Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Kazi yake imeanza kuonekana, waliombeza wameanza kumpenda ghafla.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa kwimba maji yapo Ila huku hungumalwa no maji yan tabu tu umeme wanakata ovyo daah
kaka usibishe Shule ya Msingi Buyogo hawana madawati na kila Mwaka wanaazima Madawati kutoka Nela sekondari Kwa ajiri ya wanafunzi wa Darasa la saba kufanyia mitihani.
Hahaaaaa kwimba maji yapo Ila huku hungumalwa no maji yan tabu tu umeme wanakata ovyo daah
Mwigumbi yo maswa ile ni kam nchi nyingine lami no