Yeye anafikili kuongoza watu ni kuwatisha na kuwafanya waishi maisha ya taabu ili wamnyenyekee. Nimeamini uongozi ni kujiandaa sasa yeye ametoka from no where

Mie nakushauri tu , kama huna cha kuandika kaa kimya au upande kitandani ulale maana hujui uandikalo.Yeye anafikili kuongoza watu ni kuwatisha na kuwafanya waishi maisha ya taabu ili wamnyenyekee. Nimeamini uongozi ni kujiandaa sasa yeye ametoka from no where
Usitupangie mkuu huwezi kutulazimisha tumpende huyo jiweMimi nachangia post yako na nakushauri uwe makini na ujitambue vinginevyo utaishia pabaya kwa kukosa maarifa. Mwacheni rais afanye kazi. Maslahi binafsi yameifikisha nchi hapa tulipo. Rais wetu hafanyi haya mnayoyachukia wachache kwa manufaa yake binafsi na familia yake kama mnavyotaka nyie sisi tuwaamini kuwa magufuli mbaya. Anayafanya haya kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Mwacheni afanye kazi.
Nitamwambia Chadema chaliiiiiIkitokea umepigiwa simu na mh Rais jpm uende ikulu mkafanye mazungumzo,baada ya maongezi yenu yale aliyokuitia kuisha anakupa fursa na wewe uongee ya kwako ambayo ulikuwa unafikiri kuwa siku ukipata nafasi ya kukutana na mh Rais ungemwambia.je ungemwambia mambo gani
Nadhani Mwandishi kutoka nje ambaye atakuwa huru kuhoji ingefaa zaidiPendekeza huyo mwandishi tuone.