Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Unafikiri Kafulila ni mbunge pekee anaye pinga ufisadi? Mbona wako wengi? Kafulila ameshindwa ubunge kama ana hoja za ufisadi na ana ushahidi anaweza kuendelea kusema hata akiwa nje ya bunge au anaweza kuwakabidhi wenzake wanao kwenda bungeni!
Si lazima aende bungeni...
Kiufupi Kafulila kashinda uchaguzi,nami ni shahidi wa hilo!Kesi hiyo ataenda kushinda mahakamani,huyo ex wa Jay key ameshikilia ubunge kwa muda tu!