotuba.

Leo kufuatia kauli ya Rais kutoongeza mishahara nimeona nimshauri kitu ambacho kitamsaidia kufikia malengo yake na akapata jina kisiasa. REFORM ya utumishi wa umma.
Mheshimiwa aliahidi kuongeza mishahara kwa kiasi cha juu mara akichaguliwa kuwa Raisi. Hili lilikuwa lengo lake, lakini baada ya kuingia madarakani jana kasema hatapandisha. swali ni kwanini?
Ukitaka kujua jibu la swali hili yakupasa kuunganisha dots mbalimbali. Kwanza anzia kipindi JK alipogombana na madaktari kuhusu posho na malipo mbalimbali (kipindi cha ulimboka). Jibu la JK lilikuwa hatuna uwezo wa kulipa madaktari na wafanyakazi wengine katika kiwango wanachotaka kwakua uwezo wetu ni mdogo. Kauli ya rais kuboresha mishahara kabla hajaingia ilikuwa haina mashiko ya takwimu, kimsingi hakuna pesa ya kutosha kulipa mishahara. wage bill kwa sasa ipo kama bilioni 700, makusanyo TRA kipindi kile ilikuwa 1.13 trilion ambapo difference ni kama 400billions. ukilipa huduma nakadhalika haitoshi kuongeza mishahara.
Katika kutatua hili mheshimiwa alikimbilia vyeti feki lakini hata ukawaondoa hawa jamaa bado wage bill haijashuka kwani wenyewe wanasema tu eokoa kama 10 to 20 Billions a month... so tatizo lipo palepale. Ukiwapa promotions na increments wage bill inafika 800 Bills nazaidi.

so hakuna namna ya kuongeza mshahara. sasa nini kifanyike?
Kimsingi kinachotakiwa kufanyika ni kufanya reform ya kweli kuhakikisha utumishi wa umma inabaki na watumishi wenye tija tu. Haiwezekani ofisi inakuwa na mhudumu, secretary, HR,dereva na boss. Alafu dereva anafika na gari asubuhi kisha anakaaa tu hadi jioni amrudishe boss. Tupo kwenye digital world lazima tuangalie kada ambazo zinastahili kubaki na zingine ziondolewe hazina kazi. Special audit sio ya kisiasa au kikanda au kidini ifanyike kubaini wafanyakazi wa kada zipi wanahitajika na wangapi? ofisi zetu zimejaa watu ambao kazi zao ni chache wengine kuanzia asubuhi hadi jioni hawafanyi chochote. Heri wabaki wachache ambao watafanya kazi kama ilivyo private sector. kwenye hili hatakama litaondoa watu wengi likifanywa kiustaarabu na watu wakapewa elimu na mafao yaliyonona mheshimiwa atapata sifa na ataweza kumanage wage bill nakadhalika.

Najua wengi itawachukua muda kunielewa lakini hili ndilo tatizo. tunakada zimejaaa na kufurika watu wanalipwa bila kufanya kazi za kutosha. washauri wa JPM mshaurini hili kina kairuki mnafanya nini?

regards,

Nangu mandokwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom