Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama yule yuko juu..
ACT na CCM NI ndugu moja!
Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na taadhima hili ni ombi binafsi kwako.
Nnaomba uhakikishe huyu mrembo wa ACT Bi Anna Mughwira unamuingiza bungeni na unampa wadhifa anaostahiki, huyu mama ni kichwa adhyim na adim kabisa.
Nimemfatilia mikutano yake mingi sana ya kampeni, anatoa vitu kichwani utafikiri ana word processor inayopanga na kuchuja anachokizungumza kutoka kichwani bila kusoma.
Halikadhalika leo kanifurahisha sana alipostukizwa na kutoa hotuba pale Diamond, ilikuwa fupi na imelenga points zote nzuri na ameeleweka vyema kabisa.
Anna heko sana na nitakuunga mkono katika siasa zako.
Magufuli naona bora ampe Lowassa wizara ya Elimu. Elimu itakuwa bure mpaka chuo kikuu 
Humo kwa red, kuna mawaziri wakuu 2( 1 wa mkapa 1 wa kikwete) na wabunge walioteuliwa na mwenyekiti wenu 2 kwahiyo kama unavyosema ni sahihi basi waliowapa hizo nafasi watakuwaje ??????
Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na taadhima hili ni ombi binafsi kwako.
Nnaomba uhakikishe huyu mrembo wa ACT Bi Anna Mughwira unamuingiza bungeni na unampa wadhifa anaostahiki, huyu mama ni kichwa adhyim na adim kabisa.
Nimemfatilia mikutano yake mingi sana ya kampeni, anatoa vitu kichwani utafikiri ana word processor inayopanga na kuchuja anachokizungumza kutoka kichwani bila kusoma.
Halikadhalika leo kanifurahisha sana alipostukizwa na kutoa hotuba pale Diamond, ilikuwa fupi na imelenga points zote nzuri na ameeleweka vyema kabisa.
Anna heko sana na nitakuunga mkono katika siasa zako.
Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na taadhima hili ni ombi binafsi kwako.
Nnaomba uhakikishe huyu mrembo wa ACT Bi Anna Mughwira unamuingiza bungeni na unampa wadhifa anaostahiki, huyu mama ni kichwa adhyim na adim kabisa.
Nimemfatilia mikutano yake mingi sana ya kampeni, anatoa vitu kichwani utafikiri ana word processor inayopanga na kuchuja anachokizungumza kutoka kichwani bila kusoma.
Halikadhalika leo kanifurahisha sana alipostukizwa na kutoa hotuba pale Diamond, ilikuwa fupi na imelenga points zote nzuri na ameeleweka vyema kabisa.
Anna heko sana na nitakuunga mkono katika siasa zako.
Wewe nawe naona sasa umefika wakati ukalie tu huo MSUMARI WA MOTO, huna maana yoyote wewe.
Kuna wananchi wawili ambao kama Magufuli atawateua kuwa wabunge atajijengea heshima sana mbele ya jamii nao ni huyo mama mwenyekiti wa ACT Anna Mughwira na Kafulila. They will add value to the bunge proceedings na hilo ndio la muhimu!!
Cheo apate mtu aliyepata kura ELFU 68 aachwe aliyepata kura MILIONI 6.3?
Lazima itakuwa ni zawadi tu labda kama kuna kazi alipewa
Mama Anna ni mtu wa Singida? Huwa naona wana Singida wana akili sana, based from niliosoma nao na ninaofanya nao kazi. She is the Best. Wampe nafasi atumikie Taifa