MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
JPM usimsikilize kabisa Che Nkapa..
Hapendi Maendeleo yetu watz.
Hapendi Maendeleo yetu watz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndivyo itakavyokuwa, kuna wataobaki na wengine kwenda, hiyo ni kawaida....Wana Jamvi..
Namwomba rais JPM afanye mabadiliko pale kwenye ofisi yake maana kuna baadhi ya watendaji pale wakati wa JK walishaona ikulu kaa Mali yao. Mmoja wapo wa kumwondoa ni Salva Rweyemamu.
Nawasilisha.
Point..Abadilishe na wahasibu angalau na wengine tupate kula siyo wao kila siku.
Asante mkuu..Wanaondoka wote, mkuu usihofu ngoja kwanza baraza la Mawaziri litangazwe
Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na taadhima hili ni ombi binafsi kwako.
Nnaomba uhakikishe huyu mrembo wa ACT Bi Anna Mughwira unamuingiza bungeni na unampa wadhifa anaostahiki, huyu mama ni kichwa adhyim na adim kabisa.
Nimemfatilia mikutano yake mingi sana ya kampeni, anatoa vitu kichwani utafikiri ana word processor inayopanga na kuchuja anachokizungumza kutoka kichwani bila kusoma.
Halikadhalika leo kanifurahisha sana alipostukizwa na kutoa hotuba pale Diamond, ilikuwa fupi na imelenga points zote nzuri na ameeleweka vyema kabisa.
Anna heko sana na nitakuunga mkono katika siasa zako.
Mnamfichia aibu siyo? Juzi anaapishwa niliona aibu alishindwa kusalimia hata wageni kwa Kiinglish! Wengine wanajitoa akili eti tunatukuza lugha za Wageni wakati mwanao anasoma English Medium, Wadanganye hao siyo Mimi.
Kwenye kampeini alisifiwa sana kwamba anajua vilugha vyoote kumbe mweupe Kimataifa.
ile ipo kwenye katiba ya Zanzibar, je hii ya kwako ipo kwenye katiba ya muungano?hau ni maaba tu. labda ungemuombea viti maalum tu ili apeleke mchango wake bungeni na kumpa tafu kiongozi mkuu.
Sio wakati wa kutafuta mchawi