Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Wote awape cheo maana walikuwa wamepewa ruzuku na CCM ... Hata Dovutwa anastahili ...
Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na taadhima hili ni ombi binafsi kwako.

Nnaomba uhakikishe huyu mrembo wa ACT Bi Anna Mughwira unamuingiza bungeni na unampa wadhifa anaostahiki, huyu mama ni kichwa adhyim na adim kabisa.

Nimemfatilia mikutano yake mingi sana ya kampeni, anatoa vitu kichwani utafikiri ana word processor inayopanga na kuchuja anachokizungumza kutoka kichwani bila kusoma.

Halikadhalika leo kanifurahisha sana alipostukizwa na kutoa hotuba pale Diamond, ilikuwa fupi na imelenga points zote nzuri na ameeleweka vyema kabisa.

Anna heko sana na nitakuunga mkono katika siasa zako.
 
Kila chama kilikuwa na ilani yake, sasa kusema ampe ubunge then cheo anachostahili Serikalini una maana gani? Je akiwa serikalini atakuwa anatekeleza ilani ipi kati ya ile ya ACT ya kwake na hii yenu ya CCM?

ww fuso sijui audi..... Acha hasira suala la ilani huwa haibadiliki yote ktk utendaji na ilani ya chama siyo lazima itekelezwe yote......

Mara mia ungesema kwamba kwakuwa Mrs Ana alikuwa anagombea nyadhifa kubwa yaani URAIS katiba sidhani kama anaruhusiwa kuwa mbunge or minister ...otherwise aamie chama pinzani tofauti na chake....
My opinion... Huyu mama kweli anafaa sana kuwa kiongozi kwan Speach aliyoitoa ni fupi na ya kueleweka... Ni hayo maoni yangu kama nitakuwa nipo wrong mnisahishe
 
kweli mama kaongea vizuri Lowasa hawezi kuongea kama yule mama.
 
Huyu mama ni kichwa sana anajileeza vizuri sana
Mama Mughwira = ( Lowassa + Sumaye +Mbatia + Mzee Kingunge + Mbowe) x10
 
Ungemuomba atumie nguvu yake kusimamia haki

Mbagala wameporwa mbunge wao..

Kuna uchaguzi wa mameya wa majiji...asimamie haki walioshinda ndo wapewe

yasije rudia ya manispaa ya Arusha mjini kuhusu uchaguzi wa meya hasa hapa Dar


Haki ya mtu mara nyingi hupiganiwa na haiombwi!! Madiwani wa Dar itabidi wapiganie haki yao kwani magamba ni majangili wanaweza kuwapoka!!!
 
Kwa kuzunguka nchi nzima kapata kura ngapi afu linganisha na za mtatilo aliyezunguka jimbo la segelea tu...kama ni kichwa akipiga hesabu za kisiasa kama yule profesa wao aliyekataa kugombea
 
Huyu mama ni kichwa sana anajileeza vizuri sana
Mama Mughwira = ( Lowassa + Sumaye +Mbatia + Mzee Kingunge + Mbowe) x10
Humo kwa red, kuna mawaziri wakuu 2( 1 wa mkapa 1 wa kikwete) na wabunge walioteuliwa na mwenyekiti wenu 2 kwahiyo kama unavyosema ni sahihi basi waliowapa hizo nafasi watakuwaje ??????
 
Huyu Mama apewe ubunge Kama alivyopewa Mbatia. Kwa kweli nimeipenda sana hotuba yake ya leo
 
Kuna wananchi wawili ambao kama Magufuli atawateua kuwa wabunge atajijengea heshima sana mbele ya jamii nao ni huyo mama mwenyekiti wa ACT Anna Mughwira na Kafulila. They will add value to the bunge proceedings na hilo ndio la muhimu!!
 
Tehe..tehe..dharau hizi......
Khaa!! Wala siyo dharau mkuu, wote hao nawaheshimu kaa watu wazima wengine. Unajua hawa jamaa hata walivyokuwa wakiongea tena kwa kurudiarudia mara nyingi sikuweza kuwaelewa hatawalikuwa wanazungumza nini. Lakini huyu mama kaongea kidogo tu nimemuelewa vizuri sana, sema nyakati hazikuwa nzuri. Mungu amlinde
😛oa
 
Hakika umenena mpendwa.Huyu mama habari nyingine jamani.Jembe haswa.
 
Humo kwa red, kuna mawaziri wakuu 2( 1 wa mkapa 1 wa kikwete) na wabunge walioteuliwa na mwenyekiti wenu 2 kwahiyo kama unavyosema ni sahihi basi waliowapa hizo nafasi watakuwaje ??????
Khaa!! Kiongozi nimezungumzia suala la kujieleza hasa wakati wa kampeni zilizopita. Wala siyo suala la uwaziri mkuu wala ubunge
:hand:
 
bado siamini kama magufuli ni rais wa tanzania maana toka tarehe 26/10 sijasikiliza chombo chochote cha habari ??

lowasa hakushinda?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom