MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,296
Sera ya Elimu Bure ni ya nani? Ukiwa kiongozi bora, unapounda sera basi ni wajibu wako kuisimamia. labda kama Sera siku hizi ni nyimbo za bongofleva. Sera ikishindwa, umeshindwa!! usitoe visingizio vya wazazi kushindwa kujenga vyumba vya madarasa. wazazi wameishalipa kodi ambayo wewe ndiye ulijafaragua kuwa utaikusanya (hakuna aliyemlazimisha kugombea urais, alichagua mwenyewe).Mkurugenzi eh!!!lakini mnaweza kuzaa watoto mpaka 14,ila tofali za vyumba vya madarasa mpaka magu akose usingizi!!!