Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mkuu kwanza atuletee katiba mpya ile ya warioba japo kuwa Warioba mwenyewe kakengeuka....
 
Warioba aaah aaah harakati za kumtafutia ubunge wa kijana wake bila mafanikio zimemfanya mzee asahau kashfa ,matusi na hata ngwala za kina makonda!tamaa mbaya
 
Kumbuka Magufuli ni kijani na njano na kupiga dili ndio jadi yao. Sidhani kama ataweka tenda ziwe wazi wakati ukoo mzima wa panya wanaishi kwa hizo tenda. Kuna watu wamegombea ubunge, udiwani, wanaroga saizi wapate uwaziri kwa ajili ya tenda tu
 
chamsingi haponi kupiga matumizi ya mwezi kwa mshahara wa kima cha chini na aone je kinakidhi matumizi kwa mwezi? akishindwa kurekebisha hapo ajue kwamba hatofanikiwa maana ni lazima watu wataiba ili waweze kuishi, huo ndio ukweli haukwepeki

Akihamornise mishahara katika sekta ya umma atapunguza kwa kiasi kikubwa ukosefu wa ajira
 
Katiba sio agenda yake ndio maana hakuahidi kwenye campaign
 
Mkuu kwanza atuletee katiba mpya ile ya warioba japo kuwa Warioba mwenyewe kakengeuka....

Atupe katiba mpya ya warioba na tume huru ya uchaguzi.

Mengine yatajiweka sawa.
 
Hakuna mabadiliko bila katiba mpya. Kwa kuahifi mabadiliko tayari Magufuli aliahidi katiba mpya.
 
Kumbuka Magufuli ni kijani na njano na kupiga dili ndio jadi yao. Sidhani kama ataweka tenda ziwe wazi wakati ukoo mzima wa panya wanaishi kwa hizo tenda. Kuna watu wamegombea ubunge, udiwani, wanaroga saizi wapate uwaziri kwa ajili ya tenda tu

Hivi hadi leo haujajifunza kitu kwa tukio la Lowassa tuliyeambiwa ni fisadi kwa miaka 8 halafu baadaye tunaambiwa tumpe kura awe rais?
 
Ukifika waulize kuwa Air Tanzania ina wafanyakazi wangapi?

Sijui vizuri system yao au wapo chini ya nani sijui. Wewe Magufuli ndio unajua vizuri.

Waulize kuwa wanaliingizia taifa sh ngapi kwa mwezi? Potelea mbali kwa mwaka.

Waulize kuwa wana ndege ngapi? Potelea mbali hata kama hilo swali alitakiwa alijibu mmoja wapo wa mawaziri mizigo wa jk ambao nadhani unaweza ukawarufisha tena kwenye baraza lako.

Kila la kheri.

Endelea kuwasomesha Namba. Leo naona ni zamu ya Rweyemamu wa mawasiliano.
 
Mkuu kwanza atuletee katiba mpya ile ya warioba japo kuwa Warioba mwenyewe kakengeuka....

Zezeta lowassa aliahidi katiba ya warrioba?...ukawa walikua wanaongelea mabadiliko kwa kusisitizia elimu na kuchukia umaskini... hawakusema kivipi watafanya au kutelekeza haya na ufisadi na katiba havikua kipaumbele....

Pelekeni siasa kaskazini kwenu, hapa tunaanza kazi
 
Umelazimishwa kunijibu? au alimradi tu ufikishe idadi ya post za kulipwa?
 
Atupe katiba mpya ya warioba na tume huru ya uchaguzi.

Mengine yatajiweka sawa.

Mmeshindwa sasa mnaikumbuka katiba mpya...majukwaani haikua top priority zaidi ya ngonjera za kisiasa za nachukia umaskini na elimu bure hadi chuo
 
Kama unaamini katika uwazi kwenye serikali yako, kuna jambo unaweza kujifunza kutoka Kenya

Michakato ya tender zote zinazotolewa katika ngazi yeyote ya serikali huwekwa wazi kwenye mtandao wa serikali ambapo kila mtu anaweza kusoma.

Hii inahusisha kutangazwa tender, wazabuni walioomba, wazabuni walioteuliwa kwa ajili ya mchujo na sababu zake, na mzabuni aliyepatiwa tender na vigezo vilivyotumika.

Kwa kiasi kikubwa hii hupunguza malalamiko na upendeleo kwenye suala la mikataba ya tender

KAtiba mpya hii ya tender ni sawa lakini katiba!! tujue na rangi zake sasa kama mtetezi wa wananchi au chama!!
 
Mh Rais, wengi tumefarijika baada ya kuona unaanza kuchukua hatua za kutaka kurudisha heshima ya Tz hasa katika eneo la kukusanya mapato na kubana matumizi. Kwa kusimamisha safari zote za nje kwa watendaji serikalini is a good start.
Sasa nakuomba Mh piga marufuku uagizaji wa magari yote ya Land Cruisers na fanya kama Rwanda piga mnada ma Land Cruisers yote yaliyo serikalini. Garama za manunuzi na uendeshaji wa haya magari ni expensive sana.Napendekeza kuanzia sasa mawaziri na watendaji serikalini Watumie Escudo au Vitara Grande.
 
Kama unaamini katika uwazi kwenye serikali yako, kuna jambo unaweza kujifunza kutoka Kenya

Michakato ya tender zote zinazotolewa katika ngazi yeyote ya serikali huwekwa wazi kwenye mtandao wa serikali ambapo kila mtu anaweza kusoma.

Hii inahusisha kutangazwa tender, wazabuni walioomba, wazabuni walioteuliwa kwa ajili ya mchujo na sababu zake, na mzabuni aliyepatiwa tender na vigezo vilivyotumika.

Kwa kiasi kikubwa hii hupunguza malalamiko na upendeleo kwenye suala la mikataba ya tender

Mbona kipo kitu kama hicho siku nyingi tu, pitia hapa: Home - The PPRA Website
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom