yes K A T I B A ndiyo mwongozo wa kila kitu
Kweli hapa katiba tu
Mkuu kwanza atuletee katiba mpya ile ya warioba japo kuwa Warioba mwenyewe kakengeuka....
chamsingi haponi kupiga matumizi ya mwezi kwa mshahara wa kima cha chini na aone je kinakidhi matumizi kwa mwezi? akishindwa kurekebisha hapo ajue kwamba hatofanikiwa maana ni lazima watu wataiba ili waweze kuishi, huo ndio ukweli haukwepeki
Mkuu kwanza atuletee katiba mpya ile ya warioba japo kuwa Warioba mwenyewe kakengeuka....
Kumbuka Magufuli ni kijani na njano na kupiga dili ndio jadi yao. Sidhani kama ataweka tenda ziwe wazi wakati ukoo mzima wa panya wanaishi kwa hizo tenda. Kuna watu wamegombea ubunge, udiwani, wanaroga saizi wapate uwaziri kwa ajili ya tenda tu
Mkuu kwanza atuletee katiba mpya ile ya warioba japo kuwa Warioba mwenyewe kakengeuka....
Zezeta lowassa aliahidi katiba ya warrioba?...ukawa walikua wanaongelea mabadiliko kwa kusisitizia elimu na kuchukia umaskini... hawakusema kivipi watafanya au kutelekeza haya na ufisadi na katiba havikua kipaumbele....
Pelekeni siasa kaskazini kwenu, hapa tunaanza kazi
Atupe katiba mpya ya warioba na tume huru ya uchaguzi.
Mengine yatajiweka sawa.
Kama unaamini katika uwazi kwenye serikali yako, kuna jambo unaweza kujifunza kutoka Kenya
Michakato ya tender zote zinazotolewa katika ngazi yeyote ya serikali huwekwa wazi kwenye mtandao wa serikali ambapo kila mtu anaweza kusoma.
Hii inahusisha kutangazwa tender, wazabuni walioomba, wazabuni walioteuliwa kwa ajili ya mchujo na sababu zake, na mzabuni aliyepatiwa tender na vigezo vilivyotumika.
Kwa kiasi kikubwa hii hupunguza malalamiko na upendeleo kwenye suala la mikataba ya tender

Kwani aliwaahidi katiba mpya?