Monyiaichi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 1,826
- 508
Hahaaaaa. Labda tujaribu kukufanyia kwanza ww message mkuu.
Mi sio msukuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa. Labda tujaribu kukufanyia kwanza ww message mkuu.
ACT bana hamuishi vituko,biti kubwa mbunge mmoja.ooh chama cha pili kwa kuweka wabunge wengi,so whaat!huyo Slaa si ndo alimfukuza Zito au?!hongera nasikia mkeo kapata viti maalumu!!
au unaishia kufungua mlango wa mbowe na kushangilia akikupa 1000??
Mi sio msukuma
Ingependeza kama rais Magufuli atamteua Dr Slaa kuwa Mbunge atakayesaidia kwenye vita dhidi ya ufisadi. Kwa kuwa hana chama cha siasa atakuwa neutral katika hoja na wote watamwamini hata kwa nafasi ya spika.
Magufuli hawezi fanya ujinga huo kama aliofanya kikwete kumteua Mbatia isitoshe Kafulila hana faida yeyote bungeni anabweka tu kama jibwa bila ya malengo.
maeneo mengi hapa nchini hasa hotel wanakataa malipo kwa kutumia shilingi na wengi wao ndio wale waliochangia kampeni za chama naamini jp hana uwezo wa kukatataza hili, ukizingatia yeye mwenyewe amebebwa hadi hapo alipofika!
Binti, huyu si tu ataingia bungeni, rais mwenye nia njema na nchi anatakiwa kumpa moja ya wizara nyeti kabisa.Unadhani Magufuli ni mjinga hamjui huyo msaliti?
Slaa mwenzie ni Mzee Mwanakijiji,wengine wanamuogopa kama Israel mtoa roho.
Bunge ataishia kuliona kwenye tv kama raia wa kawaida
Issue si eti mawaziri wakubali, Rais atoe tamko kuwa matumizi ya magari ya aina hiyo yasitishwe mara moja na kama yatahijika kwa baadhi ya maofisa atoe vigezo.Taifa limedhoofika kwa kuendekeza starehe za magari ya kifahari.chagua viongozi watakao kubali hata kutumia noah.
Kwani kiingereza ni nini mbona wachina hawakijui na ni tishio duniani? Tunadumaza akili zetu kwa kuziongezea mizigo bure. Sawa tusome tukifahamu lakini siyo lazima kukitumia kila mara unapotaka kuwakilisha mawazo yako ya kina. Vikwazo vya lugha visimaanishe eti hatuna watu vichwa kuliko wazungu.
Kama JK alimpa uwaziri kwa miaka 10 bila ya kumfukuza, unategemea asimsikilize maoni yake?Kazi anafundishwa na JK, JK amemteuliwa AG kabisa.