Zuka maeneo hayo fasta fasta Rais wetu...!!!! TRA umeanza nao vyema..
Huko kote nilikotaja, it needs urgent OVERHAUL... No mercy, lala nao mbele, fasta...
Pia ongezea TPDC, EWURA, TCRA, TANESCO, hapo ktk list...,
Ukimaliza huko njoo kwa RCs, DCs na wakuu wa Taasisi na mashirika yooote ya umma.. mbona adabu itarudi haraka sana, fukuza, walio ktk contract za ajabu piga chini..
Pia EFD ni mradi wa watu, kula nao sahani moja..wafanya bishara wako willing kulipa kodi thru EFD, tatizo EFD inauzwa ghaliiiiiiiiiii balaaa ilianza 1,300,000 wakashusha to 1,000,000 wakashusha to 800,000 now is around tshs 600,000... huu ni mradi wa watu wach,ache kujitajirisha... lala nao mbeleeee...
Pia VITAMBULISHO VYA TAIFA... lala nao mbeleeeee...
RITA, BRELA.. usisahau pia...
wahi fasta, kula nao sahani moja..
Week end njema..
Kwani mi nilisema inatema dollar?
Hata hiyo kadi ya CRDB huku kiwanja inatema dollar badala ya madafu.
Ila Dar Barclays zipo ATM zinazotema dollar.
Mkuu tuliza mzuka moja baada ya nyingine idara zoooote zitanyoooka tu... kikubwa tuzidi sana kumuombea Rais wetu mpendwa JPM
Kwani mi nilisema inatema dollar?
Hata hiyo kadi ya CRDB huku kiwanja inatema dollar badala ya madafu.
Ila Dar Barclays zipo ATM zinazotema dollar.
The bottom line is that BoT has killed the local units credibility on the pretext of a strong global.dollar. A 24% depreciation of the shilling in 10 months when our economy ia growing at 7%? A fall in gold prices was easily replaced by the growing tourism sector- and Mr. GOVERNOR fyi the tourism sector has more linkages to the economy than the gold sector! Wr only get 3% royalty from the export of Gold!
Kenyan shilling has only depreciated by 14 percent! Didnt thr global strong dollar effect kenya too?
The tourism sector in kenya was affected by thr tourism attacks and the ebola virus in west africa! Yet they managed to contain the depreciation!
Why ? Cause of the incompetency of the BoT!
HOW CAN YOU TRUST A CURRENCY WHICH HAD DEPRECIATED BY 24% IN 10 MONTHS!
ATM ya CRDB inatema Shilling hivyo ndo tunavyotaka, yani hujaenda kwa exchange office ila ATM wafanyakazi tayari imeongeza. Ha ha ha ha. Na kama ATM za CRDB zinatema Dollar basi ni kosa kubwa sana na uhuni kwa Taifa.
KUna mradi wa maji nyumba ya Mungu - Kisangara -Lemebeni -Mwanga zaidi ya miaka minne anasema hamna lolote amefanya .
Mbona maombi tushafanya juu ya Rais... na hata mbu tu hatutaki amsogelee...!!!
Sasa kazi tu...!!! No time to waste...!!!
Majipu yataanza mapema kutumbuliwa, na wakuu wa taasisi hizo na uhakika 99% watapigwa chini...Sbb kote kuna nuka...