Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Malipo hapa hapa duniani, mwisho wa ubaya aibu. Muda ni hakimu.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
Kuna watu wamekufa bila hatia yoyote na vifo vyao sio doa kwa taifa, ila mmoja tu anayejeruhiwa na kupona ndio doa kwa taifa!.
 
Bado unarudia kosa lile lile la kumpandisha chati Lissu, unamuweka mahali ambapo hajapafikia.

Martin Luther hakuwa na sifa ya kuwasaliti wamarekani weusi iwe wakati wa shida iwe wakati wa raha.
Usaliti, usaliti USALITI . Bukillo unaujua usaliti kweli wewe ?!. Waliokumbatia mikataba mibovu kwa wawekezaji ni wapinzani (Lissu) au ni viongozi wa serikali walioifanya siri isiyo na tija ?! Walionywa lakini hawakusikia la mtu. Mfano ni mikataba ya gas na mafuta 2015 . Walionywa waache dharura hawakusikia ushauri, leo Maghufuli analia na kusema ukweli kuwa kwa sheria Ile Gas na mafuta siyo yetu !!! Nani msaliti hapo ?!.

Waueni kina Lissu na wapinzani wote wanaosema ukweli wawekeni jela , lakini bado si tiba ya Tz kuacha kunyonywa na wawekezaji.
UKWELI NI KUWA WASALITI NI VIONGOZI WA SERIKALI wanaoiuza nchi kwa 10%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao watu waliokufa bila hatia wameuwa nahiyo serikali yako unayojaribu kuitetea, tunampigania Lissu kwa sababu ana kitu cha kusaidia nchi hii, yaani hao wabunge wenu wote wa ccm hawana, kama wapo waweza kuwa wawili watatu ambao nao wameshaamua kuweka pembeni Ufahamu wao na kuuvaa Ufisiem
 
JPM anafanya usanii kujifanya analalamikia Mikataba ibovu ya Uwekezaji wa Gas na mafuta ilhali na yeye alikuwemo kwenye baraza la mawaziri lililopita
 
Kuna watu wamekufa bila hatia yoyote na vifo vyao sio doa kwa taifa, ila mmoja tu anayejeruhiwa na kupona ndio doa kwa taifa!.
Wewe wafahamu vizuri ni kwanini imekuwa doa kwa taifa! Ni vile tu una maslahi na username yako otherwise mwenye macho haambiwi tazama!

Ukitazama hali ya nchi yetu kwa sasa rohoni mwako unajua fika kinachoendelea na kwasababu gani kinaendelea.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Utakapofiwa na mzazi au mtu mnayemtegemea Kama familia utarejesha majibu

Haya mambo kwa kuwa unalishwa na wazazi na wazazi wako wanalea wadogo zako huwezi kujua watoto wa lisu wangeishi vipi

Nakutakia haya uyaone ukiwa hai ili tuje tujadili
 
Aliyekuzaa Mbona hajatuomba msamaha kwa akili zako matope
 
liberali, post: 30758690, member: 92807"]Kwa hiyo hao jamaa zake ndo wakamwamuru spika, lissu akifa azizikwe na bunge??[/QUOTE]
Hueleweki.. Hebu pumzika ulevi wa kugongea ukutoke kisha uandike kitu cha kueleweka na kutafakarisha!
 
Walikutupuka kwa kudhani Mungu huwa anaficha wanafiki siku si nyingi atawaumbua kwa vitendo hawa watakatifu mkuu na naibu wake
 
Utakapofiwa na mzazi au mtu mnayemtegemea Kama familia utarejesha majibu

Haya mambo kwa kuwa unalishwa na wazazi na wazazi wako wanalea wadogo zako huwezi kujua watoto wa lisu wangeishi vipi

Nakutakia haya uyaone ukiwa hai ili tuje tujadili
Mkuu huyo mwanasiasa asikufanye ukapoteza hata uwezo wa kawaida wa kufikiri. Mimi sina Mama, alishafariki tangu 2001. Namshukuru Mungu Baba yupo hai.

Mimi unaeongea nae sio mtoto mdogo kama hawa mabwana wadogo wengi humu ndani.

Huwezi kuniambia watu zaidi ya 40 waliouwawa mkoa wa Pwani sio muhimu kuliko mwanasiasa mmoja aliyejeruhiwa ambaye kwa sasa ni mzima kama mimi na wewe.
 
Wewe ndiyo uchague ya kuongea. Lissu amemtukana nani? Yeye alitaka kujua tu kwa nini mpaka leo hajakamatwa aliyetaka kumwua!
 
Kwani bado mnahitaji misaada kutoka kwa mabeberu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tafuta video YouTube alipotoa hotuba Zanzibar, ambapo Seif alikataa kumpa Mkono Dr. Shein
Ndiyo utaijua roho ya Magu.
Mzee kipindi kile alikuwa ajajua bado ukubwa wa kiti chake alikuwa ataki ambiwa na kuongozwa nadhani sasa ashajua kuwa kiti chake kinaitaji maelekezo siyo kufanya anachoona yeye
 
Kwanza kabisa nawasalimu kama ilivyo tamaduni zetu ,kuwasalimia wakubwa na wenye mamlaka,shikamoo
...
Ujumbe wangu ni mfupi sana ila umebeba mengi tu.
Nawaombeni sana tena sana nyie wawili yaani Mh.Rais John Pombe Magufuli na Katibu wa Chama (CCM)Taifa Dr.Bashir Ally kaeni siku moja mtafakari kuhusu HAKI za watanzania. Jiulizeni kweli awamu hii mnatenda haki sawa kwa raia na vyama vingine vya siasa kama haki hiyo inavyotendeka kwa chama chetu cha mapinduzi?
Ujumbe wangu ni huo...tu umebeba mengi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…