Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mkurugenzi eh!!!lakini mnaweza kuzaa watoto mpaka 14,ila tofali za vyumba vya madarasa mpaka magu akose usingizi!!!
Sera ya Elimu Bure ni ya nani? Ukiwa kiongozi bora, unapounda sera basi ni wajibu wako kuisimamia. labda kama Sera siku hizi ni nyimbo za bongofleva. Sera ikishindwa, umeshindwa!! usitoe visingizio vya wazazi kushindwa kujenga vyumba vya madarasa. wazazi wameishalipa kodi ambayo wewe ndiye ulijafaragua kuwa utaikusanya (hakuna aliyemlazimisha kugombea urais, alichagua mwenyewe).
 
Akili ni nywele halaf wewe unafuga upara unategemea nn?
Ila wazee hawa Man U hizi ni sifa sasa, chaaa
 
Sera ya Elimu Bure ni ya nani? Ukiwa kiongozi bora, unapounda sera basi ni wajibu wako kuisimamia. labda kama Sera siku hizi ni nyimbo za bongofleva. Sera ikishindwa, umeshindwa!! usitoe visingizio vya wazazi kushindwa kujenga vyumba vya madarasa. wazazi wameishalipa kodi ambayo wewe ndiye ulijafaragua kuwa utaikusanya (hakuna aliyemlazimisha kugombea urais, alichagua mwenyewe).

Hata kufikiri mtu huelekezwa ikibidi,kama itaonekana ni kabisa akili yake imelala.

Huwezi ishitaki serikali popote kwamba haijatekeleza sera ya elimu bure kwa kutojenga vyumba vya madarasa,maana itajitetea kwamba imemrahisishia mzazi kazi moja,hata hiyo ndogo inamshindaje huyu mzazi???yenyewe haina pesa sababu hakuna mzazi anacholipia.

Kodi gani unayozungumzia-ya wafanyabiashara hao wasiotaka kusikia kodi au wafanyakazi elfu mbili wa tz??

Uvivu ni kasumba mbaya inatumaliza watz.
 
Vote 20 haikaguliwi na CAG,hilo ni fungu la Rais!Sasa jamaa akawa anabadili mafungu ya bajeti na kuweka kwenye fungu ambalo hakaguliwi!

Sasa wakati kelele za akaguliwe zikitoka ni kwamba watu walikuwa hawajui ama ni kitu gani??
 
Kwanini hatumfikirii katika uwajibikaji bali visasi na roho mbaya tu!!!

Yaani inafikia hatua hata akiua shetani ataulizwa umemuua wa nini na alikuwa akijipitia tu??
Nimesema akikosea namsema akipatia namsifia mfano alivyokaa kimya kuhusu Tundu lisu namsifia😀😀😀
 
Na wale ma jobless tunaoshinda mitandaoni kumponda mzee jiwe tuanzishe whatsapp group letu.
 
Hata kufikiri mtu huelekezwa ikibidi,kama itaonekana ni kabisa akili yake imelala.

Huwezi ishitaki serikali popote kwamba haijatekeleza sera ya elimu bure kwa kutojenga vyumba vya madarasa,maana itajitetea kwamba imemrahisishia mzazi kazi moja,hata hiyo ndogo inamshindaje huyu mzazi???yenyewe haina pesa sababu hakuna mzazi anacholipia.

Kodi gani unayozungumzia-ya wafanyabiashara hao wasiotaka kusikia kodi au wafanyakazi elfu mbili wa tz??

Uvivu ni kasumba mbaya inatumaliza watz.

double ID's at work
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom