Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Zuka maeneo hayo fasta fasta Rais wetu...!!!! TRA umeanza nao vyema..

Huko kote nilikotaja, it needs urgent OVERHAUL... No mercy, lala nao mbele, fasta...

Pia ongezea TPDC, EWURA, TCRA, TANESCO, hapo ktk list...,

Ukimaliza huko njoo kwa RCs, DCs na wakuu wa Taasisi na mashirika yooote ya umma.. mbona adabu itarudi haraka sana, fukuza, walio ktk contract za ajabu piga chini..

Pia EFD ni mradi wa watu, kula nao sahani moja..wafanya bishara wako willing kulipa kodi thru EFD, tatizo EFD inauzwa ghaliiiiiiiiiii balaaa ilianza 1,300,000 wakashusha to 1,000,000 wakashusha to 800,000 now is around tshs 600,000... huu ni mradi wa watu wach,ache kujitajirisha... lala nao mbeleeee...

Pia VITAMBULISHO VYA TAIFA... lala nao mbeleeeee...

RITA, BRELA.. usisahau pia...

wahi fasta, kula nao sahani moja..

Week end njema..

Mkuu tuliza mzuka moja baada ya nyingine idara zoooote zitanyoooka tu... kikubwa tuzidi sana kumuombea Rais wetu mpendwa JPM
 
Kwani mi nilisema inatema dollar?

Hata hiyo kadi ya CRDB huku kiwanja inatema dollar badala ya madafu.

Ila Dar Barclays zipo ATM zinazotema dollar.

Madafu unayo nyuma, sheria inaitaja Tsh kwa manunuzi yote ya ndani.
 
The bottom line is that BoT has killed the local units credibility on the pretext of a strong global.dollar. A 24% depreciation of the shilling in 10 months when our economy ia growing at 7%? A fall in gold prices was easily replaced by the growing tourism sector- and Mr. GOVERNOR fyi the tourism sector has more linkages to the economy than the gold sector! Wr only get 3% royalty from the export of Gold!

Kenyan shilling has only depreciated by 14 percent! Didnt thr global strong dollar effect kenya too?

The tourism sector in kenya was affected by thr tourism attacks and the ebola virus in west africa! Yet they managed to contain the depreciation!

Why ? Cause of the incompetency of the BoT!

HOW CAN YOU TRUST A CURRENCY WHICH HAD DEPRECIATED BY 24% IN 10 MONTHS!
 
Mkuu tuliza mzuka moja baada ya nyingine idara zoooote zitanyoooka tu... kikubwa tuzidi sana kumuombea Rais wetu mpendwa JPM

Mbona maombi tushafanya juu ya Rais... na hata mbu tu hatutaki amsogelee...!!!

Sasa kazi tu...!!! No time to waste...!!!

Majipu yataanza mapema kutumbuliwa, na wakuu wa taasisi hizo na uhakika 99% watapigwa chini...Sbb kote kuna nuka...
 
Kwani mi nilisema inatema dollar?

Hata hiyo kadi ya CRDB huku kiwanja inatema dollar badala ya madafu.

Ila Dar Barclays zipo ATM zinazotema dollar.

ATM ya CRDB inatema Shilling hivyo ndo tunavyotaka, yani hujaenda kwa exchange office ila ATM wafanyakazi tayari imeongeza. Ha ha ha ha. Na kama ATM za CRDB zinatema Dollar basi ni kosa kubwa sana na uhuni kwa Taifa.
 
The bottom line is that BoT has killed the local units credibility on the pretext of a strong global.dollar. A 24% depreciation of the shilling in 10 months when our economy ia growing at 7%? A fall in gold prices was easily replaced by the growing tourism sector- and Mr. GOVERNOR fyi the tourism sector has more linkages to the economy than the gold sector! Wr only get 3% royalty from the export of Gold!

Kenyan shilling has only depreciated by 14 percent! Didnt thr global strong dollar effect kenya too?

The tourism sector in kenya was affected by thr tourism attacks and the ebola virus in west africa! Yet they managed to contain the depreciation!

Why ? Cause of the incompetency of the BoT!

HOW CAN YOU TRUST A CURRENCY WHICH HAD DEPRECIATED BY 24% IN 10 MONTHS!

The open secret is that the TZS was overvalued...what happened is that the TZS returned to its true value and that is why we have relative stability at the moment.
 
Hivi mnataka kila kitu kifanyike jana? Kwamba amechelewa? Mabadiliko hayaji kihivyo. Kila kitu kinafanywa kwa kupimwa na kupangiwa mkakati kinyume cha hapo itakuwa ni vurugu na itaharibu lengo la mabadiliko. Bado kuna mawaziri na watendaji wengine wanakuja n.k Au ndio kusema watu walichoka sana kiasi kwamba bora shamba zima litifuliwe tupande upya!?
 
Hakuna asiyetambua juhudi na kazi kubwa anayoifanya raisi wetu mpendwa katika kulirudisha taifa letu katika misingi yake ya awali , njia anazotumia ni nzuri au mbaya hio kila mtu ana maoni tofauti lakini kwa wazalendo wa kweli na ukiangalia kwa jicho la tatu mh raisi amedhamiria kweli kuleta mabadiliko chanya kwa nchi yetu changa . nampongeza na kumtakia kila la heri pia namuombea katika harakati zake .

Ningependa kumuona magufuli huyu "aggressive" katika mambo ya ndani akiupeleka moto huu huu nje ya mipaka ya nchi , kwa wanaofuatilia siasa za dunia ni dhahiri kabisa kuna mataifa makubwa yaliyogawanyika mafungu makubwa mawili (magharibi na mashariki) .hawa ndio wamekua wababe wa dunia na huweka maslahi yao mbele kwa kisingizio cha demokrasia nakadhalika . hutanguliza agenda zao mbele na kulazimisha nchi dhaifu hasa za ulimwengu wa tatu kufuata matakwa yao .

Natamani kumuona raisi wangu akipambana na mataifa haya kama alivyopambana na matatizo ya ndani. Nina ndoto nimuone raisi wangu akisimama kidete kama mzee Mugabe amkemee na kumpa onyo kali raisi Obama na washirika wake waache kuingilia mambo ya ndani ya nchi na watuombe radhi , akemee tabia yao ya kutumia misaada yao kama kigezo cha kututawala. Natamani ningemuona magufuli kipindi kile cha mgogoro na Rwanda au ule mgogoro wa ziwa nyasa (japo hayo yameshapita) .

Mh raisi naomba ukimaliza mambo ya ndani toka na nje kidogo ya mipaka uonyeshe uwezo wa Tanzania na afrika kwa ujumla , nahakika utakua shujaa ambae hutasahaulika na vizazi sio tu Tanzania bali dunia nzima .

naomba radhi kama kuna makosa yoyote ya kupangilia mada husika kwani ndio bandiko langu la awali .

Nitangulize shukrani kwenu wanajamvi AHSANTENI
 
ATM ya CRDB inatema Shilling hivyo ndo tunavyotaka, yani hujaenda kwa exchange office ila ATM wafanyakazi tayari imeongeza. Ha ha ha ha. Na kama ATM za CRDB zinatema Dollar basi ni kosa kubwa sana na uhuni kwa Taifa.

Hahaaaa sidhani hata ulinielewa nilipozungumzia suala la convenience za ATM.

Nadhani ulidhani mimi nazungumzia kutaka ATM ziteme dola.

Totally missed my point.
 
Mwanga maeneo ya Kiruru Wachina wanachimba Kopa .....

Maeneo ya Butu kuna ardhi safi kwa kilimo tatizo ni Maji .... Mbunge angekuwa na akili angeshirikiana na serikali kutuletea kilimo cha Umwagiliaji.

Maghembe na uProfessor wake anachimba visima wakati kuna vyanzo vingi vya asili.. Vinahitaji kuviboresha tu.
 
Mbona maombi tushafanya juu ya Rais... na hata mbu tu hatutaki amsogelee...!!!

Sasa kazi tu...!!! No time to waste...!!!

Majipu yataanza mapema kutumbuliwa, na wakuu wa taasisi hizo na uhakika 99% watapigwa chini...Sbb kote kuna nuka...

Pamoja sana.... viva Rais Magufuli viva Tz
 
Ukiona nyumba inapangishwa kwa dollars we hama tu na ukiona bidhaa inauzwa kwa dollar pia achana nayo ,kiufupi ukiona kuna huduma inahitaji malipo kwa dollar we achana nayo,nenda kunakolipiwa kwa shilingi tu
 
Wakuu mpeni space si unajua mojamoja ndo mpango tiba bora hahiitaji haraka naamini atawashughulikia wote
 
-TAKUKURU
-TANAPA
-TANESCO
-TRL
-ATC
-TPDC.

Kwa madudu yaliyoko humu sidhani kama kuna wa kupona hapa.Maana hizi taasisi zinagusa maisha ya watanzania moja kwa moja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom