Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Ukiwauliza mishahara watasema tunakamilisha miradi,hakuna fedha,tutaongeza kabla ya kuondoka madarakani,tupo kwenye light tlak,uchumi unakua kwa over 7% nk.Watu wa ajabu wamekabidhiwa mamlaka.Wao wanajilipa vizuri na watu wao wanauhakika wa maisha bora.
Wengine wote ni wapiga dili,hawana uzalendo,watetezi wa mabeberu,wapinzani na wasaliti.Huwezi kuamini kama ni Watanzania wenzetu kweli wanatufanyia haya?
 
Ukiwauliza mishahara watasema tunakamilisha miradi,hakuna fedha,tutaongeza kabla ya kuondoka madarakani,tupo kwenye light tlak,uchumi unakua kwa over 7% nk.Watu wa ajabu wamekabidhiwa mamlaka.Wao wanajilipa vizuri na watu wao wanauhakika wa maisha bora.
Wengine wote ni wapiga dili,hawana uzalendo,wasliti na maneno mengine ya kejeli.
 
Haihusiani na nilichokiandika. Kama kuna watu walimkosea heshima na kusababisha malalamiko mimi sijui labda nijifunze kutoka kwako.
Inahusiana na ulichoandika, labda hujaona uhusiano.

Umesema Jiwe hana muda wa kujitafakari, yeye anatandika anaoona hawamoendi bila kujitafakari.

Huo ni udhaifu. Unamfanya atandike watu bika kujitafakari. Unamfanya ajenge uadui usio wa lazima na watu.

Watu nao wakiona mtu ambaye kiutamaduni wanatakiwa wamuheshimu, lakini yeye mwenyewe hajiheshimu anatandika watu ovyo tu bila kujitafakari, wanaona hiyu hakuna sababu ya kumuheshimu.

Kwa sababu mtu mwenyewe ni wa ovyo, hajiheshimu. Sasa ya nini kumuheshimu mtu ambaye hajiheshimu?

Ndipo hapo unaona watu wengi wanatoa maneno ya kejeli, moaka kumuombea mtu mwenzao kifo, kitu ambacho si utubora.

Sasa hapo kuna uhusiano kati ya Magufuli kutandika watu bila kujitafakari na watu kutomuheshimu na kumkejeli, moaka kumuimbea kifo.

Ndiyo nikakuuliza.

Hiyu gubegube unayesema anatandika watu ovyo bila kujitafakari, watu wakimvunjia hwshima ambayo kikawaida anaoewa rais, kutakuwa na malalamiko ya halali kwamba rais kavunjiwa heshima?

Au rais anayetandika watu ovyo bila kujitafakari, kwa kuwa yeye mwenyewe kashaanza kujivunjia heshima kwa kutandika watu ovyo bila kujitafakari, itakuwa poa tu kumvunjia heshima?
 
Si kweli mkuu
 
Not to this extent Brother. !
 
Jpm hajafikia hata nusu ya alivyochukiwa Jk
Kuna mambo ya msingi JPM anafanya vyema sana. Ila ni lazima ajirekebishe kwa kauli zake za jeuri, dharau, maudhi na kebehi. Kwa ufupi mheshimiwa ana shida fulani upstair na asaidiwe ili haya mazuri anayofanya yasifunikwe na machache ya kujitakia.
 
Sijamaanisha avunjiwe heshima au aendelee "kutandika" watu. Bali siwezi kusema kumvunjia heshima ni sawa eti kwavile "anatandika" wasiompenda. Pia sijamaanisha kwamba hasijitafakari kwa yale anayoyatenda dhidi ya wananchi wake.

Nilichokiandika nimemaanisha kwamba ni vigumu kwa Jiwe kujitafakari na kuwa kiongozi mwema kwasababu anaamini watu hawampendi na yeye anawachukia kwakuwa hawampendi. Kwahiyo anachofanya ni kutekeleza dhidi ya wananchi wake ni itikadi ya "kama mbwai na iwe mbwai"
 
CHADEMA na ZITO KABWE na mafisadi ndio wanaomuombea mabaya rais, Watanzania wazalendo wote wanamuombea mema
Hata wale aliowateua kwa mbwembwe na kuwaita wapumbavu bado wanamwabudu na wanasema hawakuzaliwa na vyeo hivyo. Zipo curt nyingi zilianzishwa na nyingine zipo ambapo mtu mmoja anaweza fanya wafuasi wake Mazombie wakamwaminini yeye tu, wakamfuata mpaka anawapa sumu wanakunywa wanaimba mapambio. Refer Guiyana na yula mchungaji aliyeua watu zaidi ya mia nne, na wengine wengi hata Bongo tunao.
 
Jpm hajafikia hata nusu ya alivyochukiwa Jk
Nani amchukie Vasco wakati walikuwa wanamkejeri. Huyu anayeita watu wapumbavu, elimu yao haikuwasaidia na kutaka kuoza hata wageni watoto wa kibongo. Mtu anaongea matusi mbele ya kadamnasi unamlinganisha na Vasco? Vasco hakujua matusi ndo raha yake. Hakutumbua mbele ya kadamnasi ambao 90% ni illiterate and ignorants na watafuta sifa.
 
Nana anaemuombea mauti kama sio wewe zito na lema , hebu tutajie watu wengine laki moja tu kati ya watu milioni 60 wanaomuombea kifo
Ndo mashabiki wa JPM hawa πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Tumien akili achaneni na kutumia akili ya ulofa na upumbavu naona mnajisifia lakin kesho ndo nyie n=mtasema tz hakuna uhuruwa kusema nna kutaoa mawazo
Kama avatar inaakisi jinsia yako basi jihefunze kuwa na adabu manake kwa kawaida huwa sipendi kuwakposea adabu watoto wa kike, lakini kwangu hilo huwa na maana zaidi endapo muhusika anafahamu jinsi ya kujiheshimu mwenyewe!
 
Hii nchi naiogopa sana watu wanachuki za wazi kabisa dhidi ya watawala,siku pakinuka itakuwa zaidi ya hata yaliyotokea Rwanda
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…