Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Sio kiwanda cha kuzalisha matunda bali cha kutengeneza juisi.
Uliyosema ni kweli, wanakalishwa ili yaharibike na bei iwe ndogo.
Wewe umesomeka mkuu hongera sana kwa kujitambua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kiwanda cha kuzalisha matunda bali cha kutengeneza juisi.
Uliyosema ni kweli, wanakalishwa ili yaharibike na bei iwe ndogo.
Waambie wapeleke NAKUMATT
Sio kiwanda cha kuzalisha matunda bali cha kutengeneza juisi.
Uliyosema ni kweli, wanakalishwa ili yaharibike na bei iwe ndogo.
Naamini kama magufuri upo makini kwa kuwapigania watanzania walala hoi ebu basi tembelea kiwanda cha kuzalisha matunda Azam mbagala ujionee jinsi watanzania wanaopeleka matunda yao kiwandani kuuza wanavyo firisika hapo kiwandani na kurudi makwao masikini.watu wanapeleka lori la embe au nanasi na wanakalishwa hapo nje zaidi ya siku 3 hadi 5 kabla ya kupokelewa matunda yao na matokeo yake matunda yanaoza.
Sasa hii ni issue. Hayo ndiyo matunda ya ubepari. Kumbukeni ubepari ni unyama. Ila nafahamu kuwa awamu ya tano ya uongozi nchini itawakwamisha wengi. Zile kampuni zilizopo Dar es salaam zilizoajiri wale wahindi ambao hawajui hata Kiswahili zitaathirika.
Kama hawana agreement yeyote ya delivery watafute soko lingine.
Biashara ya perishables ina changamoto zake. Baadala ya Azam kutangaza kwa jumla kiwanda kinanunua mutunda na kupelekea msangamano ni busara zaidi angetumia suppliers wachache ambao order zinakwenda sambamba na uwezo wa kiwanda. Msibeza kabisa jamaa. Mali kuoza mtihani huchelewi kukata mtaji.Hiyo fitina sasa kwan lazima upeleke huko sinibiashara hiyo akitaka ananunua asipotaka basi sasa hapo unamzalimisha anunue usikute store yake ishajaa
Acha fitina . kwani lazima upeleke hapo.
Soko hulia....kiwanda kimoja lazima alinge kidogo...ongezeni viwanda muone kama watakalishwa tena..
Naamini kama magufuri upo makini kwa kuwapigania watanzania walala hoi ebu basi tembelea kiwanda cha kuzalisha matunda Azam mbagala ujionee jinsi watanzania wanaopeleka matunda yao kiwandani kuuza wanavyo firisika hapo kiwandani na kurudi makwao masikini.watu wanapeleka lori la embe au nanasi na wanakalishwa hapo nje zaidi ya siku 3 hadi 5 kabla ya kupokelewa matunda yao na matokeo yake matunda yanaoza.
Biashara ya perishables ina changamoto zake. Baadala ya Azam kutangaza kwa jumla kiwanda kinanunua mutunda na kupelekea msangamano ni busara zaidi angetumia suppliers wachache ambao order zinakwenda sambamba na uwezo wa kiwanda. Msibeza kabisa jamaa. Mali kuoza mtihani huchelewi kukata mtaji.
Kama yanaoza kwahyo juice tunakunywa za matunda ya kuoza?Kwahyo hata kama stock ipo ya kutosha achukue tu kuwafurahisha?we hujui biashara unadhani biashara ni siasa.
Kama yanaoza kwahyo juice tunakunywa za matunda ya kuoza?Kwahyo hata kama stock ipo ya kutosha achukue tu kuwafurahisha?we hujui biashara unadhani biashara ni siasa.
Naamini kama magufuri upo makini kwa kuwapigania watanzania walala hoi ebu basi tembelea kiwanda cha kuzalisha matunda Azam mbagala ujionee jinsi watanzania wanaopeleka matunda yao kiwandani kuuza wanavyo firisika hapo kiwandani na kurudi makwao masikini.watu wanapeleka lori la embe au nanasi na wanakalishwa hapo nje zaidi ya siku 3 hadi 5 kabla ya kupokelewa matunda yao na matokeo yake matunda yanaoza.
Hilo ndio jibu. Rotten fruits!!!!!
Mkuu kwa uwelewa wako kwani rais akienda pale anaenda kukifunga kiwanda au ni chachu ya kuboresha huduma? We ni mhaya wa wapi wa kiziba au karagwe?
Wa Chikundi...