Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Unafikiri Kafulila ni mbunge pekee anaye pinga ufisadi? Mbona wako wengi? Kafulila ameshindwa ubunge kama ana hoja za ufisadi na ana ushahidi anaweza kuendelea kusema hata akiwa nje ya bunge au anaweza kuwakabidhi wenzake wanao kwenda bungeni!
Si lazima aende bungeni...

Kiufupi Kafulila kashinda uchaguzi,nami ni shahidi wa hilo!Kesi hiyo ataenda kushinda mahakamani,huyo ex wa Jay key ameshikilia ubunge kwa muda tu!
 
chamsingi haponi kupiga matumizi ya mwezi kwa mshahara wa kima cha chini na aone je kinakidhi matumizi kwa mwezi? akishindwa kurekebisha hapo ajue kwamba hatofanikiwa maana ni lazima watu wataiba ili waweze kuishi, huo ndio ukweli haukwepeki
 
Najua kwa mujibu wa katiba ya nchi najua una viti kumi vya Rais. Naomba sana umteue kafulila Kuwa mbunge ili dhamira ya kupinga ufisadi ifanyike kwa vitendo pia atakusaidia kukamata majizi na mafisadi yaliyotufikisha hapa na pia imani yako kwa watanzania itaongezeka maradufu.

Hana jipya huyo.
 
Never Kafulila hana lolote ni msaka tonge alikuwa anatumika na Mzee Machache kumhujumu Muhongo kwa ajili ya vitalu vya gesi.

Hahahaaaaa, jamani humu JF kama una stress zitaisha tu. Nimetumia muda kidogo kujua Mzee Machache ni nani, Duuu! Watu mna mambo ; kumbe ni kinyume chake, hahahaaaaa duuu.
 
Nilishawahi kukutana na kamati ya Bunge London. Serious gharama za safari zao zinatakiwa kuwa reviewed. Wao wanalipiwa kulala hotel kila mmoja na chumba chake. Ila wanashea rooms kwenye guest house za walebanon kule Edware Road. Wanalipiwa Business Class. Ticket inagharimu karibia $4000 per person. Wakati Economy ni $1000. Sasa fikiria $3000 inaweza kuchonga vitanda vingapi na magodoro yake kwa ajili ya wamama wanaojifungulia chini. Tafadhali angalieni na huko. Mjaribu kuokoa gharama ili fedha ziende kwenye mifuko ya afya ya jamii.
 
Kuna mambo mengi hapo ya kufanyia kazi kutoka kwenye hii thread.
Huku kwenye private sector, hatujawai kujua maana ya seating allowance au posho ya vikao..wafanyakazi wa serikalini sio exception..hata wao wanaweza kuishi bila hizo allowance, provided kuwa mishahara yao inaboreshwa kidogo
 
Mi nafikiri kuna mambo mengi tu ya kufanya zaidi ya hayo ya kutuambia mtu fisadi wenyewe halafu baadaye tena mnatuambia sie tena tulete ushahidi kuthibitisha kuwa huyo mtu kama ni fisadi kweli.
 
kiongozi yeyote wa ccm anaamini kwamba ndani ya ccm ndio kuna watu wasiokuwa mafisadi ukiama chama ndio ufisadi wako wanauona hivyo usitegemee Pombe kumchagua mtu wa upinzani hata kama atakuwa mwema kama malaika, kama unapisha tukumbushane atakavykuwa anafanya uteuzi
 
Unadhani Magufuli ni mjinga hamjui huyo msaliti?
Slaa mwenzie ni Mzee Mwanakijiji,wengine wanamuogopa kama Israel mtoa roho.
Bunge ataishia kuliona kwenye tv kama raia wa kawaida
 
Last edited by a moderator:
Nimekumbuka kitu kuhusu Hawa Ghasia.

attachment.php
Hivi kitufe cha LIKE kimejificha wapi maana naona watu wananipa LIKE lakini mimi nikitaka kutoa sikioni. Wapi like jamani? Au imetengewa baadhi ya membazi? Hata hivyo pokea LIKE!
 
Ingependeza kama rais Magufuli atamteua Dr Slaa kuwa Mbunge atakayesaidia kwenye vita dhidi ya ufisadi. Kwa kuwa hana chama cha siasa atakuwa neutral katika hoja na wote watamwamini hata kwa nafasi ya spika.

CCM haijaishiwa watu mpaka ikodi, Kwangu Lipumba alikuwa smart kuliko Slaa
 
Ingependeza kama rais Magufuli atamteua Dr Slaa kuwa Mbunge atakayesaidia kwenye vita dhidi ya ufisadi. Kwa kuwa hana chama cha siasa atakuwa neutral katika hoja na wote watamwamini hata kwa nafasi ya spika.

Baada ya chadema kumkata na kumtukana matusi yote yale...mzinzi etc
Leo ndo amekuwa wa maana.
Hivi hii nchi haina vijana wa kuongoza nchi tunarudi kwa wazee wale wale?
 
Wangeweza kufanya kila wizara iwe na Gari 3 za serikali, waziri, naibu na kattibu mkuu. Hawa wengine wapewe mikopo ya magari. Na wawe wanalipwa mileage kama ilitokea kuna safari ya kikazi. Mfano imetokea safari ya kikazi Mtwara mtu analipwa mileage na pesa ya guest house tu. Kwa system hiyo Govt inaokoa zaidi ya nusu ya matumizi inayotumia kwenye system yake ya sasa hivi. Kwa style hii wa watumishi wa serikali kutumia gari zao itasaidia barabara nyingi kutengenezwa vijijini kwa sababu hawawezi kupeleka gari zao binafsi kwenye barabara mbovu kwa hiyo watashinikiza serikali za mitaa kupitisha ma greda mara kwa mara.
 
Najua kwa mujibu wa katiba ya nchi najua una viti kumi vya Rais. Naomba sana umteue kafulila Kuwa mbunge ili dhamira ya kupinga ufisadi ifanyike kwa vitendo pia atakusaidia kukamata majizi na mafisadi yaliyotufikisha hapa na pia imani yako kwa watanzania itaongezeka maradufu.

Na alisema ataunda mahakama maalum ya mafisadi na wala rushwa ili majizi yafungwe mapema. Naunga mkono hoja amteuwe Kafulila kuwa mbunge na ni shahidi muhimu ktk kufunga mafisadi kwa kuwa anavyo vielelezo.
 
Asipige marufuku magari tu!, hata mwenge maana twaweza kuona taswira ya mwenge kwenye fulana zake, huu ukapelekwa makumbusho, then pesa inayotengwa kwa mwenge ipelekwe MSD.
 
What a contradiction:



Unaonesha kumbukumbu zako zinaishia kwenye urefu wa pua yako.

You lady I suppose your insane is doubtful, umeisha nisababishia bann nyingi, usinizoee sana, shs 300.000 hakuna figure hiyo, are you crazy
 
Asipige marufuku magari tu!, hata mwenge maana twaweza kuona taswira ya mwenge kwenye fulana zake, huu ukapelekwa makumbusho, then pesa inayotengwa kwa mwenge ipelekwe MSD.

Usinikumbushe deni ambalo MSD inaidai serikali. Yaani akae na makatibu wake all unnecessary expense zifutwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom