Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
CCM ikishaingia madarakani huwa haina habari na mafsadi labda subiri muda wa kampen ndo watakwambia wachague wakapambane na ufsadi
 
Kwani lazima siasa? hivi hawa jamaa hawanaga shughuri za kufanya nje ya siasa?
 

hukumsikia JK akisema ccm imeenea? Hivi kafulila na nape nani mpinga ufisadi? Hivi makonda na kafulila nani mpinga ufisadi? Mbatia na mbowe washindwe kumtetea mtafute fadhila za ccm?
 
Magufuli hawezi fanya ujinga huo kama aliofanya kikwete kumteua Mbatia isitoshe Kafulila hana faida yeyote bungeni anabweka tu kama jibwa bila ya malengo.
 
Mengi yamesemwa mazuri, kuongezea naomba Mh. Rais asimamie maadili ya taifa. Ukosefu wa maadili umekithiri na utahatarisha future ya nchi yetu. Imefikia wakati ambao huwezi kuamini kauli ya mtanzania yeyote kwa maana wanasema hiki kinatokea cha tofauti. Serikali inasema hiki inatokea tofauti na kinachoahidiwa. Tumekua taifa linaloongozwa na hear-says bila kujali ethics wala facts.

Takwimu hazitolewi honestly bali kujustify propaganda. Kwa hili Rais namuomba kwa luga zote na heshima kubwa atoe muongozo na atakayepotosha mambo ya msingi kwa kusudi achukuliwe hatua pasipo kuona haya. Hii itarudisha nidhamu ya utendaji kwa hasa viongozi, watendaji na mwisho raia wote.

Pia kunatabia ya baadhi ya viongozi na watendaji kuzuia vipaji vya watu kutoibuka. Hii hufanywa kwakuhakikisha wakiwaweka mbali sana watendaji na fursa zinazoweza kuonyesha umahiri wao na hili kupelekea viongozi kuonekana sehemu zote, no delegation kila sehemu wanataka wao tu ndiyo waonekane; ninamwomba mh. Rais atumie vyombo vyake vya dola kupima utendaji na ku track records za
Watendaji na viongozi na kuwaibua kokote watakapojitokeza, hii itasaidia kuibua mawazo mapya na kuongeza tija katika utendaji kazi. Watendaji na viongozi wasiwe wale tu wanaoweza kujieleza na kujipendekeza bali wale wenye uwezo wa aina aina katika shuguli husika. Kama ni Engineer basi isiwe wale wenye siasa na maneno mengi mazuri pasipo utendaji etc etc.

Mwisho naomba Mh Rais awatumie wataalamu wake
Wa vyuo vikuu inavyopaswa, asivuruge mifumo ya vyuo kwakuwahamisha wanataaluma na kuwapeleka wakawa watendaji au wanasiasa, bali kushirikiana na hao kubuni mbinu itakayowezesha kuwatumia pasipo kuwaondoa kwenye shuguli zao za kitaaluma. Taifa limewekeza mabilioni ya pesa kuwa "train" hao sasa unapowatoa au wao wenyewe wanapovutija kwenda kufanya vitu vilivyo nje ya nafasi zao zakitaaluma wanavuruga mfumo na ubora wa elimu ya juu. Lakini pia jinsi ilivyo wanataaluma wapo mbali sana na utendaji wa serikali ambapo wengi ambao siyo wanasiasa wameshindwa kutumia taaluma zao kulisaidia taifa lao. Ninamuomba kwa heshima na
taadhima Mh. Raus ili kupata mwelekeo mzuri wa sera na mikakati ya kui enforce hizo sera, awatumie sana wanataaluma wa vyuo vikuu.
 

Akina nani wengine wanapinga ufisadi.....zaidi ya marehemu Deo (RIP) bro...hakuna mwanasisiemu (mbunge) mwenye ujasiri wa kusimama hadharani kukemea ufisadi
 
Hana lolote nae ni mnafiki tuu mbona km anachukia ufisadi alikuwa mstari wa mbele kumnadi mamvi ili awe rais wkt kwenye list ya cdm na ukawa kwa jumla inamtanabaisha kuwa ni fisadi papaa ???
 
Mkuu umenichekesha sana na neno KUDU nikikumbuka hiyo kituu najihisi kufakufa tu asante mkuu umenikumbusha mbaali sana.
 
Hata escudo nazo mtasema zinamaliza pesa za walipa kodi maana hamna jema
 

Nina wasiwasi na kiwango cha elimu yako itakuwa la7. Nimekuwa nikifatilia post zako hazina mshiko. Vipi afya ya mgombea urais kupitia ukawa?
 
Si ukawa walisema hawatashirikiana na Raisi? sasa utateua vipi maadui zako walikataa hata kukutambua? Kumbe mpo mnaoamini huyu ndiye Rais wetu ila mnajitoa akili jua likiwa kali.
 
Hana lolote kafulila mbona alitumika kama pedi kwa fisadi PAPA!! akachimbe chumvi uvinza hana adabu
 
Rais Magufuri vipi yale mashangingi ya 300 ml yataanza kuuzwa lini .
Nataka moja ili u nunua Escudo watumie Ma Boss

Wazo zuri lkn isije ikawa kama nyumba za serikali ambazo ilikuwa ni changamoto kubwa sana kwa serikali kwa uendeshaji uliotumia fedha nyingi sana za ukarabati wa mara kwa mara uliopelekea serikali kuziuza kitu ambacho kimeleta kelele nyingi sana
 

Akina nshomire most of them wako smart upstairs.. Lakini sijui ni mhaya wa wapi! !
 
Unajua watu tunaona hizo nafasi 10 za Rais ni nyingi sana. Ukweli ni kwamba hizo ni nafasi chache sana ambazo inabidi azijaze kwa umakini mkubwa, ndio maana hafungwi kuzijaza zote kwa mkupuo. Kwanza lazima aangalie watu potential wanaoweza kumsaidia kwenye ngazi ya uwaziri, ambao hawajapata nafasi ya kuwa wabunge. Kafulila hawezi kuingia kwenye kundi hili kwani hawezi kukubali kutekeleza ilani ya CCM. Wabunge wa upinzani atakaowateua kupitia hizi nafasi sidhani kama watazidi 3.
 
Si majuzi tu alijidai yeye ni mwanasiasa bora kuliko Zitto wakati mwenzake anajeuri ya kuchagua wapi agombee Kigoma na kushinda yeye jimbo hilohilo moja tu watu wamekosa naye imani baada ya miaka kumi; the moral of the story usimtukane mamba kabla kuvuka mto ndio ajue umuhimu wa Zitto kwenye campaign zake alizoshinda kabla ya kutoka CDM na baadae NCCR.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…