Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
lingekua ni jambo la msingi kama angekua amekusikia ,,,lakini huku ulipo post sina hakika kama atakua amekusikia
 
Kilio cha aina yako icho, nakifananisha kilio cha samaki ndani ya maji.
 
Mlinipigia kura???
BILA ZILE SHOW KM FIESTA LEO UNGENIITA BABA??
 
Watu wengi wanaishi wilayani na mahitaji yao mengi yanatatuliwa wilayani hukohuko, hivyo kuweka watendaji mahili na wabunifu kwenye ngazi ya wilaya ndio mtihani wa kwanza wa rais Magufuli. Wakuu wa wilaya na watendaji wengine wa JK sio kabisa, na huwenda ndio chanzo cha migogoro mingi ya wananchi dhidi ya serikali yao. JPM hana namna nyingine zaidi ya kuwaweka pembeni watendaji wote wavivu na wabadhilifu wilayani na mikoani ambao wengi wao wameshachukiwa tayari na wananchi wao.

Mtihani wa pili ni namna atakavyo atakavyotumia uwezo wake kupambana wa watu wajanjawajanja kama vile akina Lyatonga, Chenge, Tibaijuka, Manji, Aziz, Nazir, Harison, Samuel na wengine. Kwa muonekano wao ni wapenda sifa binafsi na kujali maslahi yao tu.

Mtihani wa tatu ni namna atakavyoweza kukaa mbali na kundi la mzee Mkapa waliohusika na kuuza viwanda, migodi, mabenki, mashamba, nyumba za serikali na hata waliotajwa kwenye kashifa ya EPA, meremeta, rada, ndege ya rais, n.k, ambao ni chanzo kikubwa leo cha ukosefu wa ajira kwa vijana na ongezeko kubwa la deni la taifa.

Mtihani wa Nne ni namna ya atakavyopambana na wimbi la watoto na wajukuu wa viongozi wa wakuu wa CCM wanaotaka kupewa nafasi serikalini kwa upendeleo kutumia nafasi za wazazi wao.

Mtihani wa Tano ni namna atakavyoweza kupambana na udini, ukabila, na ukanda katika kutoa nafasi za ajira nchini. Hali ilivyo hivi sasa ni mbaya sana, ajira wizarani, kwenye vitengo mbalimbali, mialiko kwenye mikutano, semina na nafasi za mafunzo inatolewa kwa ukanda, ukabila, udugu na udini.

Asipozingatia haya atahesabika kuwa ameanza na mguu mbaya sana utakaomgarimu sana uchaguzi wa 2020.
 
Mbona mtihani wa kwanza ameshafeli........... AG
 
Watu wengi wanaishi wilayani na mahitaji yao mengi yanatatuliwa wilayani hukohuko, hivyo kuweka watendaji mahili na wabunifu kwenye ngazi ya wilaya ndio mtihani wa kwanza wa rais Magufuli. Wakuu wa wilaya na watendaji wengine wa JK sio kabisa, na huwenda ndio chanzo cha migogoro mingi ya wananchi dhidi ya serikali yao. JPM hana namna nyingine zaidi ya kuwaweka pembeni watendaji wote wavivu na wabadhilifu wilayani na mikoani ambao wengi wao wameshachukiwa tayari na wananchi wao.

Mtihani wa pili ni namna atakavyo atakavyotumia uwezo wake kupambana wa watu wajanjawajanja kama vile akina Lyatonga, Chenge, Tibaijuka, Manji, Aziz, Nazir, Harison, Samuel na wengine.

Mtihani wa tatu ni namna atakavyoweza kukaa mbali na kundi la mzee Mkapa waliohusika na kuuza viwanda, migodi, mabenki, mashamba, nyumba za serikali na hata waliotajwa kwenye kashifa ya EPA, meremeta, rada, ndege ya rais, n.k, ambao ni chanzo kikubwa leo cha ukosefu wa ajira kwa vijana na ongezeko kubwa la deni la taifa.

Mtihani wa Nne ni namna ya atakavyopambana na wimbi la watoto na wajukuu wa viongozi wa wakuu wa CCM wanaotaka kupewa nafasi serikalini kwa upendeleo kutumia nafasi za wazazi wao.

Mtihani wa Tano ni namna atakavyoweza kupambana na udini, ukabila, na ukanda katika kutoa nafasi za ajira nchini. Hali ilivyo hivi sasa ni mbaya sana, ajira wizarani, kwenye vitengo mbalimbali, mialiko kwenye mikutano, semina na nafasi za mafunzo inatolewa kwa ukanda, ukabila, udugu na udini.

Asipozingatia haya atahesabika kuwa ameanza na mguu mbaya sana utakaomgarimu sana uchaguzi wa 2020.

Mleta uzi hongera sana kwa uchambuzi makini, hata sasa hayo wananchi tuliyafanyia kazi na tukafanya maamuzi kwenye box la kura, lakini tume ya uchaguzi haiko huru hivyo tuna mashaka ya kilichoendelea. Huenda ameshinda kweli lakini sio kwa kiwango alichotangazwa nacho achia mbali wingi wa wabunge wake na njia zilizotumika kuwapitisha. Hata huo mwaka 2020 bado kama tume ni hii hata awe amefanya vibaya zaidi ya hayo uliyoyaainisha hapo kwenye post yako anauwezo wa kurudi iwapo tume itaendelea kuwa hivihivi. Nadhani umeona kilichotokea ZnZ, ni baada ya tume kuweka wajumbe toka vyama vyote ndio ikapelekea matokeo kufutwa kwani kuitoa ccm kwa kura ni utani wa mchana kweupe.
 
Tatizo ni mfumo......atabebwa na mawimbi tu na ndio maana ccm naichukia
Usiwe na tomaso magufuli usimfananishe na jk hata robo subili uone tatizo in mfumo ndo unafanya watu wasifanye Kazi ofisini au walikosa MTU wa kuwasimamia
 
Mleta uzi hongera sana kwa uchambuzi makini, hata sasa hayo wananchi tuliyafanyia kazi na tukafanya maamuzi kwenye box la kura, lakini tume ya uchaguzi haiko huru hivyo tuna mashaka ya kilichoendelea. Huenda ameshinda kweli lakini sio kwa kiwango alichotangazwa nacho achia mbali wingi wa wabunge wake na njia zilizotumika kuwapitisha. Hata huo mwaka 2020 bado kama tume ni hii hata awe amefanya vibaya zaidi ya hayo uliyoyaainisha hapo kwenye post yako anauwezo wa kurudi iwapo tume itaendelea kuwa hivihivi. Nadhani umeona kilichotokea ZnZ, ni baada ya tume kuweka wajumbe toka vyama vyote ndio ikapelekea matokeo kufutwa kwani kuitoa ccm kwa kura ni utani wa mchana kweupe.

Kwa mini unafikiria kuwa atashidwa ? Na usifikikie ataweza? Je kama aliweza alikokuwa kwanini hasiweze sasa?
Kuna haja ya kutohukumu kitu usichokijua matokeo yake,
 
Usiwe na tomaso magufuli usimfananishe na jk hata robo subili uone tatizo in mfumo ndo unafanya watu wasifanye Kazi ofisini au walikosa MTU wa kuwasimamia

Hiyo mikwala ya Magufuli inakutisha, ngoja miaka miwili uone atakavyobadili single. mara utasikia nchi wahisani wametuwekea ngumu na misemo kibao. Achia mbali nguvu kubwa ya vyombo vya dola itakayotumika kunyamazisha umma pindi watakapohoji hizo porojo.
 
watu wengi hawa CHADEMA wanataka kumuona magufuli akifeli.... mtasubiri saaaaaaaaaaana
 
Kwa mini unafikiria kuwa atashidwa ? Na usifikikie ataweza? Je kama aliweza alikokuwa kwanini hasiweze sasa?
Kuna haja ya kutohukumu kitu usichokijua matokeo yake,

Uzoefu unaonyesha ccm hawana tabia ya kufanya mambo kwa ufasaha bali kulazimisha ubora. Na kwa tabia zake tulizoziona tunategemea mbaya zaidi ya hivi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom