Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Abadilishe na wahasibu angalau na wengine tupate kula siyo wao kila siku.
 
Wana Jamvi..
Namwomba rais JPM afanye mabadiliko pale kwenye ofisi yake maana kuna baadhi ya watendaji pale wakati wa JK walishaona ikulu kaa Mali yao. Mmoja wapo wa kumwondoa ni Salva Rweyemamu.
Nawasilisha.
Na ndivyo itakavyokuwa, kuna wataobaki na wengine kwenda, hiyo ni kawaida....
 
Abadilishe na wahasibu angalau na wengine tupate kula siyo wao kila siku.
Point..
It's high time kufanya kazi ikulu isiwe sijui lazima uwe na connection na mtu kama alivyopata kazi January Makamba kupitia kwa baba yake.. Ile ni ofisi ya umma na mtz yeyote ana haki ya kufanya kazi pale la muhimu awe na vigeZo.
 
Huyu Premi Kibanga afurushwe.

Kama msemaji wa rais ni lazima awe mwanamke basi pale awekwe mwanamama mpiga kazi Joyce Mhaville.
 
Maadamu ukawa wamekatwa hata bila kuwa na waziri kabisa mi naona sawa tu
 
Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na taadhima hili ni ombi binafsi kwako.

Nnaomba uhakikishe huyu mrembo wa ACT Bi Anna Mughwira unamuingiza bungeni na unampa wadhifa anaostahiki, huyu mama ni kichwa adhyim na adim kabisa.

Nimemfatilia mikutano yake mingi sana ya kampeni, anatoa vitu kichwani utafikiri ana word processor inayopanga na kuchuja anachokizungumza kutoka kichwani bila kusoma.

Halikadhalika leo kanifurahisha sana alipostukizwa na kutoa hotuba pale Diamond, ilikuwa fupi na imelenga points zote nzuri na ameeleweka vyema kabisa.

Anna heko sana na nitakuunga mkono katika siasa zako.

Tunataka kazi we unashangilia porojo. Hii nchi wajinga wako wengi.
 
Mnamfichia aibu siyo? Juzi anaapishwa niliona aibu alishindwa kusalimia hata wageni kwa Kiinglish! Wengine wanajitoa akili eti tunatukuza lugha za Wageni wakati mwanao anasoma English Medium, Wadanganye hao siyo Mimi.

Kwenye kampeini alisifiwa sana kwamba anajua vilugha vyoote kumbe mweupe Kimataifa.

Alisema Hello kwa wageni.
 
toka nijiunge ndo naona manufaa ya jf maana wamenena ya maana haswa kama yanamfikia mheshimiwa pengine ingekuwa sehemu ya JPM kufanya mabadiliko ambayo wananchi wanayataka haswaaaaaaaaaa
 
Sina shaka na uwezo wa huyu mama, lkn nasikitika kaingia choo cha kiume. Zitto Kabwe na Prof. Mkumbo, ni vibaraka wa CCM nahisi na huyo mama kapandikizwa mbegu hiyo.
 
ile ipo kwenye katiba ya Zanzibar, je hii ya kwako ipo kwenye katiba ya muungano?hau ni maaba tu. labda ungemuombea viti maalum tu ili apeleke mchango wake bungeni na kumpa tafu kiongozi mkuu.

Wewe unaonesha hata maana ya ilani hauelewi.

Usinipotezee muda.
 
Najua kwa mujibu wa katiba ya nchi najua una viti kumi vya Rais. Naomba sana umteue kafulila Kuwa mbunge ili dhamira ya kupinga ufisadi ifanyike kwa vitendo pia atakusaidia kukamata majizi na mafisadi yaliyotufikisha hapa na pia imani yako kwa watanzania itaongezeka maradufu.
 
Rais Magufuri vipi yale mashangingi ya 300 ml yataanza kuuzwa lini .
Nataka moja ili u nunua Escudo watumie Ma Boss
 
Wale wa awali kutoka upinzani waliosema watawataja majizi na mafisadi, na majina wanayo.

Je waliishia wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom