Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Secta ya bunge kitengo cha huduma na haki za mbunge kilichokuwa chini ya Chenge kilipangia bunge masulufu makubwa mno na bado wabunge kwa makusudi au kwa utovu wa adabu walikuwa wanaona haziwatoshi.

Mfano posho za kuhudhuria bunge ni shs 300.000 bado wabunge walikuwa wanaona hazitoshi ziongezwe chini ya Chenge

Mh. Rais kubana matumizi ya serikali iangalie sana secta hii ya bunge

Pia ninakuomba usitishe mikopo ya mashangingi, waheshimiwa wabunge wanunue RAV 4 au NOA kwa hela zao kwa sababu majimbo yamegawanywa na kuwa madogo yanayoweza kufikika kilaisi na usafiri huo.

Mh Rais fanya kazi ya ubunge iwe ngumu lli uchaguzi ujao wanachi wasiikimbilie

Ushauri huu pia nimekutumia kwa e.mail tafadhari naomba unijibu kama kutakuwa na ugumu katika utekelezaji wake

KIFUPI: Bunge linamega sehemu kubwa sana ya keki ya Taifa, serikali ya awamu ya tano liipunguze keki hiyo.

= hakuna hiyo figa kwa hesabu za njuluku za Kitanzania.
= kirahisi
= tafadhali

Nnaona mwana chadomo umeshamkubali Magufuli kinyume na viongozi wako wa kutokea Kaskazini.
 
Kwakuwa kumeonekana kuwapo na utamaduni wa mtu kuwa waziri mkuu na baadaye kusimama majukwaani na kusema serikali haijafanya kitu,sasa namshauri Mh.Rais kupeleka hoja bungeni ya kufuta stahiki zote za waziri au Maziri mkuu ikititokea akawajibishwa na bunge kwa uzembe au utendaji mbovu uliolisababishia taifa hasara. Mala baada ya kujiuzuru nyazifa zake basi hayopata malipo ya waziri mkuu mstaafu. Nadhani hii itaongeza uwajibikaji. Naomba kuwasilisha
 
Najua kwa mujibu wa katiba ya nchi najua una viti kumi vya Rais. Naomba sana umteue kafulila Kuwa mbunge ili dhamira ya kupinga ufisadi ifanyike kwa vitendo pia atakusaidia kukamata majizi na mafisadi yaliyotufikisha hapa na pia imani yako kwa watanzania itaongezeka maradufu.

Yaani wewe ndo kiazi kabisa.
Yaani Rais kuonekana anapambana na mafisadi ni mpaka amteue kafulila?

Dogo wananchi wamemnyuka mwache akae atulie na wengine pia watoe mchango wao katika kujenga nchi.

Kuna watanzania kibao wenye uwezo. Hata huyo kafulila kabla hajaingia bungeni alifahamika kwa watu wachache sana na hata chadema walimwita sisimizi.

Na zaidi ya ishu ya escrow, ushamsikia kafulila kafanya nini kingine? Ile ni dili ya kushikishwa mkononi tu ile.

Kama kimekuuma kuukosa ubunge mlaumu Mbatia. Mshikaji aliwatelekeza wagombea wa NCCR akajipigia kampeni yeye peke yake tu.
 
Kwakuwa kumeonekana kuwapo na utamaduni wa mtu kuwa waziri mkuu na baadaye kusimama majukwaani na kusema serikali haijafanya kitu,sasa namshauri Mh.Rais kupeleka hoja bungeni ya kufuta stahiki zote za waziri au Maziri mkuu ikititokea akawajibishwa na bunge kwa uzembe au utendaji mbovu uliolisababishia taifa hasara. Mala baada ya kujiuzuru nyazifa zake basi hayopata malipo ya waziri mkuu mstaafu. Nadhani hii itaongeza uwajibikaji. Naomba kuwasilisha

Clap clap, point ya msingi sana. Jitu linalipwa kila kitu alafu serikali haijafanya kitu mfyuu ikiwa yeye ndo mtendaji mkuu wa serikali
 
maeneo mengi hapa nchini hasa hotel wanakataa malipo kwa kutumia shilingi na wengi wao ndio wale waliochangia kampeni za chama naamini jp hana uwezo wa kukatataza hili, ukizingatia yeye mwenyewe amebebwa hadi hapo alipofika!
Amebebwa alikuwa hawezi kutembea mwenyewe? acha mwanaume atimize #HAPA KAZI TU
 
Ingependeza kama rais Magufuli atamteua Dr Slaa kuwa Mbunge atakayesaidia kwenye vita dhidi ya ufisadi. Kwa kuwa hana chama cha siasa atakuwa neutral katika hoja na wote watamwamini hata kwa nafasi ya spika.
 
Usimfundishe kazi Rais Magufuli!

Angetaka kuteuliwa na Magufuli angemuunga mkono toka awali. Kwanza wapinzani wakipewa hiyo huruma ya kuteuliwa huja kuwageuka waliowateua, mfano Mbatia. Akomae kivyake, hakuna kuteuliwa, hapa kazi tu
 
Secta ya bunge kitengo cha huduma na haki za mbunge kilichokuwa chini ya Chenge kilipangia bunge masulufu makubwa mno na bado wabunge kwa makusudi au kwa utovu wa adabu walikuwa wanaona haziwatoshi.

Mfano posho za kuhudhuria bunge ni shs 300.000 bado wabunge walikuwa wanaona hazitoshi ziongezwe chini ya Chenge

Mh. Rais kubana matumizi ya serikali iangalie sana secta hii ya bunge

Pia ninakuomba usitishe mikopo ya mashangingi, waheshimiwa wabunge wanunue RAV 4 au NOA kwa hela zao kwa sababu majimbo yamegawanywa na kuwa madogo yanayoweza kufikika kilaisi na usafiri huo.

Mh Rais fanya kazi ya ubunge iwe ngumu lli uchaguzi ujao wanachi wasiikimbilie

Ushauri huu pia nimekutumia kwa e.mail tafadhari naomba unijibu kama kutakuwa na ugumu katika utekelezaji wake

KIFUPI: Bunge linamega sehemu kubwa sana ya keki ya Taifa, serikali ya awamu ya tano liipunguze keki hiyo.

What a contradiction:

Inaonyesha anaongozwa kwa remote, vile vile ni kama ana ka-inferiority complex Fulani toka kwa mtangulizi wake, asipoondoka nacho kitamghalimu.

Unaonesha kumbukumbu zako zinaishia kwenye urefu wa pua yako.
 
Kafulila huyu huyu aliyekuwa anasafisha mafisadi kwenye kampeni??

Safi sana matumbo, hiyo ni point muhimu sana umemuuliza. Na Mbatia ambaye anajifanyaga mzalendo sana huwezi amini kama ndo yeye aliyekuwa anasafisha mafisadi kwa nguvu nyingi. Halafu leo hii eti tuwaamini kuwa wanapigana na ufisadi!!! Its a shame to them
 
Kwahili nakupongeza lkn punguza naidadi ya wizara ili uwe na baraza dogo la mawaziri lenye wachapa kazi
 
Rais wetu habari yako, ombi langu ni moja

Kuna tabia imeanza kukithiri na kushika kasi malipo mengi kufanyika kwa dola hapa nchini kuna baadhi ya huduma haziruhusu malipo kwa shilingi.

Mfano kwenye malipo ya mapango ya biashara na
baadhi ya shule (private schools) na mahoteli ya nafanyika kwa dola naamini matumizi ya fedha za kigeni hasa dola kwenye huduma nyingi za ndani yanachangia kudidimiza thamani ya shilingi na uchumi wetu kwa ujumla.

Tafadhali kemea hili jambo walau shilingi yetu ijinafasi

Hii hoja bomba sana. Hii ndiyo sababu KUBWA ya kushuka kwa thamani ya shilingi yetu. Sababu nyingine zaweza kuwepo lakini main ndiyo hiyo. Mbona hapa jirani Kenys malipo ni kwa shilingi ya Kenya?? Ukienda Rwanda hivyo hivyo. Matokeo yake hata sarafu ya Rwanda inapanda yetu inashuka kila kukicha. Derikali nyingi za TZ zilizopita zisingeweza kutekeleza hilo kwa sababu ya maslahi binafsi. Kwa vile wana biashara zinazolipa kwa dola wanajiona kunufaika shilingi ikiteremka kumbe taifa linaangamia. Mh Magufuli ukianza na hilo utafanikiwa mara 100 ku-restore thamani ya shilingi yetu. Ikibidi unda tume ya kuchunguza ili wakupe ushauri.
 
Si ukawa walisema hawatashirikiana na Raisi? sasa utateua vipi maadui zako walikataa hata kukutambua? Kumbe mpo mnaoamini huyu ndiye Rais wetu ila mnajitoa akili jua likiwa kali.

Hahahaaaaaaaa, mkuu umenichekesha sana. Unafanya wenzio wajisikie aibu ujue maana umegonga penyewe
 
Najua kwa mujibu wa katiba ya nchi najua una viti kumi vya Rais. Naomba sana umteue kafulila Kuwa mbunge ili dhamira ya kupinga ufisadi ifanyike kwa vitendo pia atakusaidia kukamata majizi na mafisadi yaliyotufikisha hapa na pia imani yako kwa watanzania itaongezeka maradufu.

Si apewe viti maalum na ukawa.
 
Haah haah toka rais wa mioyo ya watanzania mpaka omba omba

. Sio ombaomba ni mtu mwenye maamuzi magumu....huyu ndo mwanasiasa bora wa mwaka 2015....alisimamia kauli yake kuwa lowass ni FISSADI na hawezi kamwe kumsujudia fisadi na tumeyaona na watanzania wameamua......FISADI kawekwa benchi tingatinga on the way.....Khasante Dr.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom