Wakuu!
Tumeshuhudia Wizara hii katika awamu zote za awamu ya Tatu na nne ikiwa ndio Wizara iliyoitangaza sana nchi katika kashfa mbali mbali za ufisadi mkubwa uliozifanya hadi nchi wahisani kuwa na shaka na uendeshaji wa nchi na hasa udhibiti wa mapato ya ndani ya Taifa.
Kwa kuwa Magufuli amejitanabaisha kuwa ni Mtu wa kazi, Muadilifu basi ili kuliondolea taifa na udhia wa kuingia kwenye kashfa kubwa kubwa za Ufisadi ni vema Wizara hii ikawa chini ya Ofisi ya Rais ili tushuhudie ufanisi uliotukuka kwa kufaidi rasilimali zetu kama vile Gesi, Madini mbali mbali na mafuta pale yatakapo anza kuchimbwa.
Kwani kwa hali ya sasa hakuna Waziri yeyote atakaye kabidhiwa Wizara hiyo ambaye ataweza kumaliza salama kwani ni wazi Wizara hiyo ndio kimbilio la CCM kujipatia fedha kiujanja ujanja hivyo Wizara hiyo ikidhibitiwa kikamilifu CCM watajipanga vema kutumia vyanzo vyao vya fedha vya halali na hivyo nchi kuendelea vema na kuondokana na mgao wa umeme usio na mwisho kila mwaka.
Kaka sema yote yamuhusuyo Kingu kama retired DC...........gusia kidogo japo Chungu kuhusu Mikopo ya Vijana 90MILIONI, usiache na zile za 340 za tanesco za kulipa fidia...halafu malizia ilikuwaje akaachwa kwenye uteuzi1. Program ya Bima ya afya katika ngazi ya jamii ilivyoanza kutekelezwa ni wilaya ya Igunga chini ya Mkuu wa Wilaya wakati huo Elibariki Kingu alitekeleza program hiyo kwa asilimia 100.
2. Kati ya wilaya iliyofanya vizuri katika kuwawezesha vijana hasa kwenye miradi ya kilimo (vitunguu, mbogamboga). Ni wilaya ya Igunga chini ya Elibariki Kingu ilikuwa ni wilaya bora. Mpaka Mh. Rais Jakaya Kikwete alienda kutembelea mradi huo.
3. Ni wilaya ya Igunga chini ya Elibariki Kingu vijana walipata fursa na kupata mikopo na kujishughulisha na ufiatuaji wa matofali ya Hydroblocks.. Kingu alifanikiwa kutafuta wafadhili wa kuwapa vijana mikopo na mashine husika..
4. Kingu alifanikiwa kufungua fursa za kibiashara kwa vijana hao. Ambao kwa sasa SACCOS ya vijana hao ina fedha zaidi ya million 872..
5. Kingu alifanikiwa kuwawezesha wakina mama kwa kuwatafutia wafadhili kutoka China na Uganda ili wawape mafunzo na nyezo za kujihusisha na ufugaji na kilimo cha kisasa. Ikiwa ni pamoja na kuwapa mbegu za hybrid..
Infact, kwa miaka miwili mfululizo 2012, 2013. Wilaya ya Igunga ilikuwa ni bora iliyotunukiwa cheti cha ubora. Na mkuu wa wilaya wa wakati huo Elibariki Kingu alitangazwa kuwa mkuu wa wilaya aliyefanya vizuri katika kutekeleza majukumu yake..
Kwa sasa Kingu kashinda ubunge wa jimbo la Singida Magharibi. Ni wazi kama Magufuli anataka vijana wachapakazi, waliopikika moja wao ni Elibariki kingu. Rais Magufuli, Kingu atakuwa msaada kwako sana. Na hasa ukianza naye kwa nafasi ya unaibu for the future atakuwa potential katika hii nchi...
Ni mtiifu, mchapakazi na ana rekodi ya kuwa DC bora kwa miaka 2 mfululizo... Huu ndio muda wa kufanya kazi na vijana kama hawa, ambao ni asset katika Taifa... !
Wewewewweweee! Hebu tema mate kidogo kwa kumuogopa Muumba wako! Ukitaka kumjua Kingu nenda KWA JK,Hawa Ghasia na madiwani wa halmashauri ya Ikungi. Huyu jamaa ni hatari sana bora hata ya Change,Huyu amepita ubunge jimbo langu kiusanii sana! Aliwahi kukopa Mali za vifaa vya ujenzi kwenye maduka ya watu pale Singida mjini akawapelekea Viongozi wa makanisa wakajengea matokeo yake akashindwa kulipa na hao Viongozi wakatiwa ndani,hawa Viongozi hatakaa wamsahau Kingu milele.In fact alikopa vitu vingi sana kama kuliweka jimbo rehani.1. Program ya Bima ya afya katika ngazi ya jamii ilivyoanza kutekelezwa ni wilaya ya Igunga chini ya Mkuu wa Wilaya wakati huo Elibariki Kingu alitekeleza program hiyo kwa asilimia 100.
2. Kati ya wilaya iliyofanya vizuri katika kuwawezesha vijana hasa kwenye miradi ya kilimo (vitunguu, mbogamboga). Ni wilaya ya Igunga chini ya Elibariki Kingu ilikuwa ni wilaya bora. Mpaka Mh. Rais Jakaya Kikwete alienda kutembelea mradi huo.
3. Ni wilaya ya Igunga chini ya Elibariki Kingu vijana walipata fursa na kupata mikopo na kujishughulisha na ufiatuaji wa matofali ya Hydroblocks.. Kingu alifanikiwa kutafuta wafadhili wa kuwapa vijana mikopo na mashine husika..
4. Kingu alifanikiwa kufungua fursa za kibiashara kwa vijana hao. Ambao kwa sasa SACCOS ya vijana hao ina fedha zaidi ya million 872..
5. Kingu alifanikiwa kuwawezesha wakina mama kwa kuwatafutia wafadhili kutoka China na Uganda ili wawape mafunzo na nyezo za kujihusisha na ufugaji na kilimo cha kisasa. Ikiwa ni pamoja na kuwapa mbegu za hybrid..
Infact, kwa miaka miwili mfululizo 2012, 2013. Wilaya ya Igunga ilikuwa ni bora iliyotunukiwa cheti cha ubora. Na mkuu wa wilaya wa wakati huo Elibariki Kingu alitangazwa kuwa mkuu wa wilaya aliyefanya vizuri katika kutekeleza majukumu yake.