Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
hongera nasikia mkeo kapata viti maalumu!!

au unaishia kufungua mlango wa mbowe na kushangilia akikupa 1000??
ACT bana hamuishi vituko,biti kubwa mbunge mmoja.ooh chama cha pili kwa kuweka wabunge wengi,so whaat!huyo Slaa si ndo alimfukuza Zito au?!
 
Ingependeza kama rais Magufuli atamteua Dr Slaa kuwa Mbunge atakayesaidia kwenye vita dhidi ya ufisadi. Kwa kuwa hana chama cha siasa atakuwa neutral katika hoja na wote watamwamini hata kwa nafasi ya spika.

Licha ya Rais kuruhusiwa kikatiba kuteua watu 10 kuwa wabunge, sioni sababu ya Dr. Magufuli kufanya hivyo kwa sasa.
 
Magufuli hawezi fanya ujinga huo kama aliofanya kikwete kumteua Mbatia isitoshe Kafulila hana faida yeyote bungeni anabweka tu kama jibwa bila ya malengo.

Aiseee we jamaaa ni maku kabisaaa
 
maeneo mengi hapa nchini hasa hotel wanakataa malipo kwa kutumia shilingi na wengi wao ndio wale waliochangia kampeni za chama naamini jp hana uwezo wa kukatataza hili, ukizingatia yeye mwenyewe amebebwa hadi hapo alipofika!

Weka ushahidi tukuamini. usije ukapotosha umma.
 
TOYOTA_LANDCRUISER_VX_V8_DIESEL_2013_MODEL.jpg_200x200.jpg



Yalivyo matamu

365833b.jpeg
 
Unadhani Magufuli ni mjinga hamjui huyo msaliti?
Slaa mwenzie ni Mzee Mwanakijiji,wengine wanamuogopa kama Israel mtoa roho.
Bunge ataishia kuliona kwenye tv kama raia wa kawaida
Binti, huyu si tu ataingia bungeni, rais mwenye nia njema na nchi anatakiwa kumpa moja ya wizara nyeti kabisa.
 
Taifa limedhoofika kwa kuendekeza starehe za magari ya kifahari.chagua viongozi watakao kubali hata kutumia noah.
Issue si eti mawaziri wakubali, Rais atoe tamko kuwa matumizi ya magari ya aina hiyo yasitishwe mara moja na kama yatahijika kwa baadhi ya maofisa atoe vigezo.
 
Kuna Profesa Mbassa SUA aligombea ubunge Bariadi hakupata na takrima ilivyotumika vibaya kuhalalisha rushwa alisusa siasa japo alipenda kutetea wananchi. Siyo vibaya akikumbukwa 10 za rais
 
Kwanza idadi ya wabunge ni kubwa mno. Hivyo viti maalumu ni wastage of resources, wanawake wa sasa sio wa kutafuniwa, wameonyesha wenyewe kuwa fighters, waachwe sasa wakagombee majimbo.

Magari wapewayo hayaendandi na uchumi wetu, wapewe/wakopeshwe magari ya kawaida tu, after all sehemu nyingi sasa zinafikika bila shida.

Mishahara ya 12M per month, posho za 300K per day na marupurupu mengine ni makubwa sana kulinganisha na hali ya mtanzania wa kawaida, ndio maana watu wanacha fani zao, wanajiingiza kwenye siasa coz ubunge unalipa kuliko fani yoyote Tanzania. Watu wanauza nyumba, mashamba ili kugharamia kampeni zao, wakijua kuwa ndani ya mda mfupi pesa itarudi.

Kifupi; ubunge umekuwa dili kuliko dili lolote bongo.
 
Kwani kiingereza ni nini mbona wachina hawakijui na ni tishio duniani? Tunadumaza akili zetu kwa kuziongezea mizigo bure. Sawa tusome tukifahamu lakini siyo lazima kukitumia kila mara unapotaka kuwakilisha mawazo yako ya kina. Vikwazo vya lugha visimaanishe eti hatuna watu vichwa kuliko wazungu.

We congregation nini?
 
Nadhani litakuwa jambo jema wabunge wakalipwa salary scale kama watumishi wengine wa umma na walipe kodi kwenye mishahara yao. Hapo ndipo tutakapojua watumishi wa kweli wa wananchi na si maslahi yao binafsi.
 
Wakuu!

Tumeshuhudia Wizara hii katika awamu zote za awamu ya Tatu na nne ikiwa ndio Wizara iliyoitangaza sana nchi katika kashfa mbali mbali za ufisadi mkubwa uliozifanya hadi nchi wahisani kuwa na shaka na uendeshaji wa nchi na hasa udhibiti wa mapato ya ndani ya Taifa.

Kwa kuwa Magufuli amejitanabaisha kuwa ni Mtu wa kazi, Muadilifu basi ili kuliondolea taifa na udhia wa kuingia kwenye kashfa kubwa kubwa za Ufisadi ni vema Wizara hii ikawa chini ya Ofisi ya Rais ili tushuhudie ufanisi uliotukuka kwa kufaidi rasilimali zetu kama vile Gesi, Madini mbali mbali na mafuta pale yatakapo anza kuchimbwa.

Kwani kwa hali ya sasa hakuna Waziri yeyote atakaye kabidhiwa Wizara hiyo ambaye ataweza kumaliza salama kwani ni wazi Wizara hiyo ndio kimbilio la CCM kujipatia fedha kiujanja ujanja hivyo Wizara hiyo ikidhibitiwa kikamilifu CCM watajipanga vema kutumia vyanzo vyao vya fedha vya halali na hivyo nchi kuendelea vema na kuondokana na mgao wa umeme usio na mwisho kila mwaka.
 
Wewe ufaidi gesi na mafuta kama nani? Umewahi kujiuliza kwanini mikataba ya gesi na mafuta ilipitishwa kwa hati ya dharula achilia mbali madini ambayo mimi na wewe hatujui tunaingiza Tshs ngapi kwenye madini.
Nchi ina wenyewe hii, shika jembe ukalime.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom