Uko alipo Lisu , wao Matusi ni kawaida ndiomaana wanaita uhuru wa kutoa maoni. Ila Lisu alipoa anza kumtuhumu JPM kuhusu kushambuliwa kwake, Mtangazaji alimuuliza anao ushahidi usiona shaka juu ya tuhuma izo ? Lisu alibaki Macho yana mtoka!! Kwakua hana uhakika ila dhamirayake ni kumchafua JPM ndio maana kila atakacho Post atatafuta namna ya kumtus JPM.
Tangu pale ata Wazungu alioenda kuwashtakia wakajua kwamba Lisu anetawaliwa na Mihemko kuliko uhalisia. Wakili anayejiita msomi hawezi kutuhumu watu hovyohovyo, mara Aseme kabudi katumwa,mara Ndugai anatumika, mara Masiringi katumwa yaani aamini kwamba ao anaosema wametumwa ni watanzania na wana maoniyao kuhusu Maswahibu yaliyo mkuta. Mdomo wa Lisu unafanya agombane na kala mtu.
Naamin ata awa anao watuhumu sasa panapo majaaliwa akija kuufahamu ukweli atakuja kuwaomba msamaa kama alivyofanya kwa Zito Kabwe.
Sent using
Jamii Forums mobile app