bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Wewe acha upuuzi waki kwa tanzania hii hakuna mmiliki wa viwanda qnaywheshimu sheri za nchi kama azam uliza uambiwe
Kivp mkuu fafanua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe acha upuuzi waki kwa tanzania hii hakuna mmiliki wa viwanda qnaywheshimu sheri za nchi kama azam uliza uambiwe
Wewe acha upuuzi waki kwa tanzania hii hakuna mmiliki wa viwanda qnaywheshimu sheri za nchi kama azam uliza uambiwe
Hivi Azam anatumia Matunda halisi au anaagiza unga toka nje?juice yake haina vigezo.sukari tele na nzito kama uji hivi
Mkuu tuongeze viwanda wakati umeme ni wa mgao hadi karne hii?
Muulize magufuri...
Naona technology imekuwa sana Azam wana kiwanda cha kuzalisha matunda???Naamini kama magufuri upo makini kwa kuwapigania watanzania walala hoi ebu basi tembelea kiwanda cha kuzalisha matunda Azam mbagala ujionee jinsi watanzania wanaopeleka matunda yao kiwandani kuuza wanavyo firisika hapo kiwandani na kurudi makwao masikini.watu wanapeleka lori la embe au nanasi na wanakalishwa hapo nje zaidi ya siku 3 hadi 5 kabla ya kupokelewa matunda yao na matokeo yake matunda yanaoza.
Anatumia fruit concentrate "pulp" kutoka India na pia anakamua matunda kwenye kiwanda chake cha Mbagala
Naona technology imekuwa sana Azam wana kiwanda cha kuzalisha matunda???
Naamini kama magufuri upo makini kwa kuwapigania watanzania walala hoi ebu basi tembelea kiwanda cha kuzalisha matunda Azam mbagala ujionee jinsi watanzania wanaopeleka matunda yao kiwandani kuuza wanavyo firisika hapo kiwandani na kurudi makwao masikini.watu wanapeleka lori la embe au nanasi na wanakalishwa hapo nje zaidi ya siku 3 hadi 5 kabla ya kupokelewa matunda yao na matokeo yake matunda yanaoza.
Anatumia fruit concentrate "pulp" kutoka India na pia anakamua matunda kwenye kiwanda chake cha Mbagala
Wewe punguani kweli unatuambia Azam ana kiwanda cha kuzalisha matunda sasa hapa nani mpuuzi???Kwa kuchangia huo upuuzi wako inaonyesha jinsi ulivyo elewa nini kimesemwa
Km ndo hivo si upeleke mabichi yakaivie pale ndani ya hizo cku za kukaliswa?
Wewe punguani kweli unatuambia Azam ana kiwanda cha kuzalisha matunda sasa hapa nani mpuuzi???
Atakuwa anakamua Matunda machache ya geresha tu.faida kitaifa ndogo sana
Duh ! Eeeee bhana eeeee !!!!Naamini kama magufuri upo makini kwa kuwapigania watanzania walala hoi ebu basi tembelea kiwanda cha kuzalisha matunda Azam mbagala ujionee jinsi watanzania wanaopeleka matunda yao kiwandani kuuza wanavyo firisika hapo kiwandani na kurudi makwao masikini.watu wanapeleka lori la embe au nanasi na wanakalishwa hapo nje zaidi ya siku 3 hadi 5 kabla ya kupokelewa matunda yao na matokeo yake matunda yanaoza.