Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Hovi national housing ipo?
Inafanya nini?
Wao ndio waliopaswa kuondoa tatizo la nyumba za kupanga.....
 
Serikali iweke bei elekekezi kulingana na hazi ya Nyumba....siyo kijumba cha ovyo eti ulipe laki 3 Kwa mwezi na ukizingatia aiko Karibu na road pia muda mwingine unakuta iko Bunju au Madale.
 
Uwekwe utaratibu wa square metres, then bei itokane na kiwango kilichowekwa kutokana na wilaya n.k mfano sguare m 1 kinondoni mwenge ni 1000 tshs
 
Hasa maeneo flan km wenyenyumba wanataka sifa SINZA chumba kimoja km una laki nenda tandale
 
Hilo ni soko huria bei inaratibiwa na uhitaji na Upatikanaji yaani (Demand and Supply)..
swala la kodi bado litarndelea kumuumiza mpangaji.. kwa sababu wataweka kodi ya Nyumba ambayo tayari iko compansated na hiyo kodi ya mapato..

Nini kifanyike!
Yaanzishwe makazi mapya ya kutosha ili uhitaji wa nyumba uendane na upatikanaji wake..
Kuboresha miundombinu mfano..
Mtu atoke kibamba na afike Posta kwa wakati.

Wasalaam!
 
Zamani kulikuwa na sheria iliyo itwa Rent Restriction Act, walifuta na hii ikampa mwenye kumiliki nyumba( land lord) uhuru mkubwa!
 
Naamini kama magufuri upo makini kwa kuwapigania watanzania walala hoi ebu basi tembelea kiwanda cha kuzalisha matunda Azam mbagala ujionee jinsi watanzania wanaopeleka matunda yao kiwandani kuuza wanavyo firisika hapo kiwandani na kurudi makwao masikini.watu wanapeleka lori la embe au nanasi na wanakalishwa hapo nje zaidi ya siku 3 hadi 5 kabla ya kupokelewa matunda yao na matokeo yake matunda yanaoza.
 
suala ni kupunguza kodi ya vifaa za ujenzi na kusimamia bei za viwanja ziendane na uhalisia,
 
Well kuhusu kodi ya pango uko sahihi...kuhusu sheria ya kodi ipo na wewe mpangaji una haki ya kusimamia ulipaji.
 
Naamini kama magufuri upo makini kwa kuwapigania watanzania walala hoi ebu basi tembelea kiwanda cha kuzalisha matunda Azam mbagala ujionee jinsi watanzania wanaopeleka matunda yao kiwandani kuuza wanavyo firisika hapo kiwandani na kurudi makwao masikini.watu wanapeleka lori la embe au nanasi na wanakalishwa hapo nje zaidi ya siku 3 hadi 5 kabla ya kupokelewa matunda yao na matokeo yake matunda yanaoza.

wewe utakua mchawi na mfitini...ni wakupuuzwa
 
Hiyo fitina sasa kwan lazima upeleke huko sinibiashara hiyo akitaka ananunua asipotaka basi sasa hapo unamzalimisha anunue usikute store yake ishajaa
 
Sio kiwanda cha kuzalisha matunda bali cha kutengeneza juisi.
Uliyosema ni kweli, wanakalishwa ili yaharibike na bei iwe ndogo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom