MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,296
Sera ya Elimu Bure ni ya nani? Ukiwa kiongozi bora, unapounda sera basi ni wajibu wako kuisimamia. labda kama Sera siku hizi ni nyimbo za bongofleva. Sera ikishindwa, umeshindwa!! usitoe visingizio vya wazazi kushindwa kujenga vyumba vya madarasa. wazazi wameishalipa kodi ambayo wewe ndiye ulijafaragua kuwa utaikusanya (hakuna aliyemlazimisha kugombea urais, alichagua mwenyewe).Mkurugenzi eh!!!lakini mnaweza kuzaa watoto mpaka 14,ila tofali za vyumba vya madarasa mpaka magu akose usingizi!!!
Hakuna anayemchukia bali tunampenda sana kwa sababu anatimiza ahadi zake za maendeleo. Darasa la tatu hilo katika Tanzania ya Magufuli. Maendeleo hayana chama. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
View attachment 1018043
Vote 20 haikaguliwi na CAG,hilo ni fungu la Rais!Sasa jamaa akawa anabadili mafungu ya bajeti na kuweka kwenye fungu ambalo hakaguliwi!CAG kamaliza ubishi,keshakagua tunasubiri hukumu.
Huyu jamaa ataacha historia ya upigajiVote 20 haikaguliwi na CAG,hilo ni fungu la Rais!Sasa jamaa akawa anabadili mafungu ya bajeti na kuweka kwenye fungu ambalo hakaguliwi!
Sera ya Elimu Bure ni ya nani? Ukiwa kiongozi bora, unapounda sera basi ni wajibu wako kuisimamia. labda kama Sera siku hizi ni nyimbo za bongofleva. Sera ikishindwa, umeshindwa!! usitoe visingizio vya wazazi kushindwa kujenga vyumba vya madarasa. wazazi wameishalipa kodi ambayo wewe ndiye ulijafaragua kuwa utaikusanya (hakuna aliyemlazimisha kugombea urais, alichagua mwenyewe).
Utawala wake ukipita tutaona mengi!Huyu jamaa ataacha historia ya upigaji
Akili ni nywele halaf wewe unafuga upara unategemea nn?
Ila wazee hawa Man U hizi ni sifa sasa, chaaa
Vote 20 haikaguliwi na CAG,hilo ni fungu la Rais!Sasa jamaa akawa anabadili mafungu ya bajeti na kuweka kwenye fungu ambalo hakaguliwi!
Nimesema akikosea namsema akipatia namsifia mfano alivyokaa kimya kuhusu Tundu lisu namsifiaπππKwanini hatumfikirii katika uwajibikaji bali visasi na roho mbaya tu!!!
Yaani inafikia hatua hata akiua shetani ataulizwa umemuua wa nini na alikuwa akijipitia tu??
Hizo zilikuwa ni hesabu tu za bajeti iliyo nje ya vote 20!Sasa wakati kelele za akaguliwe zikitoka ni kwamba watu walikuwa hawajui ama ni kitu gani??
Akili ni nywele halaf wewe unafuga upara unategemea nn?
Ila wazee hawa Man U hizi ni sifa sasa, chaaa
Hata kufikiri mtu huelekezwa ikibidi,kama itaonekana ni kabisa akili yake imelala.
Huwezi ishitaki serikali popote kwamba haijatekeleza sera ya elimu bure kwa kutojenga vyumba vya madarasa,maana itajitetea kwamba imemrahisishia mzazi kazi moja,hata hiyo ndogo inamshindaje huyu mzazi???yenyewe haina pesa sababu hakuna mzazi anacholipia.
Kodi gani unayozungumzia-ya wafanyabiashara hao wasiotaka kusikia kodi au wafanyakazi elfu mbili wa tz??
Uvivu ni kasumba mbaya inatumaliza watz.