Unafikiri Kafulila ni mbunge pekee anaye pinga ufisadi? Mbona wako wengi? Kafulila ameshindwa ubunge kama ana hoja za ufisadi na ana ushahidi anaweza kuendelea kusema hata akiwa nje ya bunge au anaweza kuwakabidhi wenzake wanao kwenda bungeni!
Si lazima aende bungeni...
Najua kwa mujibu wa katiba ya nchi najua una viti kumi vya Rais. Naomba sana umteue kafulila Kuwa mbunge ili dhamira ya kupinga ufisadi ifanyike kwa vitendo pia atakusaidia kukamata majizi na mafisadi yaliyotufikisha hapa na pia imani yako kwa watanzania itaongezeka maradufu.
Never Kafulila hana lolote ni msaka tonge alikuwa anatumika na Mzee Machache kumhujumu Muhongo kwa ajili ya vitalu vya gesi.
Hana jipya huyo.
Hivi kitufe cha LIKE kimejificha wapi maana naona watu wananipa LIKE lakini mimi nikitaka kutoa sikioni. Wapi like jamani? Au imetengewa baadhi ya membazi? Hata hivyo pokea LIKE!Nimekumbuka kitu kuhusu Hawa Ghasia.
Ingependeza kama rais Magufuli atamteua Dr Slaa kuwa Mbunge atakayesaidia kwenye vita dhidi ya ufisadi. Kwa kuwa hana chama cha siasa atakuwa neutral katika hoja na wote watamwamini hata kwa nafasi ya spika.
Ingependeza kama rais Magufuli atamteua Dr Slaa kuwa Mbunge atakayesaidia kwenye vita dhidi ya ufisadi. Kwa kuwa hana chama cha siasa atakuwa neutral katika hoja na wote watamwamini hata kwa nafasi ya spika.
Najua kwa mujibu wa katiba ya nchi najua una viti kumi vya Rais. Naomba sana umteue kafulila Kuwa mbunge ili dhamira ya kupinga ufisadi ifanyike kwa vitendo pia atakusaidia kukamata majizi na mafisadi yaliyotufikisha hapa na pia imani yako kwa watanzania itaongezeka maradufu.
What a contradiction:
Unaonesha kumbukumbu zako zinaishia kwenye urefu wa pua yako.
Asipige marufuku magari tu!, hata mwenge maana twaweza kuona taswira ya mwenge kwenye fulana zake, huu ukapelekwa makumbusho, then pesa inayotengwa kwa mwenge ipelekwe MSD.