kayaman
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 4,516
- 10,423
ndio kina nani hao?Wewe naye! Tuma meseji kwa mabisi wao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio kina nani hao?Wewe naye! Tuma meseji kwa mabisi wao!
ndio kina nani hao?
mwanga upare utawauwa
Safi sana ukimaliza huko nenda Tanesco fumua vitengo vyote. Pale Tanesco kuna kitengo kimoja eti kinajiita cha "usalama' ni wapiga dili hamna kitu!
hasa hapo TANAPA+EWURA+TCRA ndo penyewe.
Ha ha ha
Nyani kweli waja kweli
By Design, Hiyo Visa card yako inafanyiwa trasanction na ATM. Ndio maana ukitoa fedha unachukua madafu. Siamini kama CRDB ATM inatema Dollar na kama ndivyo, basi kweli mie mshamba na hiyo inatakiwa ikome. Hivyo, unapochukua pessa ATM interest rate ya kununulia SHilling iko pale pale, ndio maana CRDB wanaajiri zaidi. Ha haha
Ninachosema hapa, bidhaa kununuliwa kwa dollar ndani ya Tanzania ni ikatazwe inaumiza na haina tija kwa Taifa..
Kwani tatizo nini, pesa ni pesa tu, ukinicharge hata kwa hela ya Zimbabwe is Ok, muhimi iwe rate sahihi tu