Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana Yesu Asifiwe!
Unajua Dira Yote Ya Tanzania Ya Kesho Mungu Amewapa Watumishi Wake. Hivyo Viongozi Ni Muhm Sana Kuwa Karibu Na Watumishi Ndipo Watakapoweza Kufikia Malengo.
Nami Nikiwa Kama Mchungaji Mungu Amenipa Ujumbe/ushauri Kwa Rais Magufuli Juu Ya Tanzania Ya Kesho.
Yaan Nataka Hata Mtu Atakaeweza Kulipia Kipindi Kwny Media, Au Anikutanishe Na Mwandishi Wa Habari Awe Ananihoji.
Au Kama Wewe Ni Mwandishi Wa Habari Ebu Tuwasiliane Kwa Cm No.0786100772,au 0757856336.
Maana Tanzania Inayotajwa Ya Mwaka 2025 Haiwezi Kufikiwa Paspo Kujua Mpango,na Mambo Mungu Ameyakusudia Yafanyike.
Ninaomba Iyo Neema Na Kibali Kwa Mamlaka Ya Jina La Yesu Kristo.
Kama amekupa ujumbe umfikishie magufuli basi mwambie akupe na njia ya kuonana nae ili umfikishie ujumbe alio kupa
Wewe kama nani hata utoe ushauri kwa Magufuli?
Tuondokee hapa.
Inabidi Niutoe Akiwa Anasikia,au Niutoe Kupitia Vyombo Vya Habari Ambapo Baadae Angeuckia, Yote Hayo Yanawezekana.
- Usikubali kofia mbili; wewe ni Raisi, uenyekiti wa CCM muachie mwingine ili chama kibaki chama na serikali ibaki serikali.
- Washauri Wabunge wa CCM, watangulize maslahi ya taifa mbele ya maslahi ya chama.
- Washauri Wabunge wa CCM kama itawezekana wamchague Spika wa Bunge asiyeegemea upande wowote.
- Pokea ushauri kutoka kwa vyama vya siasa lakini uwe huru kufanya maamuzi kulingana na matakwa ya Katiba ukizingatia maslahi ya wananchi.
- Usiruhusu Ikulu kutumika kwa maslahi ya CCM, vikao vya chama vifanyike nje ya Ikulu.
- Washauri CCM waachie mali za wananchi kwa kuzirudisha mikononi mwa wananchi kupitia serikali.
- Agiza vyombo vya dola vitoe haki sawa kwa wananchi bila upendeleo.
- Futa sheria zote kandamizi zinazozuia uhuru wa kutafuta, kupokea na kutoa habari. Vyombo vyote vya habari viwe huru.
- Hakikisha mikataba yote tunayoingia inawekwa wazi ili vijadiliwe na kupitishwa na Bunge.
- Vikumbushe vyombo vya dola kwamba jukumu lao la kwanza ni kuwalinda Watanzania na mali zao na si kupambana nao.
Inabidi Niutoe Akiwa Anasikia,au Niutoe Kupitia Vyombo Vya Habari Ambapo Baadae Angeuckia, Yote Hayo Yanawezekana.
Wewe kama nani hata utoe ushauri kwa Magufuli?
Tuondokee hapa.