Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ww fuso sijui audi..... Acha hasira suala la ilani huwa haibadiliki yote ktk utendaji na ilani ya chama siyo lazima itekelezwe yote......
Mara mia ungesema kwamba kwakuwa Mrs Ana alikuwa anagombea nyadhifa kubwa yaani URAIS katiba sidhani kama anaruhusiwa kuwa mbunge or minister ...otherwise aamie chama pinzani tofauti na chake....
My opinion... Huyu mama kweli anafaa sana kuwa kiongozi kwan Speach aliyoitoa ni fupi na ya kueleweka... Ni hayo maoni yangu kama nitakuwa nipo wrong mnisahishe
Kiutaratibu Magufuli akiwa kama rais anaweza akamteua Anna Mghirwa kama mbunge, lakini hawezi kumpatia nafasi ya uwaziri. Rais anatakiwa kunnda serikali yake kutoka kwa wabunge wa chama chake.
Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na taadhima hili ni ombi binafsi kwako.
Nnaomba uhakikishe huyu mrembo wa ACT Bi Anna Mughwira unamuingiza bungeni na unampa wadhifa anaostahiki, huyu mama ni kichwa adhyim na adim kabisa.
Nimemfatilia mikutano yake mingi sana ya kampeni, anatoa vitu kichwani utafikiri ana word processor inayopanga na kuchuja anachokizungumza kutoka kichwani bila kusoma.
Halikadhalika leo kanifurahisha sana alipostukizwa na kutoa hotuba pale Diamond, ilikuwa fupi na imelenga points zote nzuri na ameeleweka vyema kabisa.
Anna heko sana na nitakuunga mkono katika siasa zako.
Huyo hajiwezi tena, tulivyomkata CCM tunaelewa na Watanzania walio wengi wameelewa.
Huyu mdudu gani alie toa kitufe cha LIKE!!! Hahahahaha FAIZAAAA weacha tuKwani Maalim Seif anatekeleza ilani ipi kama Makamu wa Rais wa Zanzibar?
Aaah wapi amuache akachimbe chumvi uvinzaMie namuomba Magufuli amteue David Kafulila kwenye nafasi ya wabunge wa kuteuliwa toka upinzani.
Si lazima Uwaziri, anaweza mteua kushika uenyekiti wa bodi ya taasisi yoyote ya kiuchumi kwa mfano TANESCO ili Anna aonyeshe ya ACT waliyoyasoma kwa Mahathir Muhammad.
Huyu mama nimemkubali sana na sijui kwanini sikuwahi kumsikia kabla ya uchaguzi! Naunga mkono hoja ila natamani ateuliwe kuwa mbunge tuu na asipewe uwaziri maana ndani ya serikali ya ccm anaweza akaonekana tofauti kutokana na mfumo.