BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Suala kubwa ni walipe kodi baba na mama wenye nyumba, wamezidi nyodo
Wewe wacha fitna hio!
Naamini kama magufuri upo makini kwa kuwapigania watanzania walala hoi ebu basi tembelea kiwanda cha kuzalisha matunda Azam mbagala ujionee jinsi watanzania wanaopeleka matunda yao kiwandani kuuza wanavyo firisika hapo kiwandani na kurudi makwao masikini.watu wanapeleka lori la embe au nanasi na wanakalishwa hapo nje zaidi ya siku 3 hadi 5 kabla ya kupokelewa matunda yao na matokeo yake matunda yanaoza.
wewe utakua mchawi na mfitini...ni wakupuuzwa
wewe utakua mchawi na mfitini...ni wakupuuzwa
Hiyo fitina sasa kwan lazima upeleke huko sinibiashara hiyo akitaka ananunua asipotaka basi sasa hapo unamzalimisha anunue usikute store yake ishajaa