Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Na sisi hatumpangii kuwa rais next term tunafunga na kuomba.
Hahahahaaa ila Sky na wewe unamkandia sana banaaaaa
Hebu siku mojamoja uwe unamsifia sifia inaweza kusaidia kumpunguzia maflastuesheni yake maana kila nikipigaga nae story hua anakutajataja.

Maendeleo hayana chama
 
Anipe ukatibu kata basi, mwambie vyeti vyangu vyote ni halali πŸ˜‚
 
Anipe ukatibu kata basi, mwambie vyeti vyangu vyote ni halali [emoji23]
Hahahaaaa kama we ni mweupe hata wizara utapewa
Wateuzi hua hatuangalii sana siivii si unamuona hata huyo mkusanya nauli kwenye daladala anajilia tu mema ya nchi.
Mzee Asprin asione hapa.

Mimi nina rangi ya Oprah si fit in kanda ya Ziwa, kule kwa kina Asprin wanaangalia cv, kule nimetick box zote.
 
Mimi nina rangi ya Oprah si fit in kanda ya Ziwa, kule kwa kina Asprin wanaangalia cv, kule nimetick box zote.
Haya banaaaa ila ndio unapishana na mema ya nchi.
Sky michango yako hua inanikoshaga sana sipati picha mngekua mnafanya kazi ofisi moja hilo balaa lake lingekuaje.

Maendeleo hayana chama
 
Haya banaaaa ila ndio unapishana na mema ya nchi.
Sky michango yako hua inanikoshaga sana sipati picha mngekua mnafanya kazi ofisi moja hilo balaa lake lingekuaje.

Maendeleo hayana chama
Tunasubiri mema ya nchi kutoka Ikungwi mkuu. Maendeleo hayana chama
 
Kwakweli rais atusaidie kitu kimoja tu watu wa Kimara. Aongeze mabasi ya mwendo kasi na kubadikisha menejimenti au
ARUHUSU DALADALA ZA KIMARA KARIAKOO.
 
Wapande wanaccm ndio itaota

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona waanze na Shinyanga, Mwanza na Tabora uoto wa asili ukirudi wafugaji watarudi maeneo yao na kupunguza kuiharibu Tanzania nzima. Naona sasa wameruhusiwa kufugia kila mahali na kulima kwenye vyanzo ya maji ni hatari kuliko vipindi vyote vya tawala zilizopita.
 
Nafikiri tumejiaminisha kuwa kila jambo lazima afanye rais. Wananchi tukijiundia vikundi na kuchangishana kidogo hatuwezi kupanda miti?
Ta mjini kuna bustani na sehemu nyingi tu za kujipumzisha. Sidhani kama rais alikwenda kule na kuwaambia wafanye hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunachohitaji tu ni tamko la Mhe Raisi, ni tofauti na juhudi za waziri hazina nguvu
 
Tuko watu na tabia tofauti, bila nguvu anazotumia Mhe Raisi, nchi hii haiendi
 
Jamani maisha vijijini ni magumu sana, itachukua mda

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini angalau kuwewna mpango huo.
Wewe unacheza na CCM, wakiamua wakati wa kampeni watagswa majiko angalu 50 kwa watu 50 wa kwanza kufika kwenye mkutano. Mtaambiwa mkiichagua CCM kila nyumba itapata jiko.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…