Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Wakuu!

Tumeshuhudia Wizara hii katika awamu zote za awamu ya Tatu na nne ikiwa ndio Wizara iliyoitangaza sana nchi katika kashfa mbali mbali za ufisadi mkubwa uliozifanya hadi nchi wahisani kuwa na shaka na uendeshaji wa nchi na hasa udhibiti wa mapato ya ndani ya Taifa.

Kwa kuwa Magufuli amejitanabaisha kuwa ni Mtu wa kazi, Muadilifu basi ili kuliondolea taifa na udhia wa kuingia kwenye kashfa kubwa kubwa za Ufisadi ni vema Wizara hii ikawa chini ya Ofisi ya Rais ili tushuhudie ufanisi uliotukuka kwa kufaidi rasilimali zetu kama vile Gesi, Madini mbali mbali na mafuta pale yatakapo anza kuchimbwa.

Kwani kwa hali ya sasa hakuna Waziri yeyote atakaye kabidhiwa Wizara hiyo ambaye ataweza kumaliza salama kwani ni wazi Wizara hiyo ndio kimbilio la CCM kujipatia fedha kiujanja ujanja hivyo Wizara hiyo ikidhibitiwa kikamilifu CCM watajipanga vema kutumia vyanzo vyao vya fedha vya halali na hivyo nchi kuendelea vema na kuondokana na mgao wa umeme usio na mwisho kila mwaka.

Nadhani kule Nigeria, Waziri wa,Fedha ni Rais Mwenyewe ingawa siyo directly, ni pia wazo langu Wizara ya Fedha ikawa chini ya Ofisi ya Rais!
 
1. Program ya Bima ya afya katika ngazi ya jamii ilivyoanza kutekelezwa ni wilaya ya Igunga chini ya Mkuu wa Wilaya wakati huo Elibariki Kingu alitekeleza program hiyo kwa asilimia 100.

2. Kati ya wilaya iliyofanya vizuri katika kuwawezesha vijana hasa kwenye miradi ya kilimo (vitunguu, mbogamboga). Ni wilaya ya Igunga chini ya Elibariki Kingu ilikuwa ni wilaya bora. Mpaka Mh. Rais Jakaya Kikwete alienda kutembelea mradi huo.

3. Ni wilaya ya Igunga chini ya Elibariki Kingu vijana walipata fursa na kupata mikopo na kujishughulisha na ufiatuaji wa matofali ya Hydroblocks.. Kingu alifanikiwa kutafuta wafadhili wa kuwapa vijana mikopo na mashine husika..

4. Kingu alifanikiwa kufungua fursa za kibiashara kwa vijana hao. Ambao kwa sasa SACCOS ya vijana hao ina fedha zaidi ya million 872..

5. Kingu alifanikiwa kuwawezesha wakina mama kwa kuwatafutia wafadhili kutoka China na Uganda ili wawape mafunzo na nyezo za kujihusisha na ufugaji na kilimo cha kisasa. Ikiwa ni pamoja na kuwapa mbegu za hybrid..

Infact, kwa miaka miwili mfululizo 2012, 2013. Wilaya ya Igunga ilikuwa ni bora iliyotunukiwa cheti cha ubora. Na mkuu wa wilaya wa wakati huo Elibariki Kingu alitangazwa kuwa mkuu wa wilaya aliyefanya vizuri katika kutekeleza majukumu yake..

Kwa sasa Kingu kashinda ubunge wa jimbo la Singida Magharibi. Ni wazi kama Magufuli anataka vijana wachapakazi, waliopikika moja wao ni Elibariki kingu. Rais Magufuli, Kingu atakuwa msaada kwako sana. Na hasa ukianza naye kwa nafasi ya unaibu for the future atakuwa potential katika hii nchi...

Ni mtiifu, mchapakazi na ana rekodi ya kuwa DC bora kwa miaka 2 mfululizo... Huu ndio muda wa kufanya kazi na vijana kama hawa, ambao ni asset katika Taifa... !
 
Na hivyo Ofisi ya Rais ikaitwa Wizara Kuu ya Ofisi ya Rais ambapo Wizara hiyo itakua kubwa kuliko yoyote:-
1.Wizara Kuu Ofisi ya Rais Fedha na Uchumi
2.Wizara Kuu Ofisi ya Rais Utumishi na Ajira
3.Wizara Kuu Ofisi ya Rais Nishat na Madini
4.Wizara Kuu Ofisi ya Rais Maadili na Utawala Bora

Hizo ziongozwe na Waziri mmoja na Manaibu Mawazir 4
 
Jk alikuwa wa hivyo.
Kwa huyu ccm imekula kwenu na promo kama hizi.
Wengine waje walime kama sisi
 
Sawa ingawa alikuwa team lowasa ila nikijana mzuri.rais ataangalia
 
Mhh c ajabu akawa mwenyewe anajipigia debe. Kama ulifanya vizuri kwanini uliondolewa? Kama wewe ni mchapakazi huna aja ya promo, fanya shuhuli zako
 
Mshaanza kujipendekeza..Sasa hivi mawaziri watatoka kanda ya Ziwa,,,Ni zamu yetu sasa wanakanda ya ziwa kushika madaraka manono..JK alitutenga sana.
 
cyber laws haipo kwa jukwaa la jamii forum tumeona jamii forum imevamiwa tumeona kesi za baadhi ya wakuu humu ziko mahakamani mh rais aangalie hili,jamii forum imekuwa na mchango mkubwa si kwa watawala pia taasisi mbalimbali na uzuri wa jukwaa hili lina uongozi kuna moderator,na wengine hawa kazi yao ni kukufungia ukikiuka maadili ,hoja yangu hapa ni kuwa jamii forum watoe mawazo yao bila woga ili tujenge tanzania yetu
 
1. Program ya Bima ya afya katika ngazi ya jamii ilivyoanza kutekelezwa ni wilaya ya Igunga chini ya Mkuu wa Wilaya wakati huo Elibariki Kingu alitekeleza program hiyo kwa asilimia 100.

2. Kati ya wilaya iliyofanya vizuri katika kuwawezesha vijana hasa kwenye miradi ya kilimo (vitunguu, mbogamboga). Ni wilaya ya Igunga chini ya Elibariki Kingu ilikuwa ni wilaya bora. Mpaka Mh. Rais Jakaya Kikwete alienda kutembelea mradi huo.

3. Ni wilaya ya Igunga chini ya Elibariki Kingu vijana walipata fursa na kupata mikopo na kujishughulisha na ufiatuaji wa matofali ya Hydroblocks.. Kingu alifanikiwa kutafuta wafadhili wa kuwapa vijana mikopo na mashine husika..

4. Kingu alifanikiwa kufungua fursa za kibiashara kwa vijana hao. Ambao kwa sasa SACCOS ya vijana hao ina fedha zaidi ya million 872..

5. Kingu alifanikiwa kuwawezesha wakina mama kwa kuwatafutia wafadhili kutoka China na Uganda ili wawape mafunzo na nyezo za kujihusisha na ufugaji na kilimo cha kisasa. Ikiwa ni pamoja na kuwapa mbegu za hybrid..

Infact, kwa miaka miwili mfululizo 2012, 2013. Wilaya ya Igunga ilikuwa ni bora iliyotunukiwa cheti cha ubora. Na mkuu wa wilaya wa wakati huo Elibariki Kingu alitangazwa kuwa mkuu wa wilaya aliyefanya vizuri katika kutekeleza majukumu yake..

Kwa sasa Kingu kashinda ubunge wa jimbo la Singida Magharibi. Ni wazi kama Magufuli anataka vijana wachapakazi, waliopikika moja wao ni Elibariki kingu. Rais Magufuli, Kingu atakuwa msaada kwako sana. Na hasa ukianza naye kwa nafasi ya unaibu for the future atakuwa potential katika hii nchi...

Ni mtiifu, mchapakazi na ana rekodi ya kuwa DC bora kwa miaka 2 mfululizo... Huu ndio muda wa kufanya kazi na vijana kama hawa, ambao ni asset katika Taifa... !
Kaka sema yote yamuhusuyo Kingu kama retired DC...........gusia kidogo japo Chungu kuhusu Mikopo ya Vijana 90MILIONI, usiache na zile za 340 za tanesco za kulipa fidia...halafu malizia ilikuwaje akaachwa kwenye uteuzi
 
nalazimika kuandika barua hii nikiamini kua huenda mheshmiwa rais au mmoja wa watu wake wa karibu atapita hapa jf kusikiliza kilio changu kuhusu jeshi letu la polisi nimekua nikisikia kua jeshi la polisi linaongoza kwa ulajirushwa sikuwahi kujua uhalisia wa tuhuma hizo mpaka nilipopata nafasi ya kueskoti gari dogo la kwenda nje maarufu kama IT iliyokua ikielekea zimbabwe ktk safari hiyo kila kituo tulichosimamishwa na polisi walikagua gari na kutaja sababu zinazotofautiana na kudai japo shs 2000 badala ya penalt ya 30000 kiukweli nilijiskia vibaya na kulichukia sana jeshi la polisi namuomba rais atume vijana wake kwa siri wasafiri toka dar mpaka tunduma ikiwa anataka kukomesha rushwa kwelikwel
 
Ushuru wa cc za magari kuanzia 1000-4500 uwe sawa tu. Hakuna logic gari Carina Ti(cc1490)na Carina Si(cc1780) ziwe na kodi tofauti kisa cc250 zimeongezeka. Haina maana yoyote!
 
Posho anayolipwa Diwani pamoja na mshahara ni kiasi kidogo sana mpaka aibu.Leo hii posho na mshahara wa mbunge zimepanda sana kutoka Milioni sita hadi Milioni kumi na moja.Mh Rais JPM ebu liangalie sana hili
 
Akiwa anaendelea na.hapakazi tu wakati sahihi kumkumbusha mh rais sehmu za kupata mikopo ya wanafunzi

1))mizani..hii.ni.sehemu kubwa tunapoteza mapato ukiacha tra..kwa kweli rushwa zinazofanyika zinahusika
mh rais badili watu hawa wengine rudisha ofisini mjini....

2))halmashauri
mh raisi kumekuwa.na pesa nyingi zinapotea hili.unaweza hakiki kws cag n.la kusitisha pesa huzi ukitoa ukafwatilia zinaweza kutumika ndogo sana tofauti na.zilizokuwa zikipelekwa kwa mstaafu enzi zake..kupunguza mns tunaongeza idadi ya wanafunzi wa chuo kwenda chjon

kingine....ntarudi baadae
 
1. Program ya Bima ya afya katika ngazi ya jamii ilivyoanza kutekelezwa ni wilaya ya Igunga chini ya Mkuu wa Wilaya wakati huo Elibariki Kingu alitekeleza program hiyo kwa asilimia 100.

2. Kati ya wilaya iliyofanya vizuri katika kuwawezesha vijana hasa kwenye miradi ya kilimo (vitunguu, mbogamboga). Ni wilaya ya Igunga chini ya Elibariki Kingu ilikuwa ni wilaya bora. Mpaka Mh. Rais Jakaya Kikwete alienda kutembelea mradi huo.

3. Ni wilaya ya Igunga chini ya Elibariki Kingu vijana walipata fursa na kupata mikopo na kujishughulisha na ufiatuaji wa matofali ya Hydroblocks.. Kingu alifanikiwa kutafuta wafadhili wa kuwapa vijana mikopo na mashine husika..

4. Kingu alifanikiwa kufungua fursa za kibiashara kwa vijana hao. Ambao kwa sasa SACCOS ya vijana hao ina fedha zaidi ya million 872..

5. Kingu alifanikiwa kuwawezesha wakina mama kwa kuwatafutia wafadhili kutoka China na Uganda ili wawape mafunzo na nyezo za kujihusisha na ufugaji na kilimo cha kisasa. Ikiwa ni pamoja na kuwapa mbegu za hybrid..

Infact, kwa miaka miwili mfululizo 2012, 2013. Wilaya ya Igunga ilikuwa ni bora iliyotunukiwa cheti cha ubora. Na mkuu wa wilaya wa wakati huo Elibariki Kingu alitangazwa kuwa mkuu wa wilaya aliyefanya vizuri katika kutekeleza majukumu yake.

Kwa sasa Kingu kashinda ubunge wa jimbo la Singida Magharibi. Ni wazi kama Magufuli anataka vijana wachapakazi, waliopikika moja wao ni Elibariki kingu. Rais Magufuli, Kingu atakuwa msaada kwako sana. Na hasa ukianza naye kwa nafasi ya unaibu for the future atakuwa potential katika hii nchi...

Ni mtiifu, mchapakazi na ana rekodi ya kuwa DC bora kwa miaka 2 mfululizo... Huu ndio muda wa kufanya kazi na vijana kama hawa, ambao ni asset katika Taifa... !
Wewewewweweee! Hebu tema mate kidogo kwa kumuogopa Muumba wako! Ukitaka kumjua Kingu nenda KWA JK,Hawa Ghasia na madiwani wa halmashauri ya Ikungi. Huyu jamaa ni hatari sana bora hata ya Change,Huyu amepita ubunge jimbo langu kiusanii sana! Aliwahi kukopa Mali za vifaa vya ujenzi kwenye maduka ya watu pale Singida mjini akawapelekea Viongozi wa makanisa wakajengea matokeo yake akashindwa kulipa na hao Viongozi wakatiwa ndani,hawa Viongozi hatakaa wamsahau Kingu milele.In fact alikopa vitu vingi sana kama kuliweka jimbo rehani.
 
Siyo daktari wa mifupa anapewa uwaziri wa ulinzi geologist anapewa wizara ya habari alafu mwana habari anapewa wizara ya nishati na madini alafu mchumi anapewa wizara ya utamaduni, hii italeta tija kwa sababu kila mmoja atasimamia kile alichosomea.
 
Bila Shaka wewe utakua ni diwani! Magufuri posho ya diwani ibaki hiyo hiyo ila wakumbuke wenye viti wa vijiji /mitaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom