Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Zuka maeneo hayo fasta fasta Rais wetu...!!!! TRA umeanza nao vyema..

Huko kote nilikotaja, it needs urgent OVERHAUL... No mercy, lala nao mbele, fasta...

Pia ongezea TPDC, EWURA, TCRA, TANESCO, hapo ktk list...,

Ukimaliza huko njoo kwa RCs, DCs na wakuu wa Taasisi na mashirika yooote ya umma.. mbona adabu itarudi haraka sana, fukuza, walio ktk contract za ajabu piga chini..

Pia EFD ni mradi wa watu, kula nao sahani moja..wafanya bishara wako willing kulipa kodi thru EFD, tatizo EFD inauzwa ghaliiiiiiiiiii balaaa ilianza 1,300,000 wakashusha to 1,000,000 wakashusha to 800,000 now is around tshs 600,000... huu ni mradi wa watu wach,ache kujitajirisha... lala nao mbeleeee...

Pia VITAMBULISHO VYA TAIFA... lala nao mbeleeeee...

RITA, BRELA.. usisahau pia...

UNUNUZI wa mashangingi VX V8 Rais atamke wazi wazi ni HARAMU SERIKALI KUNUNUA, na sasa mwendo wa Rav. 4 or Prado New Model 3000 CC, diesel, very economical, na bei zake ni around $ 40,000 each new Prado bila kodi..
Sbb serikali hailipi kodi, so new Prado ndio gari inatumia mafuta kwa unafuu na bei nafuu pia... Ma VX V8 ni cancer serikalini...!!

wahi fasta, kula nao sahani moja..

Week end njema..
 
Amekuwa fire brigade sasa, kila kitu kinaenda kwa hatua na mpangilio uliowekwa, huko kote ulipotaja anajua vema, so ni suala na muda na wakati tu
 
Safi sana ukimaliza huko nenda Tanesco fumua vitengo vyote. Pale Tanesco kuna kitengo kimoja eti kinajiita cha "usalama' ni wapiga dili hamna kitu!
 
Safi sana ukimaliza huko nenda Tanesco fumua vitengo vyote. Pale Tanesco kuna kitengo kimoja eti kinajiita cha "usalama' ni wapiga dili hamna kitu!

Yes... TANESCOOOOO, asanteee
 
hasa hapo TANAPA+EWURA+TCRA ndo penyewe.


Kote, mashirika, mamlaka etc hizo ktk mada ni za kuundwa upya na uongozi mpya, ni ku overhaul uongozi na kuwachunguza fasta, yananuka sana..!
 

Kwani mi nilisema inatema dollar?

Hata hiyo kadi ya CRDB huku kiwanja inatema dollar badala ya madafu.

Ila Dar Barclays zipo ATM zinazotema dollar.
 
NHC pia JPM maana tangu mie nipo chekeachekea naona nyumba wanakaa wahindi na watu wenye pesa wana nyumba za NHC wanakaa Masaki wakati vijana wanamaliza chuo wanaangaika kukaa sinza kijitonyama ,wanalipa kodi kubwa.
Wakati watu wanabadilishana.
 
Mi naomba tu ATCL. Maana madudu yaliyoko
Hapo hayaelezeki . Yaaani kumekufa kabisa
Ni aibu kwa kweli .
 
Geshi ra porisi ukkianzia na kitengo cha traffic bomoa mpaka RPC
 
Fumua jeshi lote la polisi. Kazi ya wizara ya afya kuweka guaranteen ya kipindupindu wanajitangazia wao! Hata responsibilities zao hawajui
 
mbona kila kitu mnalia kwa Magufuli??

Kuna waziri mkuu pia, au hamna imani nayeeee???
 
Kiukweli kbs angeanza nahizi halmashauri na mikoa ya pembezoni mwanchi majipu yako huku
 
Kwani tatizo nini, pesa ni pesa tu, ukinicharge hata kwa hela ya Zimbabwe is Ok, muhimi iwe rate sahihi tu

Sidhani kama wewe ni mchumi (na kama ni mchumi basi utanisamehe..no disrespect intended). Ila bidhaa na huduma ndani ya nchi zikiuzwa kwa dollar...inaathiri sarafu yetu (TZS). Fikiria kwa mfano unataka kukodisha nyumba..mwenye nyumba aseme anataka $500 kwa mwezi...na wewe mshahara wako ni shillingi. Itakupasa uchukue shillingi zako uende bureau ukanunue dola..ili ulipe kodi. Au ulipe kwa shillingi lakini kwa exchange rate ya mwenye nyumba ambaye na yeye ataenda kununua dola. Hiyo inamaana kwenye huo muamala shillingi zimetumika kununua dola. Na kadri shillingi zimavyonunua dollar ndio dollar inaongezeka thamani na shillingi kushuka thamani (supply and demand).

Sasa fikiria kinyume chake...imagine kama hoteli ya serena ingekua inacharge shillingi kwa vyumba vyake. Hiyo inamaana mtalii anayetoka nje ya nchi ingebidi achukue dola zake anunue shillingi ili kulala serena. Hiyo inamaana shillingi yetu ingeongezeka thamani maana "inafukuzwa" na dola nyingi (supply and demand).
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…