Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Nilikuwa namkubali Magufuli toka kitambo sema CCM Ndo kichefuchefu kwangu.Na kwa vile Magufuli yupo ndani ya CCM.basi naona kama Imani yangu inazidi kuwa ndogo kwakeHakika mkuu,mi nakiri kuwa nilikuwa nampinga sana jamaa lakina kwa sasa namkubari kwa 99.99%
Pole mkuu kama hujui,pesa inapochakaa huwa kunadawa zinawekwa na kuwa reprented tena,sasa hizi pesa kutokana na kuchakaa mapema ,zinahitaji gharama kubwa kuwa reprented mara kwa mara,nadhan umeelewa mkuu.
Tunaunga mkono mpango wako wa kubana matumizi ya serikali ili fedha hizo zikatumike katika kuwasaidia watanzania.
Kuna kundi ambalo ningependa serikali yako kwa kushirikiana na bunge iliangalie,hili ni la wastaafu wa ngazi za juu ambao hata baada ya kustaafu wanaendelea kulamba asilimia 75 ya mshahara wa aliyeko madarakani.Watu hawa wakiwa madarakani hugharamiwa kila kitu na serikali hivyo posho zao na mishahara hawaitumii kabisa na hawakatwi kodi.Baada ya kustaafu wanapata mafao makubwa lakini pia huendelea kulipwa asilimia 75.
Mh Rais,watu hawa ni wengi kwa sasa na hawafi mapema kiukweli,baada ya kustaafu wanaishi zaidi ya miaka 30 na hii ni kutokana na maisha mazuri na huduma bora za afya wanazopata wakiwa madarakani na baada ya kutoka.Wao wakiugua hutibiwa nje na familia zao.
Kutokana na hilo napendekeza baada ya wao kustaafu waendelee kulipwa asilimia 10 tu ya mshahara wa aliyeko madarakani kutoka asilimia 75.
in a long run tutakuwa tumeokoa pesa nyingi sana!
Good point! eti hawafi haraka he he!!
wanalamba pesa kubwa sana ndugu
Hapo mnaaribu mambo

Mfano Rais wasitaafu kafa Nyerere tu wengine wapo wanapiga pesa kiulaini.
Wenye kufaidi hii mipesa wakikwata na Magufuli lazima watamhujumu sana hadi wamtoe ikulu uchaguzi ujao.
Muongooo toka na hadidhi zako za vijiwe vya bange
wewe jamaa kwahiyo ulitaka wafe???? anyway u have good idea.